Hivi kutongoza ni kosa?

Hiyo unayoongelea ni michezo ya ma-teen. Hebu pata busara za watu wazima na utayaona ya kawaida?

Kama uko under 18 au ndo umevuka basi unahitaji kusaidiwa. Let us know how we can help u. Kutongoza hata rafiki wa sister wako ni kawaida tu na hutakiwi kupata mateso. Suala ni jinsi unavyofanya kitu hicho. U need to be very strategic vinginevyo unaaibika kama ilivyokutokea! The bottom line ni kuwa hujafanya kosa lolote hapo.

Mkuu hiyo ya rafiki wake sista ilikuwa bado nipo janki, ingawa ilinipa fundisho pia. Ila hili la kumpigia simu demu halafu anaweka loud speaker tena anakuchombeza na maneno matamu ili ubwabwaje utumbo akuchore na rafiki zake nimeishuhudia kwa macho yangu mtu akifanyiwa. Sometimes hawa watoto wa kike wanapenda sana kunyanyasa wakigundua kuwa mtu mzima kwake umefika, mi ndo maana siamini kwenye kupenda. Kiufupi nimekuwa tena sana tu. Otherwise, nashukuru kwa ushauri.
 
Ndugu,

Nimeshakueleza kuwa hiyo ni michezo ya mateeneger. Wanafurahia sana kufanya hivyo na kwa hiyo hakuna kitu cha ajabu. Ni suala la kujifunza jinsi ya kudeal na mambo kama hayo na labda kutakwepa. Kwani wewe hujawahi kukaa na washikaji ukawasimulia jinsi ulivyomfanya demu wako? Na ukawaeleza kila kitu kuanzia chupi hadi idadi ya magoli? Pia wasichana hawapendi hayo mambo yasemwe. Jaribu kukaa na watu wazima kidogo wakusaidia. Kujenga negative altitude ni kujiharibia maisha yako ya mbele. Live without romance is meaningless!
 
Lakini wanaotupaga adhabu hizi si wapo humu, mbona wako kimya hata hawasemi ni kwa nini huwa wanatupatia hizi adhabu.Wapi Preta,Rose1980,MariaRosa,Wakuchakachua,Katelero, Nyamayao,naomba mtuambie basu wapi tunapokosea mpaka kustahili adhabu zote hizi
 
Yaap! akiwa mkali we kuwa mlaini baaaaaaaasi! shughuli imeshakwisha hiyo! kama unamsukuma mlevi!:smile-big:

Mkuu hawa wenzetu sijui wako vipi maana kuna jamaa alijidai kuwa mpole matokeo yake akaitwa mwizi na watu walipokusanyika wakampa kichapo mpaka walipokuja kuelewa kuwa jamaa alikuwa anatongoza tu pale, jamaa yangu keshatiwa ngeo kibao.
 
Lakini wanaotupaga adhabu hizi si wapo humu, mbona wako kimya hata hawasemi ni kwa nini huwa wanatupatia hizi adhabu.Wapi Preta,Rose1980,MariaRosa,Wakuchakachua,Katelero, Nyamayao,naomba mtuambie basu wapi tunapokosea mpaka kustahili adhabu zote hizi

May be wanaweza ....ila mimi naona kama ni issue za teens ndo maana wanawake wazima hawawezi kuona kama ni tatizo kwao. May be watakuja kuwasaidia. Hata hivyo kadri muda unavyokwenda ndio wakina mama wanapogundua kuwa michezo yao wanayofanya kwenye mob ni hatari kwao wenyewe kwani wengine huishia kukosa si BF tu bali hata mtu wa kumsalimia!
 
Kuna mwingine alikwenda kutongoza akaitiwa polisi na kuwekwa ndani sasa jamani ni haki hiyo?

Hivi kuna mtu anafunga safari kwenda kutongoza? Kama yupo basi anastahili hiyo adhabu...kutongoza ni very organic...inakuwa smooth na kwa hiyo hadi inafikia kumtembelea mtu kila kitu kiko sawa au?
 
May be wanaweza ....ila mimi naona kama ni issue za teens ndo maana wanawake wazima hawawezi kuona kama ni tatizo kwao. May be watakuja kuwasaidia. Hata hivyo kadri muda unavyokwenda ndio wakina mama wanapogundua kuwa michezo yao wanayofanya kwenye mob ni hatari kwao wenyewe kwani wengine huishia kukosa si BF tu bali hata mtu wa kumsalimia!

Hilo nalo ni neno,Lakini naomba nikuulize tu mkuu DC kwani wewe bado unatongoza oops sorry I mean yaani watu wazima yaani wazee nao huwa wanatongoza na kama ndio wao hukutana na adhabu gani,maana mtoto akivunja kikombe na baba akavunja kikombe hichohicho adhabu zao hazita fanana.

[/COLOR][/SIZE]

Wazee wanapotongoza hawaiti kutongoza, wanaita kuongea na wazee wenzao au wajukuu. Kwa hiyo kila kitu kinakuwa very smooth mwanzo hadi mwisho kwani hakuna mwenye haraka. Akitokea mzee anayekurupuka basi huyo anastahili adhabu kama hizo mnazopata nyie vijana!
 
Kwa taarifa yako
Mwanamke akikaa wiki hajatongozwa hujiona hajakamilika
Kumbuka pia
Hata chui/simba jike huzaa

Hii sina uhakika sana Kibweka, wiki!
kuna mwalimu wetu (alikuwa sista wa kanisani) kuna siku aliibuka kutusema kuwa ukijiona wewe kila mwanaume anakutongoza ujue una kasoro.............. akatolea mfano wa embe inayofwatwa na inzi wengi ni ile iliyooza... so, ukiona kila wiki unatongozwa ujue umeoza, ha haaaaaaaaaaa. sasa sijui alikuwa na maana wakaka wanakuona wewe ni njia rahisi kupita! mi sijui; maana hata wale ma-forward wa kwenye mpira wanaangalia yupi ni weak beki ili wapite kwa urahisi!
 
Hapo umeeleweka vizuri sana mama lakini bado niko na swali langu,ni wapi ambapo huwa mwanaume anakosea na kustahili adhabu zote hizo?
 
Hapo umeeleweka vizuri sana mama lakini bado niko na swali langu,ni wapi ambapo huwa mwanaume anakosea na kustahili adhabu zote hizo?

Mkuu,

Kuna vitu viwili muhimu sana..ukivikosea utajuta..APPROACH yako na TIMING. Kamuulize mtu yeyote atakwambia umhimu wa vitu hivi.
 
Mkuu,

Kuna vitu viwili muhimu sana..ukivikosea utajuta..APPROACH yako na TIMING. Kamuulize mtu yeyote atakwambia umhimu wa vitu hivi.

Kwa hiyo mkuu hapo nilipo hilight ina maana mtu ukikosea hapo unastahili adhabu si ndio unavyomaanisha?
 
Sawasawa nkuu umesomeka lakini ntauliza tena, mtu akionesha upendo wake ni sawa kweli kumrudishia adhabu?

It depends on how u do it. Kuonesha upendo wakati huo ukamkera mwenzio haiwezi kukupata nafasi ya kutokuadhibiwa.
 
Wana JF nimekuwa nikijiuliza siku nyingi swali hili na sipati jibu sahihi.Utakuta umempenda mtu unaona ni heri umueleze kilicho moyoni mwako tena kwa upendo na upole tu,lakini matokeo yake majibu utakayokutana nayo inakuwa kama vile ni adhabu,utaambiwa huna adabu,kamtongoze mama yako,utapewa misonyo,pengine hata kichapo toka kwa watu,wengine waliwahi hata kusakiziwa mbwa,na mbaya zaidi unawezakuta mtu hakutaki lakini anaamua tu kukukomesha kwa kukupa shida zake zoote na wewe kwa kuwa umependa basi utamtimizia na bado unaambulia patupu.Mengine tunayokutana nayo wakuu mnaweza kuongezea lakini swali langu ni hilo,je kutongoza ni kosa mpaka wanaume tustahili adhabu zote hizi?

Inategemea unamtongoza nani na vipi? Wengine ni 'mwiko' kuwatongoza ati!

Suala hili nadhani kwa kiasi kikubwa linategemea na umri (read: 'uzoefu'). Ukiona unamtongoza mwanamke halafu anakutukana na mambo kama hayo, cha kwanza ni lazima ujitizame mwenyewe kwanza (kuna uwezekano mkubwa utakuwa 'umechemsha' mahala fulani kwenye hiyo process). Haya mambo 'ukiyapeleka vizuri' wala hayana shida kihivyo na strictly speaking wala huitaji 'kutongoza' ki vile sana! Tengeneza mazingira kwanza kabla hujanyanyua mdomo wako!
 
Kwa maana hiyo basi kwa mimi nilivyoelewa ni kwamba kutongoza sio kosa ila utongozaji wenyewe ndio unaweza kuwa na makosa yenye kustahili adhabu hizo,Lakini kama wengi walivyosema mambo ya timing na approach,mbona mimi ilishanitokea zamani sana ambapo nilitime vizuri na approach yangu ilikuwa imeenda shule kwa jinsi nilivyokuwa nimejipanga na kumuandalia mazigira bibie lakini nilipoanza tu kumueleza shida yangu akaniambia ona thatha tulikuwa tumekaa hapa tunaongea vidhuri wewe thatha ushaandha kuniudhi mwendhio,hapo mtu mzima nikajiuliza hapa nimekosea nini sikupata jibu naomba mnisaidie wadau hasa kwenye timing maana approach yenyewe sina tatizo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom