Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,064
- 7,196
haya makuzi.!
Unavunjika kimya kimya walianza na bendera yao wakapata sasa wana wimbo wa Taifa ilobaki ndo kama hayo maandamano wanayofanya na baadae watafanikiwa kujitoa
Unavunjika kimya kimya walianza na bendera yao wakapata sasa wana wimbo wa Taifa ilobaki ndo kama hayo maandamano wanayofanya na baadae watafanikiwa kujitoa
yani hakunaga mwenye kufahamu maneno yaliyoko kwenye wimbo wa Jamhuri ya Zanzibar?
kwa hiyo bendera na wimbo vya sasa baada ya katiba yao ni vile vile kabla ya Muungano?Mkuu kwa taarifa yako ZNZ Ina bendera yake na wimbo wa Taifa wake tangu mwaka 64 baada ya Mapinduzi. Usikurupuke kusema tu, uliza kwanza ili ueleweshwe.
Ni kweli ni mtazamo wako. Katika ufunguzi wa haya mashindano, Zanzibar ilipiga wimbo wake wa Taita na kupandisha bendera yao. Karibia kila kona ya dunia imeona hilo. Si unajua tena soka?mi nijuacho Wimbo wa Zanzibar ni wa kujifurahisha tu, Zanzibar SI nchi NI SEHEMU YA jamuhuri ya TZ, ni sawa na wimbo wa shule ya sekondari tu au ni sawa na wimbo wa jamii yoyote ile iliyopo ndani ya Jamuhuri ya TANZANIA, sioni haja ya kuujua
Ieleweke kuwa tuna Nchi moja tu ya TANZANIA inayojulikana na umoja wa mataifa.Vivyo hivyo tuna wimbo mmoja tu wa TAIFA ambao ni wimbo wa TANZANIA ,nyimbo zingine ni mbwembwe tu.
Ni mtazamo wangu!!
Tuekusoma mkuu. Utakuwa umekaa sana bonndeni weyeWasiojua wimbo wa "Mungu ibariki afrika" ("Nkosi Sikelel' iAfrika" kwa lugha ya kixhosa)
Kwa kifupi mashairi ya wimbo huu yalitungwa mwaka 1897 huko afrika kusini na Enoch Sontonga akiwa katika shule ya Methodistmission Johannesburghuku tune yake ikifanywa na Joseph Parry. Mashairi yake yaliandikwa kwa lugha ya kixhosa. Wimbo huu ulitumika sana na ANC katika harakati za kudai uhuru afrika kusini. Kwa sasa ni nyimbo za taifa za Tanzania, Zambia, afrika kusini , namibia na zimbabwe. Kila taifa linaotumia wimbo huu na tune yake wameongeza maneno zaidi kulingana na uhitaji wao.
hapa chini ndiyo mashairi original kwa lugha ya kixhosa.
In Xhosa
Nkosi, sikelel' iAfrika
Maluphakamis'upondo lwayo
Yizwa imithandazo yethu
Nkosi sikelela, Thina lusapholwayo.
Chorus:
Yehla Moya, Yehla Moya,
Yehla Moya Oyingcwele
In English
Lord, bless Africa
May her horn rise high up
Hear Thou our prayers And bless us.
Chorus:
Descend, O Spirit,
Descend, O Holy Spirit.
Mkuu mbona kawimbo kafupi sana? Ila hongereni kwa kuwa Jamhuri tenaMkuu heshima mbele. Kwanza nataka utambue kwamba ZNZ ni nchi kamili ila kulifanyika songombingo, mpaka tukafika hapa tulipo. Wimbo wa Taifa wa ZNZ Upo miaka mingi tangu baada ya Mapinduzi ya 64. Wakati naanza school 70s tulikuwa lazima tusome wimbo wa Taifa katika parade. Na huu ndio wimbo wenyewe: MUNGU AMETUBARIKIA, UNGUJA NA PEMBA YOTE. SOTE TUNASHANGIRIA JAMHURI KUTULETEA. MUNGU AMETUBARIKIA UNGUJA NA PEMBA YOTE. Wakati unapoimbwa kuna sehemu unakazia kidogo na kuna sehemu unapandisha sauti na kushusha. Yaani raha tupu. Kila nikiusikia nakaribia kutokwa na machozi. Nafikiri nimewatosheleza wale wote waliokuwa hawajui. Na wale walioanza na lugha chafu kwa ZANZIBAR. VIVA JF. VIVA JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR.
Mbona unafika mbali hivyo kwakubwatuka maneno ya ajabu hivyo umenidhihirishia huna ata chembe ya busara kwani kuuliza ni ujinga?
Acheni jazba
Tueleweshane tu taratibu
Ukweli wengi hawajui mambo haya- binafsi sijui mawili
- hivi wimbo huu unatumika wapi na wapi kwa kawaida?
- Umeanza lini kutumika?
ajuae ani juze please
Nimeona kupitia TBC1 hapa mpambano kati ya Burundi na Zanzibari. Nyimbo zao za Taifa zimepigwa, nikasikia melody ya wimbo wa Zanzibar. Hauna mfanano wowote na wimbo wetu wa tanganyika. Inakuwaje mataifa kama Zimbabwe, Afrika ya Kusini wana melody inayofanana na Tanganyika wakati Zanzibar ambayo tumeungana nayo hakuna mfanano wowote? Kadhalika naombakama kuna mtu mwenye maneno yaliyo kwenye wimbo wa Taifa wa Zanzibar atuwekee humu
Chilligati?
Jaman wale ni wapemba,waache wimbo wao uwe na mahadh ya MDUARA