Hivi mnaujua wimbo wa Taifa wa Zanzibar?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,880
2,758
Nimeona kupitia TBC1 hapa mpambano kati ya Burundi na Zanzibari. Nyimbo zao za Taifa zimepigwa, nikasikia melody ya wimbo wa Zanzibar. Hauna mfanano wowote na wimbo wetu wa tanganyika.

Inakuwaje mataifa kama Zimbabwe, Afrika ya Kusini wana melody inayofanana na Tanganyika wakati Zanzibar ambayo tumeungana nayo hakuna mfanano wowote?

Kadhalika naombakama kuna mtu mwenye maneno yaliyo kwenye wimbo wa Taifa wa Zanzibar atuwekee humu
 
kwanini zanzibar iwe na wimbo wao wa Taifa tofauti na huu niujuao mimi?

kwani huu wimbo wa mungu ibariki ni wa tanzania bara pekee? mbona mi sielewielewi hapo? mimi nilidhani kwa kuwa tumeungana basi tutakuwa na nyimbo moja na bendera moja,sasa kwa mtindo huu hakuna muungano hapo
 
upuuzi mtupu! kwani mfanano wa mahadhi una maana yoyote? jiulize hili kwanza.hao south africa na zimbambwe kufanana kwa wimbo wao wa taifa na wetu sisi tunafaidika nao nini?. au una maana gani hasa ya msingi kuanzisha hii thread?.... ni kutaka kuzungumzia ubaguzi huna lolote!! sababu "zanzibar" Wamekukamerooni nini?
 
Unavunjika kimya kimya walianza na bendera yao wakapata sasa wana wimbo wa Taifa ilobaki ndo kama hayo maandamano wanayofanya na baadae watafanikiwa kujitoa
 
upuuzi mtupu! kwani mfanano wa mahadhi una maana yoyote? jiulize hili kwanza.hao south africa na zimbambwe kufanana kwa wimbo wao wa taifa na wetu sisi tunafaidika nao nini?. au una maana gani hasa ya msingi kuanzisha hii thread?.... ni kutaka kuzungumzia ubaguzi huna lolote!! sababu "zanzibar" Wamekukamerooni nini?

Mbona unafika mbali hivyo kwakubwatuka maneno ya ajabu hivyo umenidhihirishia huna ata chembe ya busara kwani kuuliza ni ujinga?
 
Hivi hivi mdogo mdogo watakuwa washajitenga cjui magamba watafanya je na kule ndo wanakojizolea kura kwakuwaada cuf
 
Huo utakuwa wimbo wa Taifa au kichen part?

acha dharau wewe....

Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
Ahsantee.gif

Hapa sioni mantiki, mnachokijadili hakuna utengemano! Zaini ya kuchokonoa utengano na mafarakano! Sasa chokonoeni nani mkianza kuchokonolewa msije muelekezea kidole chokonoer (mchokonoaji)
 
Acheni jazba

Tueleweshane tu taratibu

Ukweli wengi hawajui mambo haya- binafsi sijui mawili
- hivi wimbo huu unatumika wapi na wapi kwa kawaida?
- Umeanza lini kutumika?

ajuae ani juze please
 
Hapa sioni mantiki, mnachokijadili hakuna utengemano! Zaini ya kuchokonoa utengano na mafarakano! Sasa chokonoeni nani mkianza kuchokonolewa msije muelekezea kidole chokonoer (mchokonoaji)

ni jambo dhahiri kabisa na wala si kificho kuwa zanzibar ina wimbo wake wa Taifa. Kama unaujua tuwekee hapa na uache jazba za kiarabu
 
yani hakunaga mwenye kufahamu maneno yaliyoko kwenye wimbo wa Jamhuri ya Zanzibar?
 
hivi hawa wakomoro,no samahani wazanzibar walishapata uanachama wa FIFA?
 
Back
Top Bottom