Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,400
- 3,599
Ni mwanamke ninayempenda sana na nishapeleka kishika uchumba kwao,tatizo ni kuwa yeye kapangwa wilaya ya KAHAMA,mi nimepangwa wilaya ya NJOMBE,mwenye ushauri anishauri nifanye nini ili tuwe wilaya moja? coz naona NDOTO ZA NDOA ZIMEINGIA DOA