Kama boyfriend wako anakufanyia vitu hivi, basi hakupendi vyakutosha

Man Middo tz

Senior Member
Sep 9, 2020
154
230
Mabadiliko ni kama sheria kiasili, lakini huwa hayapendwi na watu katika kila kitu.

Katika mahusiano huwa hatupendi mabadiliko haswa yale ya kitabia hayapendwi kabisa. Imegundulika kuwa wanawake hawachukui muda kugunudua mabadiliko katika tabia za wenza wao ila wanashindwa kujua kuwa ni ishara ya kupendwa au kutokupendwa.

Kama mpenzi wako akikufanyia vitu vifuatavyo basi hakupendi vyakutosha.

1. Kupenda kupitiliza

Inaaminika ya kwamba sukari nyingi pia hubadilisha radha na hata kuiondoa kabisa. Hivyo hivyo katika pia mahusiano, pale upatapo mpenzi ambaye anaonyesha kupenda kupita kiasi, kujali zaid ya sana na kusapoti ya hela yote (Yani akionyesha Extra extra kama EXTRA CARE, EXTRA LOVE, EXTRA SUPPORT) Hiyo ni alama tosha kabisa kuwa kuna kitu hakipo sawa katika tabia zenu.

2. Anapuuzia simu zako (Ignores your call)

Je mpenzi wako ni yule aliyekua natumia masaa kusubiri simu yako? Na sasa ameanza kupuuza simu zako? Kama alikua anaweza kutumia dakika 10 au zaid kuongea na wewe na sasaivi hupati hata dakika 3 za kuongea, na kwa sms umtumiayo asubuhi hujibiwa jioni basi mcheki mwenza wako kwa jicho la tatu fanya uchunguzi kwasababu

“Kupuuza ni alama ya kuwa kuna mtu mwingine anaenda kuwa muhimu kwake zaidi yako”

3. Anakuficha baadhi ya mambo (Hiding things)

Unakuta mpenzi wako ameanza kukuficha baadhi ya mambo au vitu ambavyo anajua akikwambia hutaridhia au kukubali. Basi jua kuwa hakuna mapenzi ya kweli kama anajaribu kukuficha jambo.

Kila mahusiano yameundwa katika msingi wa imani kati ya wapenzi husika, lakini kuficha jambo au kitu inamaana ya kuwa humuamini mpenzi wako vyakutosha.

NOTE: Dada yangu acha kujitutumua na kujivimbisha kwakua jamaa anapiga simu mara sita kwa siku, acha kuvimba eti kwakua hata akienda chooni anakuambia sukari nyingi inaboa hata mwilini ikizidi ni ugonjwa.

Kama hapokei simu zako harafu nakuambia nilibanwa kuwa makini aisee kinachofuatia ni kubanwa wewe.

Ni mpenzi wako lakini kuna mambo unakuja tu kusikia kwa majirani au rafiki zake wewe hakushirikishi au hakuambii aisee tafuta njia sahihi acha kiherehere kung’ang’ania.

Wewe KAKA na wewe DADA Acha kumpotezea mwenzako muda wake kama nafsi yako haijakunjuka kuwa radhi nae, muache aende akapate hifadhi sehemu sahihi kama kifua chako kimeshindwa kumuhifadhi, Acha kuziba riziki za mwenzako, acha kufunga milango yake kwa yule aliyesahihi kwake.

man Middo Tz
1671608956666.jpg
 
man Middo TzView attachment 2453478
Wanawake ni kiumbe cha kipumbavu Sana.

Kila kimoja kina Formula yake.

Wala Haikaliliki
 
Akwende
 
Haya mambo hayanaga fomyula kbsa kwa hiyo Ni Bora muachane tu nayo mkafanye ishu zingine.
 
Back
Top Bottom