Akifa baada ya kumaliza tenure yake kama ilivyo kwa hayati Mkapa anakuwa takataka siyo?!Kumkumbuka Rais aliyefia madarakani Kuna tatizo gani?
Akifa baada ya kumaliza tenure yake kama ilivyo kwa hayati Mkapa anakuwa takataka siyo?!Kumkumbuka Rais aliyefia madarakani Kuna tatizo gani?
Familia ikiamua kumkumbuka ndugu Yao aliyekuwa Rais Kuna shida Gani?Akifa baada ya kumaliza tenure yake kama ilivyo kwa hayati Mkapa anakuwa takataka siyo?!
Kumrudisha Makonda kwenye system kulimharibia mengi sana na kuongeza maadui.. Kumsifia juzi ndio kumemmaliza kabisa .. Backup aliyonayo kwasasa ni ile cycle ya wanaofaidika nayeUkisikiliza kwa umakini jinsi Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti wa CCM Taifa anavyoongea kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa, unagundua ndani ya CCM Kuna kutokutakiwa kwake.
Siku hizi huoni Samia akiongea zaidi kama kiongozi mwenye mamlaka ndani ya CCM, bali ni kama kiongozi anayetegemea hatima yake toka kwa watu kama kina Makonda.
Mashambulizi dhidi yake ndani ya CCM yamekuwa makubwa Sana na dalili mojawapo ni jinsi wale wanaojiita waumini wa Magufuli ndani ya CCM wanavyoanza kumshambulia hadharani.
Kwa Sasa kama asingekuwa na cheo cha Urais nadhani wababe ndani ya CCM wangeshamfukuza chamani waweke mtu wao.
2007Yeye mwenyewe alitaka kuwa muhudumu WA ndege urais ni mzigo mkubwa saana kwake ni vile tuu Hana namna
Katika mambo unayoyajua kwa ufasaha ni kutukana a.k.a matusiTulia chumbani ujiandae kumuandalia mzee Abubakar futari
Huyo kijana Huwa ni mharibifu.Kumrudisha Makonda kwenye system kulimharibia mengi sana na kuongeza maadui.. Kumsifia juzi ndio kumemmaliza kabisa .. Backup aliyonayo kwasasa ni ile cycle ya wanaofaidika naye
Familia? Akina Biteko na Kassim Majaliwa ni mabinamu kwenye familia hiyo?! Acheni utani. Shigella ni mwanafamilia ya wapi?!Familia ikiamua kumkumbuka ndugu Yao aliyekuwa Rais Kuna shida Gani?
Pale mwitongo Huwa wanafanya na hao maparoko Huwa wanaenda,
Kwanini hamtaki Magu akumbukwe, aliwakosea nini?
Kwani Kuna uadui Gani Hadi Shigela, Biteko, Kassim wasihudhurie?Familia? Akina Biteko na Kassim Majaliwa ni mabinamu kwenye familia hiyo?! Acheni utani. Shigella ni mwanafamilia ya wapi?!
Hatutaki double standards, kama wengine wanaonekana hawastahili kumbukizi tujulishwe. Wote waliitumikia nchi hii equally.
Na yeye ni Muumini wa nani?Ukisikiliza kwa umakini jinsi Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti wa CCM Taifa anavyoongea kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa, unagundua ndani ya CCM Kuna kutokutakiwa kwake.
Siku hizi huoni Samia akiongea zaidi kama kiongozi mwenye mamlaka ndani ya CCM, bali ni kama kiongozi anayetegemea hatima yake toka kwa watu kama kina Makonda.
Mashambulizi dhidi yake ndani ya CCM yamekuwa makubwa Sana na dalili mojawapo ni jinsi wale wanaojiita waumini wa Magufuli ndani ya CCM wanavyoanza kumshambulia hadharani.
Kwa Sasa kama asingekuwa na cheo cha Urais nadhani wababe ndani ya CCM wangeshamfukuza chamani waweke mtu wao.
Yaani hawawezi kuongea bila kumtaja kwa mabaya Magu, shida kweli kweli aise.Kwani Kuna uadui Gani Hadi Shigela, Biteko, Kassim wasihudhurie?
Mbona Samia ameenda chato mara nyingi tu?
Mna tatizo gani na kivuli Cha Magufuli.?
Hapo kwenye bandari, basi tu!!Mambo yaliyopunguza sana kuaminika kwa Rais Samia, ni pamoja na suala la kuwapa bandari DPW na kuyapa makampuni ya huko Uarabuni hifadhi za Taifa. Jambo hilo limeleta wasiwasi mkubwa kama Rais ana dhamira ya kulinda rasilimali za nchi kwa maslahi ya sasa na ya baadaye ya Taifa.
Mbarawa, Rostam na Abdu wamemtia doa baya ambalo linamfanya asiaminike kwa kiwango kinachotakiwa kwa kiongozi mkuu wa nchi.
Yaani inawezekanaje kumsahau Magu, Eti hawataki atajwe Wala akumbukwe!!Yaani hawawezi kuongea bila kumtaja kwa mabaya Magu, shida kweli kweli aise.
ikulu ni magogoni jijini dar tu, hiyo ikulu ya chamwino mjini dodoma ni ya show off tu wala haina impact kwa nchi hii. Wapi uliona nchi ina ikulu mbili? Ikulu ni moja tu iliyopo mji mkuu wa Tanzania, Dar es Salaam.Kumbe ndiyo maana Maza kahamisha Ikulu kurudi Magogoni
Maana zaidi ya mwezi hajakanyaga Chamwino
Kibaya zaidi kila wakimponda Magu ndio wananchi wanapatwa na hasira zaidi.Yaani inawezekanaje kumsahau Magu, Eti hawataki atajwe Wala akumbukwe!!
Unajiuliza kwani Magu ambaye ameshafariki, akitajwa Kwa mazuri yake, anaathiri vipi utendaji wa Rais aliyepo?
Ramli 😁😁Ukisikiliza kwa umakini jinsi Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti wa CCM Taifa anavyoongea kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa, unagundua ndani ya CCM Kuna kutokutakiwa kwake.
Siku hizi huoni Samia akiongea zaidi kama kiongozi mwenye mamlaka ndani ya CCM, bali ni kama kiongozi anayetegemea hatima yake toka kwa watu kama kina Makonda.
Mashambulizi dhidi yake ndani ya CCM yamekuwa makubwa Sana na dalili mojawapo ni jinsi wale wanaojiita waumini wa Magufuli ndani ya CCM wanavyoanza kumshambulia hadharani.
Kwa Sasa kama asingekuwa na cheo cha Urais nadhani wababe ndani ya CCM wangeshamfukuza chamani waweke mtu wao.
Yaani bandari wapewe wageni,Kibaya zaidi kila wakimponda Magu ndio wananchi wanapatwa na hasira zaidi.
Yusuf Makamba and Co watamuokoa maana ndiyo watu wake anaowategemea kuliko chamaUkisikiliza kwa umakini jinsi Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti wa CCM Taifa anavyoongea kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa, unagundua ndani ya CCM Kuna kutokutakiwa kwake.