Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 16,757
- 42,641
Ni ngumu kutengeneza dawa ya kitu ambacho hakipo.Ni kweli wameshindwa kabisa kugundua dawa ya kutibu Ugonjwa wa Ukimwi au wana maslahi na ugonjwa huu?
Kwa miaka mingi tangu ugonjwa huu ulipogundulika kumekuwa na taarifa nyingi zenye utata kuhusu tiba yake,
mara tiba yake inafanyiwa uchunguzi na majaribio lakini hadi leo bado ni kizungumkuti,
Nb. Ugonjwa wenyewe ulivyotulia utadhani haupo, tuwe makini bandugu ukimwi ni hatari,
1.Kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu
2.Pima afya ili kujua hali yako
3.Epuka ngono zembe
4.Tumia kinga kila unapojamiiana.
Sambaza upendo, usisambaze ukimwi, stay safe always.