Hivi dada zetu wa kwenye barber shop wapo kwa ajili ya nini hasa?

U get what u want!! Mi naenda kwenye hizo hizo Salon za masharobaro na hao madada wao wakiwepo atafanya huduma jinsi nitakavyo mimi hakuna kuchekeana wala kuleteana mambo ya mapenzi.Next time achana na mambo ya kukonyezana we Mwambie nahitaji scrub na baada ya hapo unadai sh ngapi siku ingine ukirudi hakuletei ishu za kidwanzi
 
Kwa kweli, it is very disguising! One day I went to a barber shop in Tanga, ghafla nikawa nashikwa shikwa mkono.... I did not like it. Sipendi mwanamke aingilie anga zangu bila kualikwa! wengi ni makahaba!
 
...am missing the point here!
Tunapozungumzia "mteja ni mfalme," si ni pamoja na kumfanya ajiskie comfortable?
Hawa kina dada wanatimiza wajibu wao tu,...will try their best to relax you.

Kumbuka, huduma wanayokupa ni pamoja na kukusugua na kukosha uso kwa kutumia mikono yao.
Kumbuka wateja ni wa aina mbali mbali, wengine huja na jasho, wengine chunusi, wengine majipu...
lakini aaah, kina dada wanajizuilia kinyaa chao kutimiza wajibu.
Kama huwezi himili midadi, nyoa kisha ukajioshe mwenyewe, ...hulazimishwi bana.

...au omba dume likuhudumie;

mg3.jpg


kwa hisani ya El Toro; https://www.jamiiforums.com/jamii-photos/61638-manicure-na-pedicure-kwa-wanaume.html
 
Huko ni ukahaba tu mi nadhani itafika wakati watatenga vyumba vya kumaliziana kabisa!!!
 
....ni kweli wamekaa kimtego sana! mbali ya kukuchokonoa masikioni na kukugusisha maziwa yao usoniau kichwani pia wanakutongoza kwa maneno!! Kuna barber shop fulani hapa TA karibu na Nyinda,,mmmhhhh!!!!
 
Wapo walio kikazi zaidi. Wana familia zao. We ukienda kunyoa, nyoa na utambae. Kuoshwa si lazima ila kuna visaluni fulani vinafosi kuoshwa kwa kutoza bei ya juu ili tu uoshwe. Hao wanaharibu.
 
Sasa basi ikiwa wewe ni mteja wa saluni fulani halafu unaweka uso wa mbuzi yaani huchekichecki nao wale wadada na pia mambo ya scrub huyaendekezi (yaani we ni kunyoa na kuosha tu) wanamaindi hao. wanakuona mshaaaaaamba kishenzi ....
 
Dou! kuanzia next week nanunua scrub na machine nzuri kioo kama cha salon na kiti kila kitu nafanya mwenyewe isiwe tabu

Naomba urafiki na wewe nimeshindwa nimejaribu sana si unajua ugeni tena dada. by the way nunua hvo vitu kama unaweza usiibiwe mumeo
 
nina uhakika kila mwanaume anayetumia huduma hii ya scrub kutoka kwa dada zetu atakubali yanayosemwa hapa. ila hawa dada wanaangalia na mtu wa kumfanyia haya mambo. kama ukiwa ni mtu wa kuchekacheka nao na wakiona haupo serious basi watatupa ndoano zao....kumbuka wapo pale kikazi zaidi na main aim yao ni kutengeneza 'mshiko'
 
Heri mimi niliamua kuhama Sinza toka 2000 baada ya kuishi pale kwa miaka 20,lakini naomba niwaulize tu waliopitia huduma hii,ina maana hakuna hata mmoja kati yenu aliyewahi kumuonja hata mmoja kati ya hao wadada mnaowasifia? Maana inanipa mashaka kuona wanaume kama 10 wote mnasema mlikasirika na kuondoka mh !!,naomba tuwe tu wakweli na kama yupo aliyewahi kuonja tamu yao atueleze basi, hiyo huduma huwa inaendelea mpaka chumbani au anakutamanisha tu kisha mkitoka hapo kazi yote anakuachia wewe?
 
Mzee, juzi nilienda kwenye barber shop moja ya maeneo ya sinza kwenye majira ya saa kumi za jioni hivi. Mzee nikapokelewa na kadada kamoja kamevaa tight mbaya, kakanitabasamia alafu kakanifumbia jicho moja"Kakanikonyeza'', baada ya kunyolewa kenyewe ndio kakanichangamkia kuwa ni mteja wake wa siku nyingi. Mzee, kabla sijaanza kupakwa zile chemical zao kakashika kichwa, shingo, kidevu kimapenzi hasa'romantic touches'. Baadae wakati wa kuscrub, kakawa kanachezea masikioni yangu kwa muda mrefu. Wakati wa kuoshwa ndo kabisa, kichwa hakikutolewa kwenye mtindi wake. Hii naona ni zaidi ya customer care
haaah haaah haaah dah hii mwana ni kawaida tu as u knw tena biashara matangazo!
 
Jambo hili mimekaa nalo moyoni kwa muda mrefu sana, naomba mnisaidie hivihawa dada zetu wa kwenye hizi barber shops wapo kwa ajili ya kuwasafisha wateja wao au kuwatega? Kwa maana mmmmhh, naona wamezidisha mbwembwe sasa.




Watanzania tunasema maisha magumu lakini hii ya kunyoa nywele .. .... .... hivi ni kweli lazima uende kwenye saloon? Kwa nini kama umeoa mkeo asifanye hiyo kazi? Nilifikiri tunajaribu kufanya ajira za JK na mabillioni yake. Au tunajaribu kueneza virusi.
 
Utaweza dada yangu? atakwambia unakosea tu ili aende kuwekewa maziwa usoni wakati ananawishwa, yaaani mie nilitaka kumla msichana vichwa pale sinza mori

Nawewe nawe loh! Ss ulifuata nn salon wakati aliyeenda kunyolewa ni mumeo? Nyie mnapo enda masalon kwenu hasa kwa wakongo na masai huwa tunawafuata?
 




Watanzania tunasema maisha magumu lakini hii ya kunyoa nywele .. .... .... hivi ni kweli lazima uende kwenye saloon? Kwa nini kama umeoa mkeo asifanye hiyo kazi? Nilifikiri tunajaribu kufanya ajira za JK na mabillioni yake. Au tunajaribu kueneza virusi.
Mkuu kwani umeambiwa kunyoa ni 20,000 au 30,000 ndio usiende saloon, kila mtu ana hulka yake kama umeenda kunyoa utanyoa na kuondoka kama umeedna kunyoa na mambo mengine utayapata vile vile huko huko ni wanawake wangapi wa kitanzania wanajua kushika mashine ya nywele na kuitumia let alone kumwambia jinsi gani unataka akunyoe.
 
U get what u want!! Mi naenda kwenye hizo hizo Salon za masharobaro na hao madada wao wakiwepo atafanya huduma jinsi nitakavyo mimi hakuna kuchekeana wala kuleteana mambo ya mapenzi.Next time achana na mambo ya kukonyezana we Mwambie nahitaji scrub na baada ya hapo unadai sh ngapi siku ingine ukirudi hakuletei ishu za kidwanzi

HILI NENO!
Kama mtu unaenda salon na macho mia mia utegemee nini?
Utapata utakacho.
 
huwa nawaambia,naenda kuoga so haina haja ya hayo mambo mengne,cpend na sitaki,na imani yangu ya kidini hairuhusu mwanamke kugusa mwili wangu,unlec dada,mama,wife,shangazi,
 
Back
Top Bottom