Hivi dada zetu wa kwenye barber shop wapo kwa ajili ya nini hasa?

nafikiri ni mawazo tuliyo nayo vichwani mwetu yanayotutuma kufikiria hayo yote. wapo kazini na hiyo ni mojawapo ya kazi yao. tulie uhudumiwe kisha chanja mbuga, ukiendekeza mawazo hayo kichwani umekwisha.
 
Jambo hili mimekaa nalo moyoni kwa muda mrefu sana, naomba mnisaidie hivihawa dada zetu wa kwenye hizi barber shops wapo kwa ajili ya kuwasafisha wateja wao au kuwatega? Kwa maana mmmmhh, naona wamezidisha mbwembwe sasa.

Ukiweka mawazo hayo hata vimini kanisani utasema wanatega. Nenda, nyoa ukimaliza timua. Ukiwa serious hivyo hata siku nyingine hawakutegi. Hata wao huwa wanapima stamina ya mtu.
 
inaelekea na ww uliipenda huduma yao, haiwezekana umebanwa kichwa na matiti umetulia tu, check kwenye blue!!!

Hapo Suzzy
je huyo mdada angeendelea mpaka sehemu nyeti angemwachia kwa muda kama alivyomwachia masiko eeeeeeehhhhhhhhhh
 
Jambo hili mimekaa nalo moyoni kwa muda mrefu sana, naomba mnisaidie hivihawa dada zetu wa kwenye hizi barber shops wapo kwa ajili ya kuwasafisha wateja wao au kuwatega? Kwa maana mmmmhh, naona wamezidisha mbwembwe sasa.

july+28+b01.jpg


Kazi yao moja tu kukulainisha ili kesho urudi tena.
 
Barber shops za siku hizi ni madangulo pia. Wanaume muwe waangalifu. Kwani mkinunua hizo scrubs ukampelekea mkeo home akakusugua unashindwa nini?
Massage parlours nazo ni shughuli nyingine pevu. Nchi za watu massage parlours zinaajiri watu waliosomea fani tena wako makini sana.

Atafanyaje hivyo Bi mkubwa, nyumba ya kupanga, bafu la public na linatosha mtu mmoja tu?
 
Enyi wanaume dhaifu hamjui kuwa miili yenu ni hekalu la Mungu? Kuweni na myoyo mikuu!:hatari::hatari::hatari::hatari::hatari::hatari::hatari::hatari::hatari::hatari::hatari::hatari:
 
Na siku hizi mnavyojishaua na kufanya scrub, kumbe mnataka tu kushikwashikwa na hao wazichana. nahisi kila mtu na mawazo yake akitaka kufanya atafanya hata kama hajaenda huko salon
 
<p>
Mzee, juzi nilienda kwenye barber shop moja ya maeneo ya sinza kwenye majira ya saa kumi za jioni hivi. Mzee nikapokelewa na kadada kamoja kamevaa tight mbaya, kakanitabasamia alafu kakanifumbia jicho moja&quot;Kakanikonyeza'', baada ya kunyolewa kenyewe ndio kakanichangamkia kuwa ni mteja wake wa siku nyingi. Mzee, kabla sijaanza kupakwa zile chemical zao kakashika kichwa, shingo, kidevu kimapenzi hasa'romantic touches'. Baadae wakati wa kuscrub, kakawa kanachezea masikioni yangu kwa muda mrefu. Wakati wa kuoshwa ndo kabisa, kichwa hakikutolewa kwenye mtindi wake. Hii naona ni zaidi ya customer care
</p>
<p>&nbsp;</p>


ha haa haa haaahh uwiii jamani niacheni mimi nisivunjike mbavu wanashindana na wamasaji pala ee kweli biashara ni mbinu tuu
 
Yote hiyo ni kwasababu baadhi yenu wanapenda....ingekua hampendi wasingefanya!!
Hata siku moja huwezi kukuta bidhaa isiyo na wanunuaji SOKONI!!!
 
kuna moja iko pale baada ya kupita africa sana kwa mbele kama unakwenda bamaga kushoto wale mademu ni machangu tu nilikwenda kunyoa pale wakati najiandaa kwenda kwenye graduation UDSM ni noma wanawake wanajiuza hakuna ubishi hizo huduma ni mtego.
na nyingine iko victoria pale karibu na petrol station kwenye kale kanjia kanaelekea mwananyamala kuna demu mule anaitwa ........(acha nihifadhi jina lake) yeye alinishika dick kabisa baada ya kumaliza kunifanyia scrubs na kupipaka black, akasema naitaka hiyo, nikacheka nikachomoka nikampa 10,000 ya huduma sikuomba chenji nikatoka nduki fasta sijawahi kurudi tena nilipachukia.
Mkuu hiyo ndio salon nayoendaga wana huduma nzuri na vinyozi na kina dada ni wacheshi na wanajua kazi yao,hayo mengine ulosema ni mwenyewe tu wanavokuona,wengi tunapata huduma ya heshima pale.
 
Mkuu hiyo ndio salon nayoendaga wana huduma nzuri na vinyozi na kina dada ni wacheshi na wanajua kazi yao,hayo mengine ulosema ni mwenyewe tu wanavokuona,wengi tunapata huduma ya heshima pale.
Mkuu kumbe na wewe chimbo lako pale:lol::lol:
 
Babukijana umetoa point, check hiyo red
Hivi hao madem wa barber shop wanawashikashika watu wangapi kwa siku,kAma umeenda kwa nia ya kunyoa na scrub wala hutahisi kitu,ila kama una mengine hiyo juu yako,na demu kama huyo huna haja ya kushtuka siku hiyo unamtafutia siku unamuibukia si kwa ajili ya kunyoa au huduma yake.
 
Mkuu hiyo ndio salon nayoendaga wana huduma nzuri na vinyozi na kina dada ni wacheshi na wanajua kazi yao,hayo mengine ulosema ni mwenyewe tu wanavokuona,wengi tunapata huduma ya heshima pale.

Kwa utetezi huo ni lazima utakuwa mdau, yaelekea wewe wamekutendea zaidi ya kuambiwa naitaka hiyo. Teh teh teh teh
 
Kwa siku wanahudumia wateja takriban 20 mpaka 30. Wote hao wametomashwa tomashwa, na huenda wamekubaliana wapi wakutane. Sasa kama utakubali ku-share na umati kama huo, HIV itakuwa miguuni mwako
 
eebwana hao akina dada ni muhimu wawepo kwenye hizo berber kwan huku maeneo ya kigambon kivukon kuna saloon moja nzur tu ivi na inawateja weng sana na wengi wa wateja niwale wanaopenda huduma ya wale wanawake manayake ni wazuri na wanautumia ule uzr wao kuwa karbisha wateja..
 
Back
Top Bottom