Hivi kwa nini sura zetu hazifanani na wamarekani weusi?

Huyu alitaka tujue alikuwa USA na Mexico,hana lolote anasumbuliwa na utoto na kutaka sifa za kijinga.

Mkuu kumbe umeona; story yenyewe ya kupika kisha ina viraka kibao! Jamani, uko ktk transit, kisha unaamua kukata mitaa! Hii kali.
 
Marekani ukiwa maskini wa kutupwa lazima kwa kiasi kikubwa utakuwa na matatizo ya kiakili!

To me America is still the land opportunities and I love it.
 
maninsuit.jpg
Mkuu XPaster hii ndio sura yako?
 
duhhhhh
sijui ni mimi tu au la..
sijaona tofauti kabisa kati ya African America na wa Africa..
Tofauti ipo kwa wale tu wenye fedha na wale ambao hawana..
wenye fedha wanajitunza sana. na ambao mifuko imekauka ndo hivyo tena..
 
duhhhhh
sijui ni mimi tu au la..
sijaona tofauti kabisa kati ya African America na wa Africa..
Tofauti ipo kwa wale tu wenye fedha na wale ambao hawana..
wenye fedha wanajitunza sana. na ambao mifuko imekauka ndo hivyo tena..

Tofauti ya features ipo, tena ni dhahiri kabisa!

Umeshaishi Marekani wewe na kujichanganya na African-Americans?
 
....X-Paster kweli USA watu hawapewi msaada ovyo ovyo, ila ninachoweza kusema baadhi ya wamarekani ni wavivu, hawataki kufanya kazi na watu nguvu wanazo........kuna wengine kazi wanachagua. Wengine walishaingia kwenye bad credit na crimes nyingi haswa madawa mtu kama huyo hawezi pata msaada serikalini. Ndio mwisho wanaishia kuwa homeless.

Hivi uliwahi kujiuliza kwa nini immigrants wengi huko marekani huwezi kuwakuta wakihangaika kama wazawa wa hapo USA? Kwa sababu kwanza immigrants wanachapa kazi kisawa sawa na hawachagui kazi. Sasa hao wamarekani waliochoka na kuwa homeless wamejitakiwa wenyewe. Wengine wakifanya kazi haswa hao weusi, baada ya kupata paycheck hata kazini haendi.


.....USA ni land of opportunity, kama mtu umetulia na kuchapa kazi na kutojiingiza kwenye crimes utafurahia mema ya nchi. Hata kama bahati mbaya umepoteza kazi, na huna crimes yoyote utalipiwa bills zako zote za muhimu kama nyumba, umeme na maji. Utapewa food stamps na serikali watakupa minutes chache kwenye simu.

Vile vile ukistaafu kuna kitu kinaitwa social security benefits, hii utaipata kila mwezi hadi hapo utakapoondoka duniani. Hao homeless wanajitakia wenyewe, naweza sema wavivu na hii ni kawaida kwa viumbe sisi binadamu hatufanani. Nchi hata iwe na utajiri lakini lazima utakuta kuna wavivu/kilaza.

Na hao wanaohangaika na watoto hapo wanatakiwa kwenda shelter za serikali au za makanisa, zipo kila mji, sema ukienda huko hakuna sigara wala beer na ni marufuku kukaa shelter kama unakunywa au kuvuta, utafukuzwa.......hivyo wanaona bora kuomba omba kupata pesa ya sigara na pombe badala ya kwenda shelter.
[h=3][/h]
 
Tofauti ya features ipo, tena ni dhahiri kabisa!

Umeshaishi Marekani wewe na kujichanganya na African-Americans?

si lazima uishi mareka kujichanganya nao..
Yes nimewahi kuishi na wa African American lakini si marekani..

labda si tabia yangu kuchunguza watu , ukweli sijaona tofauti kabisa...
 
Mkuu XPaster hii ndio sura yako?
Mkuu, unaweza kula BAN ya maisha... ooh! We uoni hiyo suti ya nguvu, hapo alikuwa na mihadi wenyewe wanaita eti date, alafu Nando's sasa... ah ah ah ah, hiyo picha ilipigwa jamaa alipopewa NO ya nguvu, ndio kanuna hivyo.
 
Pamoja baloteli ni mtaliano lakini jamaa sura yake ya kiafrika Africa

Sent from my HTC Incredible S using Tapatalk
 
Dah nimechelewa kuisoma hii but acha tu nimjibu mtoa thread hivyo hivyo kaniudhi sana, kwanza huyu ni mshamba sana sana na hajawahi kusafiri kabisa anadanganya tu, sio kweli unaweza kumtambua mbongo kirahisi hivyo akiwa nje, mi mwenyewe tu hapa ingawa sikai nje huwezi nitambua nikijichanganya huko majuu, kwa ujinga wake ni kama anajidhalilisha mwenyewe tu na hata sioni mantiki ya kuandika hii thread humu ndani, hivi inafundisha au kusaidia nini zaidi ya kuonesha upuuzi wake tu.
Wazo; Wana JF tuweke aina fulani ya Form za kujaza kabla hujajiunga humu naona tunaweza kuwa tunapokea mazagazaga sasa kama facebook ilivyosasa kwamba mtu akipanda ndege au kula kuku anatuletea stori hizo humu ndani.
 
Nimependa hoja zilizojishibisha za Pretty
Mi nimemwelewa mtoa mada vizuri.. Kafika States.Ingawa ni 1st time kwake,lakini aliwatambua Waafrika/Waswahili kwa kuwaangalia tu!

Akagundua pia kuwa Waswahili waliolowea Marekani,ni vigumu kwao kumgundua Mswahili mwenzao mgeni ama yule ambaye ni 1st time kufika ughaibuni

Na cha mwisho alichokiona ni kuwa aliwaona African Americans na kweli akawatofutisha kirahisi na Waswahili waishio ughaibuni..

Ila nadhani kama unajipenda,uko (I can't get the right word)... Mara mashampoo aina tofauti,mara maafter shave,mara mafuta ya nywele..sijui ya aina gani...
Lakini wengine they don't give a damn kuhusu complexion zao,ama kwamba alishinda sana juani so wakati anarudi nyumbani aingie super market kununua sijui mafuta gani kwa ajili ya ngozi..

Vitu vya namna hiyo.
 
hayo mengine yooote naweka kando..Kwanza upewe hongera:poa kwa kutembelea sehemu mbalimbali dunia....Tumeshajua ulilenda nga'mbo/ulaya.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom