Hizi post za ualimu,zitanitenganisha na mke wangu mtarajiwa!

Makuku Rey

JF-Expert Member
Dec 31, 2013
3,390
3,580
Ni mwanamke ninayempenda sana na nishapeleka kishika uchumba kwao,tatizo ni kuwa yeye kapangwa wilaya ya KAHAMA,mi nimepangwa wilaya ya NJOMBE,mwenye ushauri anishauri nifanye nini ili tuwe wilaya moja? coz naona NDOTO ZA NDOA ZIMEINGIA DOA
 
Au anayetaka kwenda KAHAMA na kapangwa mikoa ya nyanda za juu kusini-MBEYA,IRINGA,NJOMBE,NA RUKWA-SUMBAWANGA,tuwasiliane wakuu,ili muokoe ndoa yangu tarajiwa!
 
poule mkuu.

solutions
1.kufunga ndoa ili mmoja wenu amfate mwenzako
2.uuguzi may be mama yako, so inabidi uwe nae karibu kumuuguza

kumbuka mpaka ufanye kazi miaka 3

But Tanzania kila kitu ni possible ......so wewe tuu
 
Sasa rafiki yangu ukipangwa huko sumbawanga kuna afadhali gani tena jamani, Njombe to Sumbawanga si bora uje kwetu Songea, Njombe to Songea ni 240km, nauli 10,000 basi
 
Hiyo no.1,nimeielewa sana! Itabidi niifikirie kwa jicho la tatu,but sijui nikutane na nani ili kila kitu kiwe possible baada ya ndoa?
 
Sasa rafiki yangu ukipangwa huko sumbawanga kuna afadhali gani tena jamani, Njombe to Sumbawanga si bora uje kwetu Songea, Njombe to Songea ni 240km, nauli 10,000 basi

mkuu uko tayari kwenda kahama?
 
kwani huko mnako kwenda hakuna wanawake au wanaume hadi ulalamike namna hiyo!
 
kuna mtu amepangwa KWIMBA-MWANZA kama inawezekana mbadilishane yeye aje NJOMBE@
 
Kwani lazima wote mfanye kazi Serikalini???

Kwani lazima wote muajiriwe???

Tafakari hayo maswali kwanza na usiwe na pupa katika maamuzi.

Kila lakheri
 
Back
Top Bottom