Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,444
- 25,591
Nilishangaa kwanini sinaraha mida flan ya saa saba hivi...kuja kugundua kumbe jf ilikuwa haipo hewani.
Ulimi hauna mfupa.....unataka kunisemea kwa eiyer? au nipe tu adhabu mtoto mashalah
U have to kiss your girl 200 kisses this weekend; nitamuuliza ujue!
mimi nimeweza kumuangalia Ukwa achinaka again na his famous phrase "a man should hold his manhood for urine to have direction". I just love the dude!
Nyingine hii, "your wife have bewifed you until there is no manhood left in you".
Kila dakika kidole changu kilikuwa kina refresh page tu
ha ha ha ha
siku hizi wala sisemi ni wa jf
nasimulia tu, kuna mbabu mmoja anaitwa DC ana busara.
Au kuna mbabu ODM anakagua huyo.
Yaani nshajifanya ni majirani zangu.
Siwezi sema jf wataniuliza ID yangu afu niumbuke bure.
Na siku wakigundua ID yako watazimia siku tatu........hezbend ndio kabisa akizinduka anamtafuta Bishanga alipo na benduki
we acha tu
yaani huwa naogopa sometimes
yaani Bishanga ana hali ngumu sana
na ninavyomlike like hivi
lazima apate binduki hata ya kalio.
Kwa hali hii.......Naomba nitangaze kuanzia leo kuwa wewe sikujui kabisa na hata ID unayotumia nimeisahau......Ila like unaweza kupiga tu ni kama ajali
cm yangu ilikua off charge nilikua nimedhoofika kwa hilo ndo ingekua eti iko na charge halfu jf siipati lol nngekua ICU jf udumu daima MUngu aendelee kukulinda ila naona kama vile WILLIAM BALEY wA KWENYE FRINGE SERIES kafanya manuva maana hii adcttion tu inabidi nikamuone DR WALTER BISHOP Fringe