Watu Duniani waanza kususia bidhaa za makampuni makubwa yanayounga mkono Israel

SNAP J

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
7,079
7,976
Kwa kile kinachoonekana ni mgomo dhidi ya ununuzi wa bidhaa kutoka makampuni makubwa duniani kama vile Macdonald's, Starbucks na Disney, Mauzo na Hisa za makampuni hayo yenye majina zinazidi kuporomoka kwa kasi ya kutisha, huku sababu kuu ikibainishwa kuwa ni makampuni hayo kuonyesha kusapoti mauaji ya Israel Gaza.

Hii inaonyesha dhahiri kuwa Dunia imechoshwa na udhalimu wa Israel dhidi ya Gaza.

Coca cola na Pepsi zijiandae.

Global brands like McDonald’s, Starbucks, and Disney are facing a stock downturn, triggered by a WORLDWIDE BOYCOTT due to their support for Israeli military actions in Gaza.

IMG_20231025_171329.jpg
 
Jihadist sympathiser busy parading propaganda.
Thunder fire you.. Yaani nisile Mc Donald kisa kuna mwarabu kauawa aking'ang'ania kutapeli Ardhi ya watu!!.
ISA MY FOOT.
Hapa Tanzania sijawahi ona jihadist mvaa visuari vifupi na kobazi na vilemba vyao na midevu kama ya Osama akila hotel hata kwa mama nitilie sembuse iwe Mcdonalds au Starbucks?

Hawana hela hula misikitini tu kwa chakula cha kupewa na wasamaria wema
 
Taratibu mkuu. Kitu ambacho waarabu wamefanikiwa duniani wakidundwa kwa Upumbavu wao Kama huu wa Hamas na Israel Ni kuwaaminisha majitu majinga kuwa wanapigana na uislamu. Swali usilam ndiyo uliorusha maroket Israel au Hamas? Na baada ya kurusha wamekimbilia kuvaa mabaibui waonekane wa kike.
 
Sasa wewe Muisrael mweusi wa Kimarq Temboni umeishawahi kununua hizo bidhaa mfano McDonald’s, na Starbucks, ? Au unaleta ushabiki mandazi tu.
Maalim Ritz umenichekesha sana.. Unajua nini, nipo Mc Donald hapa kwa ajili ya kununua supper yangu nikaamua kufungua browser yangu ya Jf ndiyo naona comment yako hii😁😁.
Kila ninapokuwa Town hii ndiyo sehemu yangu ya Msosi, alafu si gharama kivile hata uhisi kuwa Mc Donald kuna Umaalumu fulani hivi.
Hii ni mikahawa tu sema kwetu huko Nkororo hazipo, uwa nazikutia Town tu kila ninapokuwa na trip.
Hapa nateleza zangu mdogo mdogo kwa mguu na burger langu la Mc Donald😂😂
 
Attachments

  • 20231025_192939_HDR-edit-20231025194615.jpg
    20231025_192939_HDR-edit-20231025194615.jpg
    529.5 KB · Views: 3
Sasa wewe Muisrael mweusi wa Kimarq Temboni umeishawahi kununua hizo bidhaa mfano McDonald’s, na Starbucks, ? Au unaleta ushabiki mandazi tu.
Bora vyuo vifungulie aisee maana tunajadili mambo mazito na vitoto vidogo mwisho wa siku unaweza ukavitukana ukajikuta unapigwa Ban.
 
Wana hadi midoli ya watoto wameipaka damu ili dunia iwe upande wao,akili za ki ibilisi hizi!
Propoganda za kitoto unaleta, Biden anawema Hamas wamechinja watotp Israel anaulizwa umeona hata picha anajibu wenyewe ndiyo wanasema..
 
Kwa kile kinachoonekana ni mgomo dhidi ya ununuzi wa bidhaa kutoka makampuni makubwa duniani kama vile Macdonald's, Starbucks na Disney, Mauzo na Hisa za makampuni hayo yenye majina zinazidi kuporomoka kwa kasi ya kutisha, huku sababu kuu ikibainishwa kuwa ni makampuni hayo kuonyesha kusapoti mauaji ya Israel Gaza.

Hii inaonyesha dhahiri kuwa Dunia imechoshwa na udhalimu wa Israel dhidi ya Gaza.

Coca cola na Pepsi zijiandae.

Global brands like McDonald’s, Starbucks, and Disney are facing a stock downturn, triggered by a WORLDWIDE BOYCOTT due to their support for Israeli military actions in Gaza.

View attachment 2792494
waanze na facebook, whatsapp, google na kadhalika, afu waje kwenye madawa ya binadamu. pia wasusie na biashara za marekani kwasababu makazi mapya ya wayahudi kule israel huwa yanajengwa kwa pesa za umoja wa wayahudi waishio marekani, wanachanga pesa kabisa.
 
Kwa kile kinachoonekana ni mgomo dhidi ya ununuzi wa bidhaa kutoka makampuni makubwa duniani kama vile Macdonald's, Starbucks na Disney, Mauzo na Hisa za makampuni hayo yenye majina zinazidi kuporomoka kwa kasi ya kutisha, huku sababu kuu ikibainishwa kuwa ni makampuni hayo kuonyesha kusapoti mauaji ya Israel Gaza.

Hii inaonyesha dhahiri kuwa Dunia imechoshwa na udhalimu wa Israel dhidi ya Gaza.

Coca cola na Pepsi zijiandae.

Global brands like McDonald’s, Starbucks, and Disney are facing a stock downturn, triggered by a WORLDWIDE BOYCOTT due to their support for Israeli military actions in Gaza.

View attachment 2792494
Huu ni upuuzi
 
Huu ni sawa na ujinga ufanywao Zanzibar, eti mtu ana njaa wakati wa ramadhani akila anapigwa na vigilantes ambao hawana kazi wala kusoma hawajuwi ila wamekariri kiarab tu ambacho akiwasaidii maishani mwao huku Rais akiwa kimya. Yaani leo hii mimi Jamaa Mbishi niache kula nikipendacho kisa mwarab kauliwa Gaza au Palestina, je mimi nikifa kuna Mwarab yeyoye atanililia na kususa kula ugali na mishikaki iliyo na kachumbari kweli pamoja na kisamvu cha nazi?
 
Back
Top Bottom