Hivi Tanzania kuna MacDonalds?

Junk chakula
This article needs additional citations for [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Verifiability"]verification[/ame].
Please help improve this article by adding [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Reliable_sources"]reliable references[/ame]. Unsourced material may be [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Template:Fact"]challenged[/ame] and removed. (August 200
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Cheetos"]Cheetos[/ame] are commonly considered a junk food partially because it is prepared in industrial kitchens and packaged.



The [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Luther_Burger"]Luther Burger[/ame], a bacon cheeseburger which employs a glazed donut in place of each bun, is considered a junk food partially due to the high sugar and fat content.


Junk food is an informal term applied to some foods which are perceived to have little or no [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Nutrition"]nutritional[/ame] value, or to products with nutritional value but which also have ingredients considered unhealthy when regularly eaten, or to those considered unhealthy to consume at all. The term was coined by [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Michael_Jacobson"]Michael Jacobson[/ame], director of the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Center_for_Science_in_the_Public_Interest"]Center for Science in the Public Interest[/ame], in 1972.[1]
Foods more likely to be considered junk food generally are those that are more convenient and easy to obtain in a ready-to-eat form, though being such does not automatically define the food as "junk food."
[edit] Marketing

During 2006, in the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/United_Kingdom"]United Kingdom[/ame], following a high profile media campaign by the chef [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Jamie_Oliver"]Jamie Oliver[/ame] and a threat of court action from the National Heart Forum[2], the UK advertising regulator and competition authority, [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Ofcom"]Ofcom[/ame], launched a consultation on advertising of foods to children.[3] The [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Food_Standards_Agency"]Food Standards Agency[/ame] was one of many respondents.[4] As a result, a ban on advertising during children's [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Television"]television[/ame] programmes and programmes aimed at school aged children (5-16) was announced.[5] The ban also includes marketing using [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Celebrity"]celebrities[/ame], [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Cartoon"]cartoon[/ame] characters and health or nutrition claims.
" Many teenage girls, already the most poorly nourished of any group in America, have stopped drinking milk or eating meat in their extreme fear of fat. "
-Frances Berg, MS, Women Afraid to Eat
Eating disorders have increased five-fold among children 8-13, one clinic noting that one child as young as five developing anorexia.[6] According to NHANES III, two-thirds of teenage girls who are trying to eat "healthy" by avoiding junk foods are deficient in iron, calcium and other important nutrients.[7] MC Donald kwa ajili ya hivyo vyakula vyao feki vinavyonenepesha ovyovyo? hatutaki wabongo.
 
Haipo maana watakosa biashara. Hawa watanzania wamezoea kunywa uji wa mbege, ndizi nyama, chapati maharage iwe asubhuhi, mchana na jioni. Nashangaa kama watajua jinsi ya kushika hilo liburger la Mcdonald lilivyo likubwa. Basi wanadai ni chakula cha mzungu maana mzungu hali kizito kama mwafrika. Hebu nipe tano
watu wanapiga makelel hapa kuwa ni chakula cha mzungu mara makemikali mengi but sisi vyakula gani tunakula basi? kwa ninilife expectance wametuzidi pia? i hope ikija itaongeza soko la ajira
 
hayo matumbo yamemwagika na MCDONALD haijaja,ikija sindio tutawasukuma na vitoroli
 
Me nikipiga liugali langu na mchicha najifil poa kabsa,hayo mambo ya mcdonald mnayajua nyie wenyewe.
 
Wengine hapa tunaona nyotanyota tu, mimi nlkuwa cjui hata hao macdonald wanajhucsha na nn, nadhan nw nmejua ni wauzaj vyakula vlvyopikwa, kipengele kngne knachonchanganya sana ni kwamba wanapika na ni vyakula gan wanauza hasa hasa nasi tujue.
 
Wengine hapa tunaona nyotanyota tu, mimi nlkuwa cjui hata hao macdonald wanajhucsha na nn, nadhan nw nmejua ni wauzaj vyakula vlvyopikwa, kipengele kngne knachonchanganya sana ni kwamba wanapika na ni vyakula gan wanauza hasa hasa nasi tujue.
kua uyaone...nilishangaa kuna jamaa mmoja nilikuana na ye akaniambia kuwa hajawahi kunywa coca cola...lakini badae nikaona kuw ani kitu cha kawaida
 
Labda wapike bagia za kunde, bumunda,vibama na kashata ndo kidogo watanivutia ila hayo ma burger unakuta kabichi mbichi, nyanya mie vyote hivo natupa ubaki mkate2.
 
Labda wapike bagia za kunde, bumunda,vibama na kashata ndo kidogo watanivutia ila hayo ma burger unakuta kabichi mbichi, nyanya mie vyote hivo natupa ubaki mkate2.
sa c bora uwahi kwa mama ntilie 2.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom