Hivi ni Mwanamke tu......

karibu lunch dia, ugali,bamia na matembele[/QUOTE]

umenishusha mate, hiyo kitu cjaila cku nyingi sana, umenitamanisha tembele la nyama...watu mna makusudi na lunch tym hii mie mdomo umejaa mate...karibu mbege baridi.
 
mmmmmmh!Kweli kumpata mwanamke wa kuoa nyakati hizi ni kazi!

pia KUMPATA MWANAUME WA KUOLEWA NAYE TABU KWELI KWELI SIKU HIZI
WANAUME WAMEKWISHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA (natania..ehh msije mkaanza kunirukia bure....mpo nadanganya bwana yan wanaume wa kuolewa nao wapo kibaooo wana sifa nzuuuri na waaminifu haooo....)
 
sijawahi kunywa mbege ya baridi, huwa natumia ya moto!hivi ina ladha gani vile Nyamayao????
 
Dawa yako ni ndogo tu!ukijidai we ni mkombaji basi mi nakuhesabia matonge!ukizidisha tu nakukoa!halafu siku nyingine sikukaribishi
kwan mchanga utakua mbali kiivo??ukinikoa nachukua mchanga puuuh kwenye mboga then nasepa...........nkaribishe uone gemu lake!!!
 
atakuja kuanza nxt monday bt pleeeeese msisitize mwambie aache kuamini ratio ni sehemu mf
5/4 imekaa ki mfalme vs mtumwa
2:2 imekaa kirafiki kila kitu sambamba
adadafue namba kwa jicho la sosho na siyo jicho la hisabati!!!!!!(katika mada i)

asa Rose mbona unamchakachua mwalimu? lol
 
sijawahi kunywa mbege ya baridi, huwa natumia ya moto!hivi ina ladha gani vile Nyamayao????

wacha tu, mie mbege ya baridi ndio huwa na enjoy, ofcn wanakoma wenyewe, nimeshusha chipc sausage nasukumia na mbege, shughuli naniyo kila asubuhi kama ipo bac haaa najibebea kwenye kachupa ndio soda yangu ya mchana...tamu kweli kweli, huwa cwezi kumaliza week cjanywa mbege kwa kweli..
 
asa Rose mbona unamchakachua mwalimu? lol
asi kwa sababu namlipa mimi?
kwan maprof wetu wanatoa ripot zao kulingana na MLIPAJ?
mfamaj anakiwa amfundshe material acc to ma wish na si vngnevyo .nkiosema njano ni nyeusi inabidi aone ivyo ..gari ni kitanda inabd aone ivyo ole wake aende kinyume na matakwa yangu
si kwamba siujui ualimu ila naeshmu proffesnalism UNDER DONORs WISH.
 
wacha tu, mie mbege ya baridi ndio huwa na enjoy, ofcn wanakoma wenyewe, nimeshusha chipc sausage nasukumia na mbege, shughuli naniyo kila asubuhi kama ipo bac haaa najibebea kwenye kachupa ndio soda yangu ya mchana...tamu kweli kweli, huwa cwezi kumaliza week cjanywa mbege kwa kweli..

Ni kweli Nyamayao lakini hiyo mbege itengenezwe na mchaga wa ukweli sio hawa wanaochakachua hapa mjini kisha wanatupa mbege hata ladha yake inakuwa haieleweki kabisa
 
Orait so "he who pays the piper........"

sasa mfadhili baada ya kukubaliana na mwalimu itabidi niende field practicle ama vipi...:tape:
 
Hivi Luv ndo nini kuniibia kambege kangu home kwenye kidumu sasa hivi nitakuwa napigia mstari kalipoishia....kumbe unajinoma ofisini
 
Orait so "he who pays the piper........"

sasa mfadhili baada ya kukubaliana na mwalimu itabidi niende field practicle ama vipi...:tape:
fild ya nini? ili ukimaliza fild udai graduation?
ukimaliza ya darasani inatosha sina ela ya kugharamia mahafali mimi
si lazima theory awe rafiki yake practical sometimes theory goes by itself!!!!!!!
 
Jamani naombeni msaada hapa, hivi katika mahusiano ni Mwanamke tu ndio anayetakiwa kusacrifice kila kitu kwa ajili ya relationship?au hata Mwanaume anaweza kusacrifice?
Wote wana jukumu la kulinda mahusiano.
 
fild ya nini? ili ukimaliza fild udai graduation?
ukimaliza ya darasani inatosha sina ela ya kugharamia mahafali mimi
si lazima theory awe rafiki yake practical sometimes theory goes by itself!!!!!!!

I promise nitaishia kwenye field tu....graduation sitadai kabisa.......
 
Ni kweli Nyamayao lakini hiyo mbege itengenezwe na mchaga wa ukweli sio hawa wanaochakachua hapa mjini kisha wanatupa mbege hata ladha yake inakuwa haieleweki kabisa

haaa nikiwa naenda njoro huwa naagiza kabisa nitengenezewe ile fresh fresh....wacha kabisa...msesewe wa kutosha, bwana wee maisha matamu.
 
Mtoa mada kwa jinsi ulivyoileta ni kama vile limekukuta. Hili swali ni muhimu sana kwa wanamahusiano/kapo maana limekuwa likichangia katika kuumizana. Mie nina mtazamo tofauti kidogo.

Pamoja na kwamba kinadharia ni ukweli kuwa wote tunatakiwa kusacrifice sawa lakini ni kapo chache sana ambazo kuna uwiano ulio sawa asilimia 100 kwa mia. Kuna zile ambazo mwanaume ndie anasacrifice sana kuliko mwanamke na nyingi ambazo mwanamke ndo husacrifice sana than mwanaume. Kinadharia ni rahisi kusema na kuupport but kivitendo na hali halisi bado ni ngumu kupata uwiano ulio sawa. Cha muhimu tu ni kwa mwanamke/mwanaume anayependa kiukwelii kuwa na akili nzima yaani afall head over heels but with Free brain.

The One who love the least, controls the relationship: Kwa kuwa anajua unampenda zaidi ya yeye anavyokupenda, yeye kashika mpini wewe umeshika makali akitaka usacrifice kazi, shule, friends e.t.c utasacrifice tu... unless you spared your brain a little to rescue you!
 
Back
Top Bottom