chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 12,246
- 35,839
Eti Musoma mjini pakoje kimiundombinu na mzunguko wa hela me niko Arusha.
Kwani lazima wote mfanye kazi Serikalini???
Kwani lazima wote muajiriwe???
Tafakari hayo maswali kwanza na usiwe na pupa katika maamuzi.
Kila lakheri
kuna mtu amepangwa KWIMBA-MWANZA kama inawezekana mbadilishane yeye aje NJOMBE@
Ni mwanamke ninayempenda sana na nishapeleka kishika uchumba kwao,tatizo ni kuwa yeye kapangwa wilaya ya KAHAMA,mi nimepangwa wilaya ya NJOMBE,mwenye ushauri anishauri nifanye nini ili tuwe wilaya moja? coz naona NDOTO ZA NDOA ZIMEINGIA DOA
Bora ameenda mbali! mshahara wa 240,000/= ungetunzaje familia kama sio kwenda kumtesa mtoto wa watu
sasa kuna umbl gani misingwi na kahama hata mara tano kwa siku unaeza enda na kurudi..km ningekua ww ningebadlshn na huyo wa misingwi
Me niko Nsimbo, will you ?