ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 400
- 1,400
Jana nilipost ugunduzi wa madini ya RE-E rare earths nchini marekani Jimbo la Wyoming.
Kuna baadhi ya watu walibisha kwamba marekani ni waongo. Hawana hayo madini. Nilijiuliza sana uwezo wa Hawa watu wa kufikiri. Ukubwa wa USA🇺🇸 ni karibia 10 million km2 za mraba.
Ina maana ukubwa wa USA ni karibia nchi zote za SADC au Tanzania mara kumi. Marekani Ina raia wachache sana (333 million).
Sehemu kubwa ya USA ni pori. Ni ardhi ambaye haijaguswa kabisa.
Swali linakuja, kwenye nchi kubwa kama USA utakosa madini mengi.
Kama tusafia DRC kwamba ni nchi yenye madini mengi, ni saidi sana marekani. Marekani ni nchi yenye utajiri mkubwa sana wa ardhi, misitu, mbuga, maziwa, madini. Tujifunze geography ya dunia na features zake. USA kama nchi ni 1/3 ya bara la Africa.
Tuache uvivu wa kusoma