Hivi vazi la taifa limekwenda wapi?

Wapwani ndio kioo cha tamaduni cha nchi hii, sasa sisi mavazi yetu ya kitaifa tunayo na tunaendelea nayo mpk kesho, sisi twavaa msuli na baraghashia nyie mtakubali kuvaaa?
 
Back
Top Bottom