Hivi wakemia ulimwenguni kote wameshindwa kabisa kutengeneza dawa ya kutibu UKIMWI?

Dawa zipo hata hapa Tanzania na watu wanapona.

Nimeshuhudia kwa macho yangu mtu alikuwa taabani anakula vidonge vya hospitali, akaambiwa kuna mtu Magomeni anaitwa Msigwa ana dawa yake kaitengeneza kutokana na miti shamba, muathirika akaona hana cha kupoteza aanze kuitumia, mwaka wa tano sasa yupo negative na kawacha uasherati kabisa. Na aliwacha siku nyingi sana kutumia madawa ya matumaini.
Kirusi cha ukimwi kilishawahi kuonekana?
 
Ni kweli wameshindwa kabisa kugundua dawa ya kutibu Ugonjwa wa Ukimwi au wana maslahi na ugonjwa huu?

Kwa miaka mingi tangu ugonjwa huu ulipogundulika kumekuwa na taarifa nyingi zenye utata kuhusu tiba yake,
mara tiba yake inafanyiwa uchunguzi na majaribio lakini hadi leo bado ni kizungumkuti.

Nb. Ugonjwa wenyewe ulivyotulia utadhani haupo, tuwe makini bandugu ukimwi ni hatari.

1. Kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu
2. Pima afya ili kujua hali yako
3. Epuka ngono zembe
4.Tumia kinga kila unapojamiiana.

Sambaza upendo, usisambaze ukimwi, stay safe always.
Kuna kundi wanapewa sijui PEP au kitu fulani kinafanana na hicho
 
K
Ukimwi unaosababishwa na kirusi kilichopewa jina la HIV haupo, vipimo vyenyewe vina misleading sana.

Kinachopimwa si kirusi bali ni CD4.

Asilimia kubwa ya magonjwa yanayosababishwa na virus yamedhibibitwa ijekuwa ukimwi ambao unaaminika una miaka zaidi 35 kila siku tunapewa nahau tu. Amkaaa!!!
Kuna mambo mengine sio ya kujadili sana...
Ni vile mnakaza fuvu tuu.
Na kufuata mikumbo. Ila siku ukiyavaa utaelewa hiko kitu.
 
Dawa za binadamu ni miradi ya watu wazito. Mabilionea wa dunia hii.

Mradi wa ARV na biashara ya condoms ina faida maradufu. Hakuna atakayethubutu kuleta dawa.

Chukua tahadhari.
 
Dawa zipo hata hapa Tanzania na watu wanapona.

Nimeshuhudia kwa macho yangu mtu alikuwa taabani anakula vidonge vya hospitali, akaambiwa kuna mtu Magomeni anaitwa Msigwa ana dawa yake kaitengeneza kutokana na miti shamba, muathirika akaona hana cha kupoteza aanze kuitumia, mwaka wa tano sasa yupo negative na kawacha uasherati kabisa. Na aliwacha siku nyingi sana kutumia madawa ya matumaini.
Watakuja DM. Ungeweka kabisa na namba ya Msigwa awe maarufu zaidi ya Mwamposa.
 
acha ubishi dawa ipo kabisa ila huo ni mradi kama ilivyo mingine
Kwahiyo dawa ikiwepo walio igundua wanalazimika kuigawa bure? Si bado wataiuza tu na hela wataendelea kupata kama yalivo makampuni ya dawa za malaria, amiba, tb, homa ya matumbo nk. Mkuu kudeal na kirusi sio rahisi sana, ni mdudu complicated
 
yaani mtu aweze kutengeneza AI ama kupeleka chombo space kirusi kimshinde ni mwendo wa mahesabu ya hela na deal tuu mze
 
Ni kweli wameshindwa kabisa kugundua dawa ya kutibu Ugonjwa wa Ukimwi au wana maslahi na ugonjwa huu?

Kwa miaka mingi tangu ugonjwa huu ulipogundulika kumekuwa na taarifa nyingi zenye utata kuhusu tiba yake,
mara tiba yake inafanyiwa uchunguzi na majaribio lakini hadi leo bado ni kizungumkuti.

Nb. Ugonjwa wenyewe ulivyotulia utadhani haupo, tuwe makini bandugu ukimwi ni hatari.

1. Kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu
2. Pima afya ili kujua hali yako
3. Epuka ngono zembe
4.Tumia kinga kila unapojamiiana.

Sambaza upendo, usisambaze ukimwi, stay safe always.
Ni hivii,upo mpango wa kupunguza watu duniani,if you haven't seen it already,bad luck for you,but it is obvious.Sasa kama huo ndio mpangoo,watengeneze dawa ya kutibu ukimwi tena,si watakuwa wanajipinga wenyewe?

Lakini ipo concept yao ya Thesis-Antithesis-Synthethis au Problem-Solution-Reaction.Hii ina maana gani,ina maana kwamba kama watatengeneza dawa (solution)kwa tatizo ambalo tayari wamesha litengeneza yaani HIV-Aids(Problem),solution itatengeneza tatizo lingine kubwa zaidi, ambalo litahitaji "reaction," which will lead to an even bigger problem and so the process continues.

In the short term utaona kana kwamba tatizo lako limetatuliwa,but that is only short term and an illusion.That is how they operate,hawana desire completely ya kutatua matatizo,nia ni kuleta more problems.Infact hata kwa waganga wa kienyeji,that is how the system works,it is a Satanic system based on lies.
 
Tatizo ni kwamba kirusi cha vvu kinatabia ya kujibadili au kukopi muundo mzima wa DNA ya binadamu kwaio inakuwa ngumu sana kuitambu DNA ya virus na hostkirusi wa vvu anaitwa retrovirus
 
Ni hivii,upo mpango wa kupunguza watu duniani,if you haven't seen it already,bad luck for you,but it is obvious.Sasa Kama huo ndio mpangoo,watengeneze dawa ya kutibu ukimwi tena,si watakuwa wanajipinga wenyewe?

Lakini ipo concept yao ya Thesis-Antithesis-Synthethis au Problem-Solution-Reaction.Hii ina maana gani,ina maana kwamba kama watatengeneza dawa (solution)kwa tatizo ambalo tayari wamesha litengeneza yaani HIV-Aids(Problem),solution itatengeneza tatizo lingine kubwa zaidi, ambalo litahitaji "reaction," which will lead to an even bigger problem and so the process continues.

In the short term utaona kana kwamba tatizo lako limetatuliwa,but that is only short term and an illusion.That is how they work,hawana desire completely ya kutatua matatizo,nia ni kuleta more problems.Infact hata kwa waganga wa kienyeji that is how the system works,it is a Satanic system based on lies.
Fact
 
Tatizo ni kwamba kirusi cha vvu kinatabia ya kujibadili au kukopi muundo mzima wa DNA ya binadamu kwaio inakuwa ngumu sana kuitambu DNA ya virus na hostkirusi wa vvu anaitwa retrovirus
Unajua mkuu,there is alot of deception kutoka kwa hawa watu,kiasi kwamba you can never trust them for anything.Hivi who has ever proved what they say about HIV-Aids.Have you?I believe not,so why should you believe fully.Independent Scientists who are not controlled by them deny the presence of HIV-Aids.Infact hata uwepo wa Viruses wenyewe is debatable.
 
Back
Top Bottom