Hivi dada zetu wa kwenye barber shop wapo kwa ajili ya nini hasa?

Chiwaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
5,726
3,741
Jambo hili mimekaa nalo moyoni kwa muda mrefu sana, naomba mnisaidie hivihawa dada zetu wa kwenye hizi barber shops wapo kwa ajili ya kuwasafisha wateja wao au kuwatega? Kwa maana mmmmhh, naona wamezidisha mbwembwe sasa.
 
wamefanyaje? tupe picha halisi kwanza

Mzee, juzi nilienda kwenye barber shop moja ya maeneo ya sinza kwenye majira ya saa kumi za jioni hivi. Mzee nikapokelewa na kadada kamoja kamevaa tight mbaya, kakanitabasamia alafu kakanifumbia jicho moja"Kakanikonyeza'', baada ya kunyolewa kenyewe ndio kakanichangamkia kuwa ni mteja wake wa siku nyingi. Mzee, kabla sijaanza kupakwa zile chemical zao kakashika kichwa, shingo, kidevu kimapenzi hasa'romantic touches'. Baadae wakati wa kuscrub, kakawa kanachezea masikioni yangu kwa muda mrefu. Wakati wa kuoshwa ndo kabisa, kichwa hakikutolewa kwenye mtindi wake. Hii naona ni zaidi ya customer care
 
:lol::lol::lol: Barbershop za Sinza kheeee kheee kheee NEED I SAY MORE kwa waliotembelea wanaijua habari yake
 
sasa kama ndo hivyo si waongeze maneno mengine mbele ya ''''' and Sex Trading'''' ili tujue moja.
 
Siku za mwisho elimu itaongezeka, wanaona elimu ya kungojea usiku ufike ndiyo wajitokeze, haitoshi wameamua kula sahani moja na vinyozi, nasema nirahisi sn kurubuniwa na kuuva ukimwi kirahisi sn, kwani wamekuwa kaama kinyoleo kinacho nyoa watu wengi kwa siku moja, yatupasa kuwa macho na adui huyu anaepenyeza ukimwi kirahisi wakati huna habari kuwa unakokwenda kunamtego wakupasa uuruke ukimwi ni janga la dunia tujihadhari sn.
 
Mzee, juzi nilienda kwenye barber shop moja ya maeneo ya sinza kwenye majira ya saa kumi za jioni hivi. Mzee nikapokelewa na kadada kamoja kamevaa tight mbaya, kakanitabasamia alafu kakanifumbia jicho moja"Kakanikonyeza'', baada ya kunyolewa kenyewe ndio kakanichangamkia kuwa ni mteja wake wa siku nyingi. Mzee, kabla sijaanza kupakwa zile chemical zao kakashika kichwa, shingo, kidevu kimapenzi hasa'romantic touches'. Baadae wakati wa kuscrub, kakawa kanachezea masikioni yangu kwa muda mrefu. Wakati wa kuoshwa ndo kabisa, kichwa hakikutolewa kwenye mtindi wake. Hii naona ni zaidi ya customer care

inaelekea na ww uliipenda huduma yao, haiwezekana umebanwa kichwa na matiti umetulia tu, check kwenye blue!!!
 
Hivi hao madem wa barber shop wanawashikashika watu wangapi kwa siku,kAma umeenda kwa nia ya kunyoa na scrub wala hutahisi kitu,ila kama una mengine hiyo juu yako,na demu kama huyo huna haja ya kushtuka siku hiyo unamtafutia siku unamuibukia si kwa ajili ya kunyoa au huduma yake.
 
Mzee, juzi nilienda kwenye barber shop moja ya maeneo ya sinza kwenye majira ya saa kumi za jioni hivi. Mzee nikapokelewa na kadada kamoja kamevaa tight mbaya, kakanitabasamia alafu kakanifumbia jicho moja"Kakanikonyeza'', baada ya kunyolewa kenyewe ndio kakanichangamkia kuwa ni mteja wake wa siku nyingi. Mzee, kabla sijaanza kupakwa zile chemical zao kakashika kichwa, shingo, kidevu kimapenzi hasa'romantic touches'. Baadae wakati wa kuscrub, kakawa kanachezea masikioni yangu kwa muda mrefu. Wakati wa kuoshwa ndo kabisa, kichwa hakikutolewa kwenye mtindi wake. Hii naona ni zaidi ya customer care

duuuh nimekuelewa mkuu halafu nahisi hawavai hata sidiria wale manake kichwa kinapolazwa kifuani unapata joto fulani hivi.. lolz
 
Mkuu kuna jamaa alienda na wife wake mbona palichimbika kuona husband wake anashikwashikwa

The finest, nakumbuka kuna dada mmoja aliweka mipaka ya mumewe kuhudumiwa na hasa wakati wa kuoshwa na kuscrubiwa
 
Barber shops za siku hizi ni madangulo pia. Wanaume muwe waangalifu. Kwani mkinunua hizo scrubs ukampelekea mkeo home akakusugua unashindwa nini?
Massage parlours nazo ni shughuli nyingine pevu. Nchi za watu massage parlours zinaajiri watu waliosomea fani tena wako makini sana.
 
inaelekea na ww uliipenda huduma yao, haiwezekana umebanwa kichwa na matiti umetulia tu, check kwenye blue!!!

sasa na mimi si milijua kuwa ni customer care, ila nikaona nazidishiwa ufundi.
 
Barber shops za siku hizi ni madangulo pia. Wanaume muwe waangalifu. Kwani mkinunua hizo scrubs ukampelekea mkeo home akakusugua unashindwa nini?
Massage parlours nazo ni shughuli nyingine pevu. Nchi za watu massage parlours zinaajiri watu waliosomea fani tena wako makini sana.

Sasa kama hajui unamsaidiaje na wewe si mwalimu?
 
hahahahahahahaha....mkuu mm mbn MZIGO ulisimama DEDE...saloon za sinza ni noma....mwisho wa siku nilichukua namba....
 
hii ni aina nyingine ya ukahaba tu

ukiwa na lengo la kupata kahaba saloon utampata tu. ukiwa na ganzi kwamba lengo ni kusafishwa nyele uso ukimaliza kazi yako unaondoka. Jua kuwa kuna wanaume wao wakiona kiumbe katipa amevaa baibui gubigubi wao wanachanganyikiwa, si lazima ashikwe au aone kimini.
 
Back
Top Bottom