uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 5,305
- 9,497
Zanzibar wana wimbo wa Taifa ila naangalia hapa U 18 watoto wao hawaimbi kabisa huo wimbo, vivyo hivyo hivyo kwa Tanganyika ambapo nimeangalia na kuona watoto hawaimbi kabisa wimbo unapopigwa tofauti na wa Ethiopia na Waganda ambao wao huimba kwa hisia kali nyimbo zao za taifa.
Nadhani uzalendo wa bendera na wimbo wa Taifa sasa unapotea na huko mbeleni tutakuwa na brass band tu ikiimba.
Nadhani uzalendo wa bendera na wimbo wa Taifa sasa unapotea na huko mbeleni tutakuwa na brass band tu ikiimba.