Hivi ni Mwanamke tu......

hhah//we Rose wewe...ngoja nisubiri somo la Mfamaji kisha nikamwone mwalimu wangu wa HESABU kwa nini alinimislead....

Kaizer,hiyo 0.2 si amewaachia wakina Eliza,hajakosea lazima kuwe na residual error kwenye kila kitu. Rose kwa mahesabu magumu...
 
Hahah Mimi Mambo Ya ndoa huwa yananiacha Hoi kwa kweli.
Wnawake bingwa kulilia Usawa ila linapo kuja swala la utekelezaji utawasikia ooh we mwanaume bwana so Fanya.
wengi wanapenda waweke mpodod chini waangalie TV,kula,kulala Basi.
Wote mnafanya kazi ila matumizi yote yanatoka kwa mwanaume....then mwanamke mshahara wake unafanyia nini?Thubutu kugusa hapo utaambiwa ooh wewe una mshahara mkubwa kuliko mimi,lakini hapo utaambiwa usawa Je wanawake huu usawa ni UPI..... Kama ntachukua nguo zangu mwenyewe kufua,Chakula HG kapika kimepoa niweke kwa micro wave mwenyewe kisa nimechelewa nyumbani working extra hrs kupata senti za kuhudumia familia.
Wana wake JF mkiongozwa na ROSE Hebu fafanueni Hili!!!
 
mmh mimi sjui bwana cz ata rangi ya ndoa siijui
waulize ao wenye ndoa zao
bt mimi stakuja kumfanyia ivo mume wangu
tutasaidiana majukumu
 
embu fafanua kidogo. Unaposema "kila kitu" una maanisha nini ???

Ina maana mwanamke itabidi ajibebeshe mimba yeye mwenyewe ???

Otherwise itabidi tukaangalie kwenye "katiba ya ndoa"
 
hapo umeniacha rose msaada tutani
apo sina lolote mwaya nilikuwa najishaua eti 5/4 imekaa namba moja juu moja chini so inamply mmoja anajifanya ndo mtawala wa chin atakuwa km mtumwa
2:2 imekaa sambamba so hakuna uonevu ni urafiki zaidi na masikilizAno mema
 
THE ONE WHO LOVE THE LEAST CONTROLS THE RELATIONSHIP:smile-big::smile-big::smile-big:
 
Jibu unalo,ukitaka mashindano utaula wachuya. Wanasema ukipenda ua/boga, uchimbe na mizizi
yake sio!:smile:
 
THE ONE WHO LOVE THE LEAST CONTROLS THE RELATIONSHIP:smile-big::smile-big::smile-big:
........ mh now this is what we call.....Plagiarism!

But it is true yule apendaye kidogo ndo mwenye uwezo wa kuamua nini kifanyike kwenye mahusiano na nini kisifanyike.
 
Huwa hakuna anyependa kidogo ikishafika hatua ya kuoana !! unless kama mnazungumzia "wasanii"
 
Back
Top Bottom