Hivi JF ni kama Love addiction?

U have to kiss your girl 200 kisses this weekend; nitamuuliza ujue!

Nilivyosoma haraka haraka mara ya kwanza ikasomeka hivi: U have to kiss your 200 girls this weekend; nitawauliza ujue!

Nikashangaa khaaa kaunga anaionaje mimi!! kumbe ni 200 kisses to my girl........usijali
 
ha ha ha, nimeipenda hiyo ya pili sana.
Kuna mtu namtumia sasa hivi.

mimi nimeweza kumuangalia Ukwa achinaka again na his famous phrase "a man should hold his manhood for urine to have direction". I just love the dude!

Nyingine hii, "your wife have bewifed you until there is no manhood left in you".
 
ha ha ha ha

siku hizi wala sisemi ni wa jf

nasimulia tu, kuna mbabu mmoja anaitwa DC ana busara.

Au kuna mbabu ODM anakagua huyo.

Yaani nshajifanya ni majirani zangu.

Siwezi sema jf wataniuliza ID yangu afu niumbuke bure.

Na reference ya mazungumzo unaitoa ni JF.........Ukitaka kumwita mwanao unajisahau na kumwita Asprin, hezbendi Bishanga...............hausigeli unapotea na kumwita Kaunga ...aghayaaah
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha

siku hizi wala sisemi ni wa jf

nasimulia tu, kuna mbabu mmoja anaitwa DC ana busara.

Au kuna mbabu ODM anakagua huyo.

Yaani nshajifanya ni majirani zangu.

Siwezi sema jf wataniuliza ID yangu afu niumbuke bure.

Na siku wakigundua ID yako watazimia siku tatu........hezbend ndio kabisa akizinduka anamtafuta Bishanga alipo na benduki
 
we acha tu
yaani huwa naogopa sometimes

yaani Bishanga ana hali ngumu sana
na ninavyomlike like hivi

lazima apate binduki hata ya kalio.

Na siku wakigundua ID yako watazimia siku tatu........hezbend ndio kabisa akizinduka anamtafuta Bishanga alipo na benduki
 
Last edited by a moderator:
Afadhali nilkuwa busy sana mchana kutwa wala sijagundua. Khaa nadhani ningepata homa. Maana mie ndio nimekuwa teja jumla!
 
we acha tu
yaani huwa naogopa sometimes

yaani Bishanga ana hali ngumu sana
na ninavyomlike like hivi

lazima apate binduki hata ya kalio.

Kwa hali hii.......Naomba nitangaze kuanzia leo kuwa wewe sikujui kabisa na hata ID unayotumia nimeisahau......Ila like unaweza kupiga tu ni kama ajali
 
ujue kuna mtu aliwahi sema 'like' ni hongo tosha kabisa hapa jf??

Ukitupia na ka reputationa basi umepeleka posa.

Ukimalizia na PM, hiyo ni mahari, ndio hivyo.

Kwa hali hii.......Naomba nitangaze kuanzia leo kuwa wewe sikujui kabisa na hata ID unayotumia nimeisahau......Ila like unaweza kupiga tu ni kama ajali
 
cm yangu ilikua off charge nilikua nimedhoofika kwa hilo ndo ingekua eti iko na charge halfu jf siipati lol nngekua ICU jf udumu daima MUngu aendelee kukulinda ila naona kama vile WILLIAM BALEY wA KWENYE FRINGE SERIES kafanya manuva maana hii adcttion tu inabidi nikamuone DR WALTER BISHOP Fringe
 
BTW hivi, fringe season mpya ni no ngapi? Sijaifatilia since last year!
 
Last edited by a moderator:
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom