Hivi mnaujua wimbo wa Taifa wa Zanzibar?

Wangefufua kilimo cha Karafuu wangeweza kusepa na kuwa Nchi.

Imebaki hiyo tu
 
Unavunjika kimya kimya walianza na bendera yao wakapata sasa wana wimbo wa Taifa ilobaki ndo kama hayo maandamano wanayofanya na baadae watafanikiwa kujitoa

Mkuu kwa taarifa yako ZNZ Ina bendera yake na wimbo wa Taifa wake tangu mwaka 64 baada ya Mapinduzi. Usikurupuke kusema tu, uliza kwanza ili ueleweshwe.
 
mi nijuacho Wimbo wa Zanzibar ni wa kujifurahisha tu, Zanzibar SI nchi NI SEHEMU YA jamuhuri ya TZ, ni sawa na wimbo wa shule ya sekondari tu au ni sawa na wimbo wa jamii yoyote ile iliyopo ndani ya Jamuhuri ya TANZANIA, sioni haja ya kuujua

Ieleweke kuwa tuna Nchi moja tu ya TANZANIA inayojulikana na umoja wa mataifa.Vivyo hivyo tuna wimbo mmoja tu wa TAIFA ambao ni wimbo wa TANZANIA ,nyimbo zingine ni mbwembwe tu.

Ni mtazamo wangu!!
 
Unavunjika kimya kimya walianza na bendera yao wakapata sasa wana wimbo wa Taifa ilobaki ndo kama hayo maandamano wanayofanya na baadae watafanikiwa kujitoa

Watoke tu, ndipo hapo watakampomkumbuka Mwl.
 
Wasiojua wimbo wa "Mungu ibariki afrika" ("Nkosi Sikelel' iAfrika" kwa lugha ya kixhosa)

Kwa kifupi mashairi ya wimbo huu yalitungwa mwaka 1897 huko afrika kusini na
Enoch Sontonga akiwa katika shule ya Methodistmission Johannesburg huku tune yake ikifanywa na Joseph Parry. Mashairi yake yaliandikwa kwa lugha ya kixhosa. Wimbo huu ulitumika sana na ANC katika harakati za kudai uhuru afrika kusini. Kwa sasa ni nyimbo za taifa za Tanzania, Zambia, afrika kusini , namibia na zimbabwe. Kila taifa linaotumia wimbo huu na tune yake wameongeza maneno zaidi kulingana na uhitaji wao.

hapa chini ndiyo mashairi original kwa lugha ya kixhosa.

In Xhosa
Nkosi, sikelel' iAfrika
Maluphakamis'upondo lwayo
Yizwa imithandazo yethu
Nkosi sikelela, Thina lusapholwayo.

Chorus:
Yehla Moya, Yehla Moya,
Yehla Moya Oyingcwele

In English
Lord, bless Africa
May her horn rise high up
Hear Thou our prayers And bless us.

Chorus:
Descend, O Spirit,
Descend, O Holy Spirit.
 
yani hakunaga mwenye kufahamu maneno yaliyoko kwenye wimbo wa Jamhuri ya Zanzibar?

Mkuu heshima mbele. Kwanza nataka utambue kwamba ZNZ ni nchi kamili ila kulifanyika songombingo, mpaka tukafika hapa tulipo. Wimbo wa Taifa wa ZNZ Upo miaka mingi tangu baada ya Mapinduzi ya 64. Wakati naanza school 70s tulikuwa lazima tusome wimbo wa Taifa katika parade. Na huu ndio wimbo wenyewe: MUNGU AMETUBARIKIA, UNGUJA NA PEMBA YOTE. SOTE TUNASHANGIRIA JAMHURI KUTULETEA. MUNGU AMETUBARIKIA UNGUJA NA PEMBA YOTE. Wakati unapoimbwa kuna sehemu unakazia kidogo na kuna sehemu unapandisha sauti na kushusha. Yaani raha tupu. Kila nikiusikia nakaribia kutokwa na machozi. Nafikiri nimewatosheleza wale wote waliokuwa hawajui. Na wale walioanza na lugha chafu kwa ZANZIBAR. VIVA JF. VIVA JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR.
 
Mkuu kwa taarifa yako ZNZ Ina bendera yake na wimbo wa Taifa wake tangu mwaka 64 baada ya Mapinduzi. Usikurupuke kusema tu, uliza kwanza ili ueleweshwe.
kwa hiyo bendera na wimbo vya sasa baada ya katiba yao ni vile vile kabla ya Muungano?
 
mi nijuacho Wimbo wa Zanzibar ni wa kujifurahisha tu, Zanzibar SI nchi NI SEHEMU YA jamuhuri ya TZ, ni sawa na wimbo wa shule ya sekondari tu au ni sawa na wimbo wa jamii yoyote ile iliyopo ndani ya Jamuhuri ya TANZANIA, sioni haja ya kuujua

Ieleweke kuwa tuna Nchi moja tu ya TANZANIA inayojulikana na umoja wa mataifa.Vivyo hivyo tuna wimbo mmoja tu wa TAIFA ambao ni wimbo wa TANZANIA ,nyimbo zingine ni mbwembwe tu.

Ni mtazamo wangu!!
Ni kweli ni mtazamo wako. Katika ufunguzi wa haya mashindano, Zanzibar ilipiga wimbo wake wa Taita na kupandisha bendera yao. Karibia kila kona ya dunia imeona hilo. Si unajua tena soka?
 
Wasiojua wimbo wa "Mungu ibariki afrika" ("Nkosi Sikelel' iAfrika" kwa lugha ya kixhosa)

Kwa kifupi mashairi ya wimbo huu yalitungwa mwaka 1897 huko afrika kusini na
Enoch Sontonga akiwa katika shule ya Methodistmission Johannesburghuku tune yake ikifanywa na Joseph Parry. Mashairi yake yaliandikwa kwa lugha ya kixhosa. Wimbo huu ulitumika sana na ANC katika harakati za kudai uhuru afrika kusini. Kwa sasa ni nyimbo za taifa za Tanzania, Zambia, afrika kusini , namibia na zimbabwe. Kila taifa linaotumia wimbo huu na tune yake wameongeza maneno zaidi kulingana na uhitaji wao.

hapa chini ndiyo mashairi original kwa lugha ya kixhosa.

In Xhosa
Nkosi, sikelel' iAfrika
Maluphakamis'upondo lwayo
Yizwa imithandazo yethu
Nkosi sikelela, Thina lusapholwayo.

Chorus:
Yehla Moya, Yehla Moya,
Yehla Moya Oyingcwele

In English
Lord, bless Africa
May her horn rise high up
Hear Thou our prayers And bless us.

Chorus:
Descend, O Spirit,
Descend, O Holy Spirit.
Tuekusoma mkuu. Utakuwa umekaa sana bonndeni weye

Mkuu heshima mbele. Kwanza nataka utambue kwamba ZNZ ni nchi kamili ila kulifanyika songombingo, mpaka tukafika hapa tulipo. Wimbo wa Taifa wa ZNZ Upo miaka mingi tangu baada ya Mapinduzi ya 64. Wakati naanza school 70s tulikuwa lazima tusome wimbo wa Taifa katika parade. Na huu ndio wimbo wenyewe: MUNGU AMETUBARIKIA, UNGUJA NA PEMBA YOTE. SOTE TUNASHANGIRIA JAMHURI KUTULETEA. MUNGU AMETUBARIKIA UNGUJA NA PEMBA YOTE. Wakati unapoimbwa kuna sehemu unakazia kidogo na kuna sehemu unapandisha sauti na kushusha. Yaani raha tupu. Kila nikiusikia nakaribia kutokwa na machozi. Nafikiri nimewatosheleza wale wote waliokuwa hawajui. Na wale walioanza na lugha chafu kwa ZANZIBAR. VIVA JF. VIVA JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR.
Mkuu mbona kawimbo kafupi sana? Ila hongereni kwa kuwa Jamhuri tena
 
Mbona unafika mbali hivyo kwakubwatuka maneno ya ajabu hivyo umenidhihirishia huna ata chembe ya busara kwani kuuliza ni ujinga?

achana nae ndunya huyo, hana lolote alikuwa anatafuta sababu ya kutumia msemo wa 'kukameroon'! hana mpya na hoja yake ni ya kishamba!
 
kweli jamani jazba haijengi na kejeli huchochea hasira.hata mimi nafaham zbar ina bendera yake,rais wake,katiba yake wmbo wake wa taifa lkn sijui hata neno moja ktk wmbo huo. Huu wa Mungu ibariki afrika aka Nkosi sikeleli afrika ni kati ya nyimbo maarufu ktk jamii za kibantu.kwa anayefahamu maneno atujuze tafadhali
 
Mungu ametubarikia,
unguja na pemba yote.
Sote tunashangiria jamhuri kutuletea,
mungu ametubarikia unguja na pemba yote.
 
Acheni jazba

Tueleweshane tu taratibu

Ukweli wengi hawajui mambo haya- binafsi sijui mawili
- hivi wimbo huu unatumika wapi na wapi kwa kawaida?
- Umeanza lini kutumika?

ajuae ani juze please

Kwa kweli unatumika kila mahali ambapo Wazanzibar wana interest binafsi. Ni wa mahadhi ya taarab na unaimbwa huku mnazunguka mduara. Ni mzuri sana kaka, yaani wa kisasa kabisa hata Mzee Yusuf hatii mguu
 
Nimeona kupitia TBC1 hapa mpambano kati ya Burundi na Zanzibari. Nyimbo zao za Taifa zimepigwa, nikasikia melody ya wimbo wa Zanzibar. Hauna mfanano wowote na wimbo wetu wa tanganyika. Inakuwaje mataifa kama Zimbabwe, Afrika ya Kusini wana melody inayofanana na Tanganyika wakati Zanzibar ambayo tumeungana nayo hakuna mfanano wowote? Kadhalika naombakama kuna mtu mwenye maneno yaliyo kwenye wimbo wa Taifa wa Zanzibar atuwekee humu

Waaacheeeee waimbe wanavyojua, hii ndoa ya Tanganyika na Zanzibar ingekuwa inafuata misingi kama ile ya ndoa halisi za Kiislam tungeshakuwa tumeachana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom