NI vizuri watu wakasoma actually nimeandika nini... maana wengine wanachangia wakidhania kuwa nimeandika nini.
Tumesoma na tumefahamu unampigia debe rafiki yako, Membe.
Kama unafikiri umeandika utata sawazisha utata huo. Kama unafikiri watu hawakufahamu unayoyasema, andika katika mwandiko mwengine, wewe ni mjuzi wa kuandika mistari.
Wengi wa wachangiaji naona ,wamekustukia.