Hivi mwanaume anapata nini kwenye ndoa kiasi kwamba ajutie kutokuwa na ndoa. Je, ndoa kwa Dunia hii ni muhimu kuliko pesa

Let's talk reality

Kwamba mwanaume mwenye mke anapata heshima kuliko mwanaume mwenye hela?
Vyote vina umuhimu Mkuu, ndiyo maana Wazee wetu pamoja na umasikini wao waliweza Kuoa Bibi 2 hadi 6.

Ni heshima iliyoje mtoto kuzaliwa katikati ya Wazazi wote wawili wakiwepo.

Isipokuwa kwa case ya talaka na Kifo tu
 
Kuna uwezakano Tanzania tatizo la akili likawa ni kubwa Sana, swali linaulizwa kipi mwanaume mwenye pesa,watoto asiye na ndoa anakikosa kwenye maisha yake? Kiasi kwamba aone wivu kwa mwanaume maskini , mfano mzuri ni freeman aikel mbowe aliyekuwa mume wa mtoto wa mtei (Hawa walishatengana) Nini kinaweza kumfanya amuonee wivu Mzee WA CCM Stephen wasira kisa wasira ana ndoa na mbowe hana,je aliko dangote anaweza juta kisa kuikosa ndoa(huyu ni bachela marufu) njoo level ya mtaa wako wapo wanaume marufu wana pesa na watoto ila hawana ndoa either mke alikufa, waliachana nk , kiufupi hasara za mwanaume kukosa ndoa ni zipi kama una pesa na watoto tayari
 
Watanzania mlivyo na akili mbovu mwingine anajibu mara baba Yako sijui alifa yeje, sijui Nini, kama huna akili nzuri jijibu swali hili ni nini padre wa kiroma anakikosa kisa hana mke Wala ndoa
 
Kuoa ni ukomavu wa akili kwa mwanaume.
Ni kweli wanawake ni pasua kichwa ila tambua sio kila tatizo hukimbiwa hasa tatizo ambalo ni wajibu. Kutatua tatizo ni sehem ya kujifunza.

Kuishi na watoto pekee haitoshi kwako na kwa watoto pia, wototo hujifunza mambo mengi kwa wazazi sasa kuwanyima upande mwingine wa somo uiue unawaanda kwa maisha ya upande mmoja (usiloliweza mwingine analiweza). Kama wewe umeshindwa Watoto wako kama ni wa kiume usifikiri na usiwaandae kushindwa
uliloshindwa, umeamua kuwanyima haki yao.

Jamii zetu nyingi za kiafrika kuoa ni jambo la heshima kubwa na kuaminika zaidi. Kama la familia litakushinda hata mengine yataweza kukushinda, japo si yote!
Hakuna asiyependa heshima labda mpumbavu tu, HESHIMA NI ZAIDI UMAARUFU.
Kuoa ni wajibu wa kila mwanaume anayejitambua.
Lakini ujue hao watoto ni wapitaji hapo hutakaanao maisha yako yote na usiwategemee kabisa. Kwa sasa wanakufariji ila kuna muda utafika utajutia maamuzi ya sasa na kutamani bora ungekuwa na mwenzi wa maisha, kwangu mimi maisha ya mume na mke ni matam sana pamoja na kero za wanawake ila hilo siwezi likimbia nitalikabili. OA.
 
Mwanamke akiwa kwenye ndoa anapata faida hizi .
1. Usalama wa kijamii na kifedha.
2. Furaha nk ,
Sasa mbona kama umejijibu mwenyewe hapa. Huyu unayemuona anapata hizi faida ni mwanamke na kuwa nazo ni lazima apate mwanaume amuoe ambaye ndo huyu unauliza napata faida zipi. Furaha ni kuwa na mwenza kwa pande zote so na mwanaume anafaidi pia kuwa na mwenza mwenye furaha na ndoa
 
Ndoa ni msingi wa jamii iliyostaarabika.
Pia mwanaume kuweza kuwa na familia bora ni kipimo cha maturity.
Feminists watapiga kelele sana lakini BABA ANAETAMBUA NAFASI YAKE NI KIONGOZI WA FAMILIA
Anguko la taasisi ya familia ndio chimbuko la wadangaji, mashoga, utoaji mimba, mimba za utotoni na mengine mengi. Huko mbeleni tunaenda kuwa na jamii ya hovyo sana.... its good some of us were born early so most likely tutakua tushajifia
 
Sema miaka hii wanetu wanaoa malaya sana, unakuta demu katumika sana kabla ya ndoa na bado ataendelewa kugongwa baada ya ndoa

Hizi mambo zinafanya ndoa ikose thamani kabisa. Kufanya maisha na malaya inataka moyo
We jamaa si tukupe hii nchi tu.

Yani mimi nashangaa sana wanaume wanalalamika kwenye mahusiano au ndoa ukiangalia chanzo unaona kabisa jamaa anaangaika na malaya.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya mke au mwanamke na malaya.
 
Nimekuwa nikijiuliza Nini cha maana mwanaume anapata kwenye ndoa, kiasi kwamba ajutie anapokuwa hana ndoa. Siungani na wale wa kataa ndoa, ila najiuliza tu Nini kinapotea kama haupo kwenye ndoa. Kwa wanaume, una pesa, una watoto.

Mwanamke akiwa kwenye ndoa anapata faida hizi .
1. Usalama wa kijamii na kifedha.
2. Furaha nk ,

Najiuliza Sana sababu wanaume wenye pesa na hawana ndoa naona kama wapo happy Sana na afya zao zipo SAWA sana .............

Kuna watu maarufu mitaani wenye pesa na hawana ndoa, mfano mchukue Mbowe, Aliko Dangote, Diamond Platnum, Myika Nk na wengine wengi wenye pesa na hawana ndoa, vipi wenye wanonekana kutetereka kwa kuikosa ndoa.

Mchukulie Sugu ameoa akiwa na almost 40 hivi kuna kitu anaweza kuwa anajutia sawa na Gerald Amos yule mwimba kwanya pale kanisani kwenu aliyeoa akiwa na miaka 20 na anaishi kwenye nyumba ya kupanga, hawezi panga mlo wa wiki, watoto wapo Kayumba school, ada, nguo vinamtesa
Takwimu zinasema hv, wanaume kwenye ndoa wanaishi zaidi kuliko wasio na ndoa,
Wanawake kwenye ndoa, wanaishi muda mfupi kuliko walio nje.
Zipo ndoa nzuri, usitumie mifano mibovu ya ndoa, kusema ndoa hazina maana,magari yanaua kila siku, lakini watu wanaendelea kununua,
Ndoa ilianzishwa na Mungu(Christian theology), human being needs partnership, fellowship with onother being, tatizo siku hz, binadamu wamekuwa kama nyoka, ndoa zinapoteza umaana,
Mmeoana, mna watoto, mama anaishi Mtwara, baba anaishi Arusha, hapo mnakutana vipi kupeana ndoa? Mnakutanq kwenye maulid,kipaimara, komunio ya motto tu!?
 
Nimekuwa nikijiuliza Nini cha maana mwanaume anapata kwenye ndoa, kiasi kwamba ajutie anapokuwa hana ndoa. Siungani na wale wa kataa ndoa, ila najiuliza tu Nini kinapotea kama haupo kwenye ndoa. Kwa wanaume, una pesa, una watoto.

Mwanamke akiwa kwenye ndoa anapata faida hizi .
1. Usalama wa kijamii na kifedha.
2. Furaha nk ,

Najiuliza Sana sababu wanaume wenye pesa na hawana ndoa naona kama wapo happy Sana na afya zao zipo SAWA sana .............

Kuna watu maarufu mitaani wenye pesa na hawana ndoa, mfano mchukue Mbowe, Aliko Dangote, Diamond Platnum, Myika Nk na wengine wengi wenye pesa na hawana ndoa, vipi wenye wanonekana kutetereka kwa kuikosa ndoa.

Mchukulie Sugu ameoa akiwa na almost 40 hivi kuna kitu anaweza kuwa anajutia sawa na Gerald Amos yule mwimba kwanya pale kanisani kwenu aliyeoa akiwa na miaka 20 na anaishi kwenye nyumba ya kupanga, hawezi panga mlo wa wiki, watoto wapo Kayumba school, ada, nguo vinamtesa
Kama mwanaume kwel achana na kampeni hizi za kishoga
 
Back
Top Bottom