Hivi kwa nini sura zetu hazifanani na wamarekani weusi?

kwa mtazamo wangu,hali ya hewa inaweza ikachangia,coz tz vumbi jua vinaharibu sana ngozi coz kwa mtu wa kawaida ambaye huna usafiri unapotoka hme asubuhi na kuelekea kwenye mihangaiko ya kawaida na unaporudi jioni kunakuwa kuna tofauti kubwa kwenye ngozi ya uso,na sehemu nyingine,hivyo2 kwa m2 ambaye anashinda ofcn 24 hour na kiyoyoz na mkulima au machinga anyechomwa na jua cku nzima
 
Kabla sijachangia chochote ebu wadau nijuzeni hv Seal Mwanamziki ni Mmarekani? Au ni kutoka nchi za afrika amaenda kutafuta maisha kama akon?? Maana seal hana tofauti na nitonye kisura
Seal wazazi wake ni kutoka west Africa na yeye kazaliwa UK.
 
nilikuwa Mexico lakini wakati wa kwenda na kurudi transit ilikuwa Usa,tulitua pale Washington dc tukakaa kwa muda mrefu wakati tunasubiri ku-connect ndege ya Mexico,tulikata sana mitaa yaani ni hivi Mtanzania au raia yeyote kutoka Africa akiwa pale utamjua huyu siyo mmarekani,,yaani tulitembea halafu nikaona watu wanauza fulani kama hapa bongo halafu nikasogelea karibu kidogo,kwa bahati mbaya mimi japo naishi africa lakini ukiniangalia unaweza fikiri mimi ni kulekule,niliposogelea nikasikia jamaa wanaongea kiswahili yaani,,dahh!mambo sio mambo wakuu,ilibidi nijitambulishe kuwa mimi ni mtanzania mpaka waliponiuliza ni mtanzania wa wapi ndio waliamini,walifikiri mimi natoka palepale!sasa kilichonishangaza yaani sura zetu hazifanani kabisa na wale wamarekani weusi,yaani sura zao tofauti kwanza wamechangamka,halafu ngozi yao haijababuka kabisa,ni hivi ukikutana na mbongo hata kama humjui utajua huyu ni mbongo,kwa nini basi tusifanane na wale wenzetu wajamani!!!

unayosema ni kweli. Watu hapa wanadhani unazungumzia weupe kumbe sio. Wale jamaa wana sura fulani ambazo sie waafrika orijino tuko wachache wenye kufanana nao. Nadhani pia suala la mchanganyiko wa damu linachangia.
 
kwa jinsi nilivyomwelewa huyu kamanda labda ameshindwa kujipanga'atakuwa na point nzuri
 
jamani mtu anayeishi mbeya au moshi na ana maisha mazuri maji safi ya kuoga na kunywa anaweza mfanania mmarekani kidogo'sio wale dar na maji yao ya visima
 
Tusinge kuwa tofaut 2ngetofautiana vp ? You must know ze power of identity through colour and appearence
 
nilikuwa Mexico lakini wakati wa kwenda na kurudi transit ilikuwa Usa,tulitua pale Washington dc tukakaa kwa muda mrefu wakati tunasubiri ku-connect ndege ya Mexico,tulikata sana mitaa yaani ni hivi Mtanzania au raia yeyote kutoka Africa akiwa pale utamjua huyu siyo mmarekani,,yaani tulitembea halafu nikaona watu wanauza fulani kama hapa bongo halafu nikasogelea karibu kidogo,kwa bahati mbaya mimi japo naishi africa lakini ukiniangalia unaweza fikiri mimi ni kulekule,niliposogelea nikasikia jamaa wanaongea kiswahili yaani,,dahh!mambo sio mambo wakuu,ilibidi nijitambulishe kuwa mimi ni mtanzania mpaka waliponiuliza ni mtanzania wa wapi ndio waliamini,walifikiri mimi natoka palepale!sasa kilichonishangaza yaani sura zetu hazifanani kabisa na wale wamarekani weusi,yaani sura zao tofauti kwanza wamechangamka,halafu ngozi yao haijababuka kabisa,ni hivi ukikutana na mbongo hata kama humjui utajua huyu ni mbongo,kwa nini basi tusifanane na wale wenzetu wajamani!!!

Wenzenu toka lini? wewe unakula bada na kauzu, wenzako wanakula steak na fillets, wapi na wapi. Chakushushia wao Ice cream wewe chai ya mkandaa, wapi na wapi?
 
Ngozi ya mwili inahitaji matunzo,matunzo yenyewe yanaanza na chakula unacho kula, mafuta unayopaka na hali ya hewa unayoishi. ukitaka kuami haya ninayo sema hebu tafuta picha za mchezaji wa Ivory Coast Drogba alipotoka ufaransa na kuja England kunautofauti mkubwa katika muonekano wa ngozi yake
 
Huyu vipi? kafanana na nani?
259984_2158405598115_1185768164_32824964_335653_n.jpg

Wewe unataka tujue tu ulikuwa USA na Mexico but hapa USA kuna Wabongo wametulia sana na kuna wamarekani weusi wana sura za huzuni na hata wazungu wako kibao wenye sura za kuomba kura (ukiona kijana wa miaka 25 utafikiri ana miaka 40) leta hoja acha porojo
 
Kwani wamarekani ni wenzako? Hiyo imebaki historia tu. Watoto wa familia moja tu unakuta hawafanani.
 
mtoa mada huo ni utoto tu na ukikuwa utaacha jaribu kujitambua na kuheshimu utu wako kijana.mafiyamifi weee¡
 
Seal wazazi wake ni kutoka west Africa na yeye kazaliwa UK.

Daaaaaaa naungana na NN waafrika ndio tulivyo,du seal mvuto hana kabisa yani ukikitana nae manzese darajan usiku unaweza ukazimia,thanx tz1
 
Back
Top Bottom