Hivi akili zetu sisi watu weusi na za wenzetu weupe ziko sawa?

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Sijui kama swali hili najiulizaga mimi mwenyewe tu.

Hivi akili zetu sisi watu weusi na za wenzetu weupe yaani wachina, wazungu na wengine wengi ziko sawa?

Maana leo nimeona video fulani ya kijana mmoja wa kichina nafikiri yule atakuwa under 18- katengeneza ndege fulani fulani hivi na kanaruka angani

Na uku kwetu Afrika tunaona vijana wengi wanajaribu kutengeneza vitu kama ivyo hakuna chochote wanacho weza.

Na hata kwenye swala la kutekeleza vitu wenzetu wako tofauti na sisi kabisa
Au tulivyo weusi na akili zetu ni nyeusi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa umbo na utendaji wa kazi vipo sawa kabisa kwa race zote. Wait, unazungumzia akili right?
Kama ni akili na sio ubongo basi akili inaweza kutofautiana kutoka jamii/race moja na nyingine kutokana na Lishe, Exposure, Mazingira/ Mfumo.

Pigia mstari hapo kwenye Mazingira/Mfumo na lishe bora ndipo tulipozidiwa mbali na wenzetu
 
Hahaa
Sasa hivi tumebaki kulalamikia kila kitu kuwa ni wazungu wanatuhujumu.

Mfano Rwanda analeta vita huko DRC kisha sisi tunasema ni wazungu wanasababisha, hatuoni kosa letu
 
Ndio hazipo sawa na hii inatokana na makuzi kuanzia utotoni na mazingira pia
Umeandika nilichotaka kuandika kabisa. Eg. Mazingira
Mazingira mabovu ya elimu yetu yametufanya tuone watoto wetu wengi hawana uwezo Darasani na kufaulu form 4 it's a dream come true. Wakati kwa wenzetu dream come true yao ni KuSecure admission ya Harvard,MIT, Oxford, Wisconsin nk.

So umeona shule za dini/binafsi zilivyoboresha Mazingira ya elimu watoto wanapasua kwa alama za juu kabisa!
 
Vile unavyoiona rangi yangi yako, ndivyo ubongo wako ulivyo. Hatuwezi kufanana.
Wao walianza kufikiria kuzunguka dunia kutafuta raslimali baada ya huko kwao kuzikosa/kuwa pungufu, wakatukuta sisi huku wabongo hatujielewi.
Wakatuona kama ni wanyama wenye atleast IQ kubwa kuliko wanyama wengine. Wakabeba mali zetu nyingi sana, wakatubeba na sisi tukawalimie mashamba na kuwazalishia zaidi.
Walivyoendelea saaaaaaaaaaaana. Wakasema sasa baasi, tukomeshe biashara ya watumwa, tuanzishe na mashirika ya kutetea haki za binadamu.
Wakati wanakomesha hivyo vitu, bado wabongo tulikua mazezeta, hatujielewi. Watupa na uhuru wa nchi zetu, wakafanya urafiki na watawala wetu.
Watawala wakaona wanapendwa sana, wakaanza kugawa mali za nchi zao kwa haohao wazungu. Huku zawadi waliyopewa viongozi wetu, ni kupiga picha na hao wazungu na kupewa nafasi ya kutembelea nchini kwao.
Wakawaambia watawala wetu, huko kwenu africa kuna vuruguvurugu nyingi, wekeni pesa zenu kwenye benki zetu. Hata kikinuka huko kwenu nyie mtakimbilia kwetu, tutawapokea na mtaishi vizuri na mapeeeesa yenu mliyoyasev kwenye bank zetu.
Wakatupiga stop kujitengenezea hata toothpick zetu, eti tusijichoshe, wapo kwa ajili yetu, watatutengenezea chochote tunachohitaji tena kwa bei cheeeee kabisa.
Na watawala wetu wakacheka wakafurahi kusikia maneno matamu.
Wakajenga shule nyingi ambazo watoto wao hawapelekwi wakasome huko. Wakajenga hospitali nyingi ambazo wao na familia zao hawaendi kutibiwa huko.
Wakastop kujenga barabara nzuri ili wanunue MaV8 ambayo hayachagui barabara.
Wakati wa likizo zao, nchini mwao wanaona si sehemu nzuri na salama kupumzika, wanaenda kwa rafiki zao wazungu.

Mambo ni mengi mleta maada, tushukuru uzima tulionao basi. Mwafrika Endelea kupamba kwa maslahi mapana ya ya watawala wako.
 
Sijui kama swali hili najiulizaga mimi mwenyewe tu.

Hivi akili zetu sisi watu weusi na za wenzetu weupe yaani wachina, wazungu na wengine wengi ziko sawa?

Maana leo nimeona video fulani ya kijana mmoja wa kichina nafikiri yule atakuwa under 18- katengeneza ndege fulani fulani hivi na kanaruka angani

Na uku kwetu Afrika tunaona vijana wengi wanajaribu kutengeneza vitu kama ivyo hakuna chochote wanacho weza.

Na hata kwenye swala la kutekeleza vitu wenzetu wako tofauti na sisi kabisa
Au tulivyo weusi na akili zetu ni nyeusi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi lini diamond anapiga shw nyingine,vp zuchu bado tuko mondi,aise fei toto sakata lake vepe???simba yanga lini wanakutana

Ova
 
Aisee umeandika content moja matata sana.
Hakika mambo ni mengi, tushukuru uzima tulionao.
 
Sijui kama swali hili najiulizaga mimi mwenyewe tu.

Hivi akili zetu sisi watu weusi na za wenzetu weupe yaani wachina, wazungu na wengine wengi ziko sawa?

Maana leo nimeona video fulani ya kijana mmoja wa kichina nafikiri yule atakuwa under 18- katengeneza ndege fulani fulani hivi na kanaruka angani

Na uku kwetu Afrika tunaona vijana wengi wanajaribu kutengeneza vitu kama ivyo hakuna chochote wanacho weza.

Na hata kwenye swala la kutekeleza vitu wenzetu wako tofauti na sisi kabisa
Au tulivyo weusi na akili zetu ni nyeusi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuna akili bado tupo kwenye evolution ya chini sana kuelekea katika ukamili walipo wenzetu.
 
Sijui kama swali hili najiulizaga mimi mwenyewe tu.

Hivi akili zetu sisi watu weusi na za wenzetu weupe yaani wachina, wazungu na wengine wengi ziko sawa?

Maana leo nimeona video fulani ya kijana mmoja wa kichina nafikiri yule atakuwa under 18- katengeneza ndege fulani fulani hivi na kanaruka angani

Na uku kwetu Afrika tunaona vijana wengi wanajaribu kutengeneza vitu kama ivyo hakuna chochote wanacho weza.

Na hata kwenye swala la kutekeleza vitu wenzetu wako tofauti na sisi kabisa
Au tulivyo weusi na akili zetu ni nyeusi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili ziko sawa tukiwa wadogo.

Ila kuna aina fulani ya watu wasomi waliojipa mamlaka ya kututengenezea sheria na kanuni za kuishi,ndio wanaotufanya wapumbavu kadri umri unavyoongezeka.

Mfano elimu tunayopewa tangu tukiwa wadogo,inatulazimisha kuamini kwamba huwezi kuwa mbunifu mpaka uwe profesa.
Kuna sheria nyingi za udhibiti ambazo ni vigumu kumfanya mtu apenye.

Tunafumdishwa ujinga mwingi tukiwa wadogo wakati akili ina uwezo wa kujifunza mambo makubwa.Akili inapochoka,ndipo unafundishwa mambo makubwa.

Kifupi hatuna akili
 
Emu tuanze, Akili (kama ulivyolitumia neno hili kwenye andiko) ni nini?
 
Back
Top Bottom