Hivi ni Mwanamke tu......

Sashay

Member
Jan 20, 2010
38
1
Jamani naombeni msaada hapa, hivi katika mahusiano ni Mwanamke tu ndio anayetakiwa kusacrifice kila kitu kwa ajili ya relationship?au hata Mwanaume anaweza kusacrifice?
 
wote wawili kama mnataka mahusiano imara ingawaje mara nyingi mwanamke ndo anabeba mzigo mkubwa wa kulinda mahusiano yasiporomoke
 
Jamani naombeni msaada hapa, hivi katika mahusiano ni Mwanamke tu ndio anayetakiwa kusacrifice kila kitu kwa ajili ya relationship?au hata Mwanaume anaweza kusacrifice?

...hata mimi hushughulishwa na hizi 'Send Offs'
ni sawa na kutolewa/kujitolea mhanga.
 
wote mwanaume na mwanamke wanatakiwa kusacrifice kila kitu kwa ajili ya mwenzake
 
wote wawili lakini mwanamke lazima azidi ( kuji-sacrifice ) ili hiyo relation idumu
 
mmh wote babu inabidi mjitolee lakin si mwanamke peke ake
inatia huruma pale ambapo mwanamke anakuwa km slave kwa mumewe yan kila kitu ..mume wangu jaman akijua mume wangu jaman ..yan ata km kitu akina kosa
arud home mapema kupika ata km mumewe yupo hm tu mume hafanyi chochite hm,amfulie nguo ata km mume aend job
amfanyie kila kitu..
na act nyingine za kislave slave ahh apana
NIESHIMU NIKUESHIMU ,NIPENDE NIKUPENDE ,NIFANYE MALKIA NKUFANYE MFALME kinyume na hapo VITA NI VITA MURRRRRRRAH!!!!
 
wote wawili wanatakiwa kusacrifice ili mahusianao yawe imara zaidi

yappp!!!!!
kweli tupu.......
heshima pande zote
apa ile fomula ya ...REACTION =ACTION inaapply
vile unavyowekeza mapenzi kwa mwenza ni vivyo ivyo atarejesha mapenz KWAKO bt ustegemee kumfanya mtumwa mpz wako then utegemee mahaba motomoto
angalau onyesha concern kdg bt ukijifanya MI MWANAUME wewe ni mwanamke braaaaa braaaaaa braaaaaaaaaaa ahh apo lazma vita ya 4 ya mapenzi itokee!!!!!
i siyo hesabu ya 5/4 bali ni 2:2 sawa?? mfamaji baelezee nini maana ya sehemu na ratio!!!!!
 
hhah//we Rose wewe...ngoja nisubiri somo la Mfamaji kisha nikamwone mwalimu wangu wa HESABU kwa nini alinimislead....
 
nenda kwa mfamaji au roy wakufunde hesabu ada ntakulipia!
haaaaaa mi stak kabisa habari ya 5/4 hahhaa apana minataka 2:2
wknd vp lakin???
 
tatizo sasa hapo unantoa kwenye mada nakuwa nafanya 'selective reading' lol...ilikuwa pouwa sana nitakupa details tu......
sasa ni suala la mtazamo ila sehemu na ratio si ni sawa....?
5/4 ni sawa na 5:4 na kama nikiandika 2:2 ni sawa na kuandika 2/2 ambayo ni 1....lakini DHANA ya kwamba kunahitajika usawa ni muhimu...in fact kama mtoa mada anajisikia kwamba yeye anasacrifice zaidi, basi huo uhusiano haumfai

MJ1 ana signature inasema kuwa " He/She who loves the least controls the relationship" kama sijakosea
 
yappp!!!!!
kweli tupu.......
heshima pande zote
apa ile fomula ya ...REACTION =ACTION inaapply
vile unavyowekeza mapenzi kwa mwenza ni vivyo ivyo atarejesha mapenz KWAKO bt ustegemee kumfanya mtumwa mpz wako then utegemee mahaba motomoto
angalau onyesha concern kdg bt ukijifanya MI MWANAUME wewe ni mwanamke braaaaa braaaaaa braaaaaaaaaaa ahh apo lazma vita ya 4 ya mapenzi itokee!!!!!
i siyo hesabu ya 5/4 bali ni 2:2 sawa?? mfamaji baelezee nini maana ya sehemu na ratio!!!!!

mmmmmmh!Kweli kumpata mwanamke wa kuoa nyakati hizi ni kazi!
 
nenda kwa mfamaji au roy wakufunde hesabu ada ntakulipia!
haaaaaa mi stak kabisa habari ya 5/4 hahhaa apana minataka 2:2
wknd vp lakin???

Mmh . Shule bure hulipi hata shilingi. Ndio sera zetu mupya. Aje tu
 
tatizo sasa hapo unantoa kwenye mada nakuwa nafanya 'selective reading' lol...ilikuwa pouwa sana nitakupa details tu......
sasa ni suala la mtazamo ila sehemu na ratio si ni sawa....?
5/4 ni sawa na 5:4 na kama nikiandika 2:2 ni sawa na kuandika 2/2 ambayo ni 1....lakini DHANA ya kwamba kunahitajika usawa ni muhimu...in fact kama mtoa mada anajisikia kwamba yeye anasacrifice zaidi, basi huo uhusiano haumfai

MJ1 ana signature inasema kuwa " He/She who loves the least controls the relationship" kama sijakosea
inategemea umeichukua kwa mtizamo upi
5/4 ni tofauti na 2:2
NAKATAA RATIO SI SEHEMU
uku kwenye ratio relatshp watu wanakuwa SAWA WOTE lakin uku kwenye SEHEMU rltshp mmoja anakuwa juu mwngne ANAKUWA CHN...ni MTAZAMO TU UITAJI KUCHUKUA ZILE IDEA YA CMPYUTA N MATHEMATICS DEPATiMENT...si kwa hesabu za mwanahesabu apo ni idea ya hesabu panapo sosho mata kwenye kona ya mahusiano rafiki kwa rafiki au mahusiano ya mfalme na mtumwa!!!!!
 
karibu lunch dia, ugali,bamia na matembele
 
Mmh . Shule bure hulipi hata shilingi. Ndio sera zetu mupya. Aje tu
atakuja kuanza nxt monday bt pleeeeese msisitize mwambie aache kuamini ratio ni sehemu mf
5/4 imekaa ki mfalme vs mtumwa
2:2 imekaa kirafiki kila kitu sambamba
adadafue namba kwa jicho la sosho na siyo jicho la hisabati!!!!!!(katika mada i)
 
Back
Top Bottom