watu wanapiga makelel hapa kuwa ni chakula cha mzungu mara makemikali mengi but sisi vyakula gani tunakula basi? kwa ninilife expectance wametuzidi pia? i hope ikija itaongeza soko la ajiraHaipo maana watakosa biashara. Hawa watanzania wamezoea kunywa uji wa mbege, ndizi nyama, chapati maharage iwe asubhuhi, mchana na jioni. Nashangaa kama watajua jinsi ya kushika hilo liburger la Mcdonald lilivyo likubwa. Basi wanadai ni chakula cha mzungu maana mzungu hali kizito kama mwafrika. Hebu nipe tano
Wakuu ningependa kufahamishwa kama Tanzania macdonald ipo na kama haipo kwa nini?
Duh! miafrika ndivyo ilivyo.
napapataspur iko sea cliff- masaki......makini sana
Hizo kitu za moroco zimetulia sana! Ma kids walinifanya na mimi nizipende!mc donald ya nini wakati burger za morroco(hot box)ndo kila kitu..
Tatizo la Spur misosi ni expensive sana.spur iko sea cliff- masaki......makini sana
kua uyaone...nilishangaa kuna jamaa mmoja nilikuana na ye akaniambia kuwa hajawahi kunywa coca cola...lakini badae nikaona kuw ani kitu cha kawaidaWengine hapa tunaona nyotanyota tu, mimi nlkuwa cjui hata hao macdonald wanajhucsha na nn, nadhan nw nmejua ni wauzaj vyakula vlvyopikwa, kipengele kngne knachonchanganya sana ni kwamba wanapika na ni vyakula gan wanauza hasa hasa nasi tujue.
sa c bora uwahi kwa mama ntilie 2.Labda wapike bagia za kunde, bumunda,vibama na kashata ndo kidogo watanivutia ila hayo ma burger unakuta kabichi mbichi, nyanya mie vyote hivo natupa ubaki mkate2.
Wakuu Arusha Ilikuwepo but wamebadili jina now inaitwa mc mood.
Lini imebadilishwa? (sijawahi /sikumbuki kama hii ilikuwaga McDonald once upon a time)Wakuu Arusha Ilikuwepo but wamebadili jina now inaitwa mc mood.