Nashawishika kuingia kwenye uislamu kutokana na sheria za ndoa walizonazo

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Nahisi sheria hizo ndio chanzo kikubwa cha wanawake wengi wa kiislamu kuwa ni wenye maadili na wanaothamini sana ndoa zao. Sheria ya talaka inawabana sana, hawana namna zaidi ya kutumikia ndoa na kuheshimu waume zao

Ndoa sio kifungo kwenye uislamu
Ni kama vile walifahamu mapema kuwa wanawake hawa tulionao ni pasua kichwa, hivyo kulindwa kwa haki za wanaume. Yanini mwanaume ife na presha? Akikuzingua, na wewe mzingue. Akionesha utofauti, tandika taraka. Tafuta jiko lingine tena zuri zaidi yake, sogeza kwa mjengo. Hamuoni kama hiyo ni raha sana ndugu zanguni?

Naogopa sana mambo ya kujifungamanisha na maisha ya mtu. Yaani udumu na mtu maisha yake yote. Na wanawake hawa wa upande wetu huficha makucha yao mpaka pale tu utakapowaoa, wakiamini kuwa mmeshakuwa mwili mmoja, na hakuna binadamu yeyote wa kuwatenganisha isipokuwa kifo

Hatari sana ndugu zangu, mimi nahama

Uhuru wa kumiliki mwanamke zaidi ya mmoja
Unaoa kwa mara ya kwanza, mwanamke mweupe mfupi hivi mwenye sauti ya chini na ya upole, unaona ni kama vile haujakamilika, unaongeza chuma kingine cheusi (black beauty) chenye macho ya huruma na upole mwingi, unaona mjengo umepoa sana, unaoa wa tatu, huyu anakuwa changamsha genge, mama wa mavaibu, full mastori ndani, unaona bado hujasema, unaongeza chuma cha nne kutoka Tanga na Zenji, full kuogesha Adarlasin na Iligirani. Mfano mimi hapa, nitamani tena wanawake wengine wa kazi gani wakati kila sampo niko nayo ndani? Nakuwa kama Mswati vile, leo huku kesho huku. Hata ile kumzoea mkeo unakuwa huna, kwa masifa unapitisha hata wiki nzima bila kula dodo

Hii ya kwetu bhana, pingu unafunga na mmoja, ukiwa na mwingine unaambiwa huyo ni najisi, akidakwa kwenye fumanizi anamwagiwa maji ya moto. Yote ya nini?

Busara ya wazazi wa binti wa kiislamu, utu mbele pesa nyuma
Hii ndio kubwa kuliko, wazazi wa kiislamu hujali sana utu, yaani unaweza patiwa binti yao hata kwa mahari ya Tsh. 20k tu ilimradi wewe na mtoto wao mmekubaliana. Yaani hawana mambo mengi, sheikh aitwe, ubani uchomwe, ndoa ifungwe, ubebe jiko ukapikie

Huku kwetu sasa, wajomba na wajomba watakaa vikao vizito sana kupanga mahari, kila mtu atataka kukupiga vitu vizito kupitia binti, utasikia yunahitaji Milioni tatu na nusu, hiyo siku nilicheka sana aisee, nikitafakari binti yao nishatafuna mbususu zaidi ya mara tano, nangoja nini sasa wakati pale kuna Binti Mariam ametulia kama ua bustanini, mahari msaafu!

Ngoja niweke tupicha twa kusindikizia uzi
 
Mkuu naona unataka ujipendelee kuoa Wanawake 4 ukiwa Duniani na kule ahera ukapate wale Wanawake bikra 72 😅 tu
 
Nahisi sheria hizo ndo chanzo kikubwa cha wanawake wengi wa kiislamu kuwa ni wenye maadili na wanaothamini sana ndoa zao. Sheria ya taraka inawabana sana, hawana namna zaidi ya kutumikia ndoa na kuheshimu waume zao

Hivi unazijua ndoa za kiislamu wewe au unazisikia tu? Kuwa muislamu alafu oa kwa ndoa ya kiislamu, baada ya miaka mitano njoo hapa uje kusimulia.

Kwa kifupi sana, ndoa za kiislamu zimekaa kienyeji sana na kimachale machale mno. They are fragile and insecure.
 
Nahisi sheria hizo ndo chanzo kikubwa cha wanawake wengi wa kiislamu kuwa ni wenye maadili na wanaothamini sana ndoa zao. Sheria ya taraka inawabana sana, hawana namna zaidi ya kutumikia ndoa na kuheshimu waume zao

Ndoa sio kifungo kwenye uislamu
Ni kama vile walifahamu mapema kuwa wanawake hawa tulionao ni pasua kichwa, hivyo kulindwa kwa haki za wanaume. Yanini mwanaume ife na presha? Akikuzingua, na wewe mzingue. Akionesha utofauti, tandika taraka. Tafuta jiko lingine tena zuri zaidi yake, sogeza kwa mjengo. Hamuoni kama hiyo ni raha sana ndugu zanguni?

Naogopa sana mambo ya kujifungamanisha na maisha ya mtu. Yaani udumu na mtu maisha yake yote. Na wanawake hawa wa upande wetu huficha makucha yao mpaka pale tu utakapowaoa, wakiamini kuwa mmeshakuwa mwili mmoja, na hakuna binadamu yeyote wa kuwatenganisha isipokuwa kifo

Hatari sana ndugu zangu, mimi nahama

Uhuru wa kumiliki mwanamke zaidi ya mmoja
Unaoa kwa mara ya kwanza, mwanamke mweupe mfupi hivi mwenye sauti ya chini na ya upole, unaona ni kama vile haujakamilika, unaongeza chuma kingine cheusi (black beauty) chenye macho ya huruma na upole mwingi, unaona mjengo umepoa sana, unaoa wa tatu, huyu anakuwa changamsha genge, mama wa mavaibu, full mastori ndani, unaona bado hujasema, unaongeza chuma cha nne kutoka Tanga na Zenji, full kuogesha Adarlasin na Iligirani. Mfano mimi hapa, nitamani tena wanawake wengine wa kazi gani wakati kila sampo niko nayo ndani? Nakuwa kama Mswati vile, leo huku kesho huku. Hata ile kumzoea mkeo unakuwa huna, kwa masifa unapitisha hata wiki nzima bila kula dodo

Hii ya kwetu bhana, pingu unafunga na mmoja, ukiwa na mwingine unaambiwa huyo ni najisi, akidakwa kwenye fumanizi anamwagiwa maji ya moto. Yote ya nini?

Busara ya wazazi wa binti wa kiislamu, utu mbele pesa nyuma
Hii ndio kubwa kuliko, wazazi wa kiislamu hujali sana utu, yaani unaweza patiwa binti yao hata kwa mahari ya Tsh. 20k tu ilimradi wewe na mtoto wao mmekubaliana. Yaani hawana mambo mengi, sheikh aitwe, ubani uchomwe, ndoa ifungwe, ubebe jiko ukapikie

Huku kwetu sasa, wajomba na wajomba watakaa vikao vizito sana kupanga mahari, kila mtu atataka kukupiga vitu vizito kupitia binti, utasikia yunahitaji Milioni tatu na nusu, hiyo siku nilicheka sana aisee, nikitafakari binti yao nishatafuna mbususu zaidi ya mara tano, nangoja nini sasa wakati pale kuna Binti Mariam ametulia kama ua bustanini, mahari msaafu!

Ngoja niweke tupicha twa kusindikizia uzi
Uko sahihi kabisa.Mambo ya mahari sio vitegauchumu au kukomoana Kwa Waislamu
 
Kwenye Uislamu nawakubali sana linapokuja suala la mazishi na ndoa.

Ila kwenye ndoa pia kuna ufala ndo mana wanaweza kufunga ndoa leo na kesho wakaachana na kesho kutwa wakaoa wengine
 
Mwanamke anaweza kubatilisha ndoa katika sura zifuatazo hata bila ya kupewa talaqa

1. Iwapo atajua kuwa mume wake hana sehemu zake za siri (uume wa mwanamme).

2. Iwapo atajua kuwa uume wa bwana wake umekatwa kabla au baada ya kusuhubiana.

3. Iwapo bwana wake ana ugonjwa unaomfanya asiweze kusuhubiana, hata kama ugonjwa huo umetokezea baada ya ndoa au baada ya kusuhubiana.

Iwapo mwanamke atavunja ndoa kwa sababu ya mume wake hawezi kusuhubiana naye, basi itambidi muume ampe nusu ya mahari waliyopatana. Lakini iwapo mwanamme au mwanamke atavunja ndoa kwa sababu ya kasoro moja au nyingine kama zilivyoelezwa hapo juu, na kama hawajasuhubiana, basi mwanamme hatatakiwa kumlipa chochote mwanamke
 
Wanaruhusiwa ila hawalazimishwi kwenda kama walivo lazimishwa wanaume
Kwanini nahitaji ufafanuzi zaidi kuhusu hili, kwa tafiti yangu ndogo ya msikiti wa gadafi dodoma nililiona hili, idadi kubwa ya wanaotoka kuswali ni wanaume kuliko wanawake tofauti na imani nyingine wanawake ni wengi kwenye nyumba za ibada kuzidi wanaume.
 
Nahisi sheria hizo ndio chanzo kikubwa cha wanawake wengi wa kiislamu kuwa ni wenye maadili na wanaothamini sana ndoa zao. Sheria ya talaka inawabana sana, hawana namna zaidi ya kutumikia ndoa na kuheshimu waume zao

Ndoa sio kifungo kwenye uislamu
Ni kama vile walifahamu mapema kuwa wanawake hawa tulionao ni pasua kichwa, hivyo kulindwa kwa haki za wanaume. Yanini mwanaume ife na presha? Akikuzingua, na wewe mzingue. Akionesha utofauti, tandika taraka. Tafuta jiko lingine tena zuri zaidi yake, sogeza kwa mjengo. Hamuoni kama hiyo ni raha sana ndugu zanguni?

Naogopa sana mambo ya kujifungamanisha na maisha ya mtu. Yaani udumu na mtu maisha yake yote. Na wanawake hawa wa upande wetu huficha makucha yao mpaka pale tu utakapowaoa, wakiamini kuwa mmeshakuwa mwili mmoja, na hakuna binadamu yeyote wa kuwatenganisha isipokuwa kifo

Hatari sana ndugu zangu, mimi nahama

Uhuru wa kumiliki mwanamke zaidi ya mmoja
Unaoa kwa mara ya kwanza, mwanamke mweupe mfupi hivi mwenye sauti ya chini na ya upole, unaona ni kama vile haujakamilika, unaongeza chuma kingine cheusi (black beauty) chenye macho ya huruma na upole mwingi, unaona mjengo umepoa sana, unaoa wa tatu, huyu anakuwa changamsha genge, mama wa mavaibu, full mastori ndani, unaona bado hujasema, unaongeza chuma cha nne kutoka Tanga na Zenji, full kuogesha Adarlasin na Iligirani. Mfano mimi hapa, nitamani tena wanawake wengine wa kazi gani wakati kila sampo niko nayo ndani? Nakuwa kama Mswati vile, leo huku kesho huku. Hata ile kumzoea mkeo unakuwa huna, kwa masifa unapitisha hata wiki nzima bila kula dodo

Hii ya kwetu bhana, pingu unafunga na mmoja, ukiwa na mwingine unaambiwa huyo ni najisi, akidakwa kwenye fumanizi anamwagiwa maji ya moto. Yote ya nini?

Busara ya wazazi wa binti wa kiislamu, utu mbele pesa nyuma
Hii ndio kubwa kuliko, wazazi wa kiislamu hujali sana utu, yaani unaweza patiwa binti yao hata kwa mahari ya Tsh. 20k tu ilimradi wewe na mtoto wao mmekubaliana. Yaani hawana mambo mengi, sheikh aitwe, ubani uchomwe, ndoa ifungwe, ubebe jiko ukapikie

Huku kwetu sasa, wajomba na wajomba watakaa vikao vizito sana kupanga mahari, kila mtu atataka kukupiga vitu vizito kupitia binti, utasikia yunahitaji Milioni tatu na nusu, hiyo siku nilicheka sana aisee, nikitafakari binti yao nishatafuna mbususu zaidi ya mara tano, nangoja nini sasa wakati pale kuna Binti Mariam ametulia kama ua bustanini, mahari msaafu!

Ngoja niweke tupicha twa kusindikizia uzi
The choice is yours. Lakini kabla huja angukia kwenye imani yeyote ni vizuri ukajifunza imani hiyo kwa mapana yake. Si kuangalia aspect moja tu.

Mimi nafuata imani ya asili ambayo ni mchanganyiko wa uislam na ukristo na uyahudi na ubudha n.k.

Sitaki kuburuzwa na mawazo ya watu wa kale waliyoyaweka pamoja na kuyaita dini. Naamini chochote ambacho kinawezekana kufanyika then ni mpango wa Mungu. Mungu angetaka kisiwezekane basi angekizuia kwa namna ya uumbaji. Kama ambavyo aliumba samaki aishi majini na binadamu aishi nchi kavu ila asiweke kuruka kama ndege n.k.

Haya mengine yote usifanye hiki, usifanye kile ni sheria tu za kibinadamu ambazo tumejiwekea lakini hazina mpango wa Mungu. Mpango wa mungu alisha uweka kwenye uumbaji na amemaliza.
 
Yaani mi nikae na mtu aniletee mapicha picha niendelee kukomaa nae kwa kigezo cha dini, huo ni ufala wa kiwango cha lami
 
Back
Top Bottom