Hivi mnaujua wimbo wa Taifa wa Zanzibar?

" ninachozungumzia mimi ni waZanzibari halisa (wazaliwa), ambao Inshallah muda mfupi ujao watakuwa na uraia wao kama waZanzibari, sio wahamiaji wa aina yoyote"

Hao Wazawa aw Zanzibar ni wakiwemo Wamalawi kama Abeid Amani Karume na ukoo na Pia kina Dr Bilali makamo aw Rais nae Mzaliwa wa Malawi? Pia wamo wahamia Kama kina Jussa na Farid? Na Hao wazanzibari gani wa kale ikiwa asilimia 60 Yao wamehamia Tanganyika? Na wanazaliana hukohuko? We sumu ya chuki itakuuwa wewe mwenyewe. Legeza msimamo ujiokoe na hasira za bure
 
"nani mZanzibari anajulikana katika katiba yetu ya Zanzibar! MZANZIBAR kaelezwa kwenye katiba ya Zanzibar na huyu ana haki zake, mfano kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Zanzibar. kwa sasa kila MZANZIBARI ni mTanzania bali si kila mTanzania ni mZanzibari, nafikiri unaelewa hilo? Hayo ya chuki sijui yametoka wapi tena, nakuwachia mwenyewe, ila kuwa na asili ya Malawi au pengine popote sio sababu ya kukufanya usiwe mZanzibari."

Hao Wazawa aw Zanzibar ni wakiwemo Wamalawi kama Abeid Amani Karume na ukoo na Pia kina Dr Bilali makamo aw Rais nae Mzaliwa wa Malawi? Pia wamo wahamia Kama kina Jussa na Farid? Na Hao wazanzibari gani wa kale ikiwa asilimia 60 Yao wamehamia Tanganyika? Na wanazaliana hukohuko? We sumu ya chuki itakuuwa wewe mwenyewe. Legeza msimamo ujiokoe na hasira za bure
 
Hao Wazawa aw Zanzibar ni wakiwemo Wamalawi kama Abeid Amani Karume na ukoo na Pia kina Dr Bilali makamo aw Rais nae Mzaliwa wa Malawi? Pia wamo wahamia Kama kina Jussa na Farid? Na Hao wazanzibari gani wa kale ikiwa asilimia 60 Yao wamehamia Tanganyika? Na wanazaliana hukohuko? We sumu ya chuki itakuuwa wewe mwenyewe. Legeza msimamo ujiokoe na hasira za bure

Farid na Jussa ni Wahamiaji kutoka nchi gani na wamekuja Zanzibar mwaka gani?
 
Nimeona kupitia TBC1 hapa mpambano kati ya Burundi na Zanzibari. Nyimbo zao za Taifa zimepigwa, nikasikia melody ya wimbo wa Zanzibar. Hauna mfanano wowote na wimbo wetu wa tanganyika.

Kadhalika naombakama kuna mtu mwenye maneno yaliyo kwenye wimbo wa Taifa wa Zanzibar atuwekee humu

Mimi nilipoutafuta wimbo wa taifa wa Zanzibar nimeupata huu. Kama ndio wenyewe, ndugu zetu wana wimbo mzuri tu.

Last edited by a moderator:
Hii thread imenipa kitu fulani, Inaonekana wengi wetu hatujui hata Muungano wa Tanganyika na Zanzibar upo katika mazingira gani. Na pia hatutaki kutumia muda kuuelewa Muungano huu. Kama attitude yetu inakuwa katika dharau linapokuja swala la Zanzibar basi sioni kama tunaweza kutumia hata muda kidogo kujua kuhusu huu Muungano. Nachukia lugha ya kejeli na matusi katika mustakabali wa nchi "The life of righteous teach many, but fools die for wanna of Wisdom" It is pity

Wimbo wa Taifa wa Zanzibar niliwahi kuusikia kama miaka 20 iliyopita, kama kumbukumbu zangu zikiwa sahihi kuna maneno kama
"Sisi sote tumekomboka kwa ndugu, kwa ndugu zetu waliopotea
Walo pigania nia nchi yetu, na kulilinda taifa taifa letu
Muhanga sote twajitolea........."

Kwa mara ya kwanza nilipousikia, nilihisi kama unakupa kitu fulani hivi (Emotional)... Nakumbuka tulienda kwenye michezo ya pasaka. Na tulianza debate ... baadhi yetu walikuwa na point kwamba wimbo wa Zenji unakupa ujasiri zaidi unapotaka kupambana. Wakati wimbo Tanzania mzima umekaa kidua dua zaidi.

Naomba kushare nanyi my little experience
 
ha ha ha, mkatao kwao mtumwa, nakumbuka ulikuwa kama hivi, miaka 25 nyuma wakati tukiwa primary:
Mungu ametubarikia, Unguja na pemba yote, sote tunashangiria, jamhuri kutuletea, mungu ametubarikia, unguja na pemba yote.
 
yaelekea ulitungwa hata kabla ya muungano maana hauihusiahi Bara kwa vyovyote vile. Tanganyika nayo inapaswa kuwa na wimbo wake
 
sasa kwani dunian unatambulika wimbo wa Tanzania Tanzania, na Shein alivyokwenda Vietnam kapigiwa Tz Tz Tz Tz
 
Mi ninashangazwa na hata uwakilishi wetu kwenye hayo mashindano,,maajabu kila timu ilibeba jina la nchi yak¨¨ ni Tanganyika tuu ndo haikuwa na jina,,kwanini sisi lakini? Eti tunaitwa Kili stars wakati hilo ni jina la utani kama ilivyo Uganda 'the cranez',,sasa najiuliza timu ya Tanganyika ilienda ikiwakilisha nchi gani? Hivi kwanini hawa viongozi wa nchi hii wanataka kutuaminisha uongo uwe ukweli? Watoto wetu watatafuta kwenye ramani ya afrika nchi iitwayo Tanzania bara,wataikosa,watatushangaa! Wakituita vilaza tutawachapa??
 
Hii thread imenipa kitu fulani, Inaonekana wengi wetu hatujui hata Muungano wa Tanganyika na Zanzibar upo katika mazingira gani. Na pia hatutaki kutumia muda kuuelewa Muungano huu. Kama attitude yetu inakuwa katika dharau linapokuja swala la Zanzibar basi sioni kama tunaweza kutumia hata muda kidogo kujua kuhusu huu Muungano. Nachukia lugha ya kejeli na matusi katika mustakabali wa nchi "The life of righteous teach many, but fools die for wanna of Wisdom" It is pity

Wimbo wa Taifa wa Zanzibar niliwahi kuusikia kama miaka 20 iliyopita, kama kumbukumbu zangu zikiwa sahihi kuna maneno kama
"Sisi sote tumekomboka kwa ndugu, kwa ndugu zetu waliopotea
Walo pigania nia nchi yetu, na kulilinda taifa taifa letu
Muhanga sote twajitolea........."

Kwa mara ya kwanza nilipousikia, nilihisi kama unakupa kitu fulani hivi (Emotional)... Nakumbuka tulienda kwenye michezo ya pasaka. Na tulianza debate ... baadhi yetu walikuwa na point kwamba wimbo wa Zenji unakupa ujasiri zaidi unapotaka kupambana. Wakati wimbo Tanzania mzima umekaa kidua dua zaidi.

Naomba kushare nanyi my little experience

Wimbo Wa Zanzibar mzuri sana hasa in emotional aspects.
 
Tutakapotengana Zanzibar itaendelea kuitwa Zanzibar na Tanzania bara itaendelea kuwa TANZANIA. habari ya tanganyika haipo hiyo ni zilipendwa. natamani mungu anipe maisha marefu nishuhudie siku ya kuvunjika kwa huu muungano usiotusaidia Tanzania bara.
 
Wimbo wa Taifa la Nchi ya Znz ni huu.

MUNGU AMETUBARIKIA,
UNGUJA NA PEMBA YOTE.

SOTE TUNASHANGIRIA,
JAMHURI KUTULETEA.

MUNGU AMETUBARIKIA,
UNGUJA NA PEMBA YOTE
.
 
Haukuwa kabla ya muungano, nafikiri kulikuwa na mwengine before..lol..kwa kipindi ninachokumbuka katika miaka ya 88 huko mashuleni huo ndio wimbo wa kwanza kuimbwa then ukifuatiwa na watanzania..
 
Nimeona kupitia TBC1 hapa mpambano kati ya Burundi na Zanzibari. Nyimbo zao za Taifa zimepigwa, nikasikia melody ya wimbo wa Zanzibar. Hauna mfanano wowote na wimbo wetu wa tanganyika.

Inakuwaje mataifa kama Zimbabwe, Afrika ya Kusini wana melody inayofanana na Tanganyika wakati Zanzibar ambayo tumeungana nayo hakuna mfanano wowote?

Kadhalika naombakama kuna mtu mwenye maneno yaliyo kwenye wimbo wa Taifa wa Zanzibar atuwekee humu

Zimbabwe na Afrika Kusini sio Wapemba
 
Back
Top Bottom