Hivi kwa nini sura zetu hazifanani na wamarekani weusi?

Delegate

JF-Expert Member
Jan 4, 2012
331
201
Nilikuwa Mexico lakini wakati wa kwenda na kurudi transit ilikuwa Usa,tulitua pale Washington dc tukakaa kwa muda mrefu wakati tunasubiri ku-connect ndege ya Mexico,tulikata sana mitaa yaani ni hivi Mtanzania au raia yeyote kutoka Africa akiwa pale utamjua huyu siyo mmarekani,,yaani tulitembea halafu nikaona watu wanauza fulani kama hapa bongo halafu nikasogelea karibu kidogo.

Kwa bahati mbaya mimi japo naishi africa lakini ukiniangalia unaweza fikiri mimi ni kulekule,niliposogelea nikasikia jamaa wanaongea kiswahili yaani,,dahh!mambo sio mambo wakuu,ilibidi nijitambulishe kuwa mimi ni mtanzania mpaka waliponiuliza ni mtanzania wa wapi ndio waliamini, walifikiri mimi natoka palepale.

Sasa kilichonishangaza yaani sura zetu hazifanani kabisa na wale wamarekani weusi,yaani sura zao tofauti kwanza wamechangamka, halafu ngozi yao haijababuka kabisa, ni hivi ukikutana na mbongo hata kama humjui utajua huyu ni mbongo, kwa nini basi tusifanane na wale wenzetu wajamani!
 
hali ya hewa bongo jua tupu vumbi kibao, matatizo sura zinakomaa kabla ya mda wake ndio hatufanani nao. Hata vyakula pia sisi kwetu ilimradi tumeshiba hata kama tumekula takataka
 
Mafuta ya kule tofauti na rays zetu alaf wenyewe toka wazaliwe mambo poa sie unakuta shida tangu tunazaliwa sakafuni.
 
tofauti inatokana na mambo mengi, mm nadhani yafuatayo ni miongoni-
1. wenzetu wana mchanganyiko na damu ya watu weupe, ndio maana wanaitwa negro
2.mazingira wanayoishi ni tofauti na yetu kuanzia hali ya hewa, huduma za afya, vyakula n.k
3. kipato chao ni tofauti ni chetu, ss watu hawana hata uhakika wa kula, ivi unadhani huyo mtoto atakayezaliwa atakuwaje

nawapisha wengine
 
nilikuwa Mexico lakini wakati wa kwenda na kurudi transit ilikuwa Usa,tulitua pale Washington dc tukakaa kwa muda mrefu wakati tunasubiri ku-connect ndege ya Mexico,tulikata sana mitaa yaani ni hivi Mtanzania au raia yeyote kutoka Africa akiwa pale utamjua huyu siyo mmarekani,,yaani tulitembea halafu nikaona watu wanauza fulani kama hapa bongo halafu nikasogelea karibu kidogo,kwa bahati mbaya mimi japo naishi africa lakini ukiniangalia unaweza fikiri mimi ni kulekule,niliposogelea nikasikia jamaa wanaongea kiswahili yaani,,dahh!mambo sio mambo wakuu,ilibidi nijitambulishe kuwa mimi ni mtanzania mpaka waliponiuliza ni mtanzania wa wapi ndio waliamini,walifikiri mimi natoka palepale!sasa kilichonishangaza yaani sura zetu hazifanani kabisa na wale wamarekani weusi,yaani sura zao tofauti kwanza wamechangamka,halafu ngozi yao haijababuka kabisa,ni hivi ukikutana na mbongo hata kama humjui utajua huyu ni mbongo,kwa nini basi tusifanane na wale wenzetu wajamani!!!

Alafu unajicontradict! Jibu la swali unalo mwenyewe!.
 
Kuna kaukweli..hata wLe waliochoka wanakua wanatisha zaidi, maumbile ni tofauti kiasi na uenyeji

sie tuna uchovu wa asili na maumbo madogo.
 
dah atuwezi fanana nao wenzetu hawana mastress mara richmond,epa,bot,tanapa,madaktari. Yani mtoto anazaliwa yuko full mahuduma muhimu jua lenyewe liko mbali awaogi mimaji ya mikojo kama pale mwananyamala au tandika
 
Hivi waTanzania wengi wanafanana na Nitonye,huyu hata akikaa USA hawezi badilika ha ha ha ha.

avatar63949_1.gif
 
nilikuwa Mexico lakini wakati wa kwenda na kurudi transit ilikuwa Usa,tulitua pale Washington dc tukakaa kwa muda mrefu wakati tunasubiri ku-connect ndege ya Mexico,tulikata sana mitaa yaani ni hivi Mtanzania au raia yeyote kutoka Africa akiwa pale utamjua huyu siyo mmarekani,,yaani tulitembea halafu nikaona watu wanauza fulani kama hapa bongo halafu nikasogelea karibu kidogo,kwa bahati mbaya mimi japo naishi africa lakini ukiniangalia unaweza fikiri mimi ni kulekule,niliposogelea nikasikia jamaa wanaongea kiswahili yaani,,dahh!mambo sio mambo wakuu,ilibidi nijitambulishe kuwa mimi ni mtanzania mpaka waliponiuliza ni mtanzania wa wapi ndio waliamini,walifikiri mimi natoka palepale!sasa kilichonishangaza yaani sura zetu hazifanani kabisa na wale wamarekani weusi,yaani sura zao tofauti kwanza wamechangamka,halafu ngozi yao haijababuka kabisa,ni hivi ukikutana na mbongo hata kama humjui utajua huyu ni mbongo,kwa nini basi tusifanane na wale wenzetu wajamani!!!

Alafu unajicontradict! Jibu la swali unalo mwenyewe!.
 
tofauti inatokana na mambo mengi, mm nadhani yafuatayo ni miongoni-
1. wenzetu wana mchanganyiko na damu ya watu weupe, ndio maana wanaitwa negro
2.mazingira wanayoishi ni tofauti na yetu kuanzia hali ya hewa, huduma za afya, vyakula n.k
3. kipato chao ni tofauti ni chetu, ss watu hawana hata uhakika wa kula, ivi unadhani huyo mtoto atakayezaliwa atakuwaje

nawapisha wengine
wapo wamarekani weusi wafupi kama wamakonde tu...tembeeni muone!
 
nilikuwa Mexico lakini wakati wa kwenda na kurudi transit ilikuwa Usa,tulitua pale Washington dc tukakaa kwa muda mrefu wakati tunasubiri ku-connect ndege ya Mexico,tulikata sana mitaa yaani ni hivi Mtanzania au raia yeyote kutoka Africa akiwa pale utamjua huyu siyo mmarekani,,yaani tulitembea halafu nikaona watu wanauza fulani kama hapa bongo halafu nikasogelea karibu kidogo,kwa bahati mbaya mimi japo naishi africa lakini ukiniangalia unaweza fikiri mimi ni kulekule,niliposogelea nikasikia jamaa wanaongea kiswahili yaani,,dahh!mambo sio mambo wakuu,ilibidi nijitambulishe kuwa mimi ni mtanzania mpaka waliponiuliza ni mtanzania wa wapi ndio waliamini,walifikiri mimi natoka palepale!sasa kilichonishangaza yaani sura zetu hazifanani kabisa na wale wamarekani weusi,yaani sura zao tofauti kwanza wamechangamka,halafu ngozi yao haijababuka kabisa,ni hivi ukikutana na mbongo hata kama humjui utajua huyu ni mbongo,kwa nini basi tusifanane na wale wenzetu wajamani!!!

Unatafuta sifa za kijinga_mental slave,......mawazo yako ni wale wale wa_bora niwe mbwa wa joji kichaka kuliko............,
 
Halafu hujui hata kujifagilia mara moja unajulikana tu kuwa mwongo. Mara. Hatufanani mara ukiniangalia kulekule ooh mambo si mambo we utajakuwa mchawi usipo ji cheki
 
Kabla sijachangia chochote ebu wadau nijuzeni hv Seal Mwanamziki ni Mmarekani? Au ni kutoka nchi za afrika amaenda kutafuta maisha kama akon?? Maana seal hana tofauti na nitonye kisura
 
Kwa hiyo ukifanana na wamarekani thamani yako ndo inakuwa juu?? Utumwa wa kifikra na ulimbukeni, huko mexico ulikuwa umeenda kubeba cocain?? Halafu mods itoeni hapa jukwaa la siasa na muipeleke kule udaku..
 
Wewe ni mwongo sana kwanza you can't tell the different kua huyu ni mmarekani au ni mbongo kuna wengine choka mbaya hata unajiuliza kafikaje US,

Pili, ungepata Bahati Ndugu yangu ukaingia ndani pale ikajichanganya Harlem or 14 str or 10th str , na broadway huko ndio utachanganyikiwa .

Hizo ni hisia potofu tu kujidharau halafu pengine una penda tu wamarekani wale coloured kwakweli ukiwakuta Mixed ni soft and brilliant ....

Ila mada yako ni niya kishule shule kuwasifia sifia wa marekani...

Uliza walioishi sana kule.....
 
Back
Top Bottom