Kwa nini huhami tu hiyo saluni na kwenda nyingine??
Unajua mkuu, kila mtu (ukiwemo wewe) ana staili yake ya kunyoa. Sasa mimi pale ndio kuna vinyozi ambao nikifika sina haja kuelezea staili niitakayo kwani wanaijua. Naweka kichwa wao wananyoa vile nitakavyo. Sasa kuhama hama inabidi kila unapoenda saluni mpya uanze kutoa maelezo ya vile utakavyo kunyoa, na mara nyingine kuna uwezekano mkubwa wasikunyoe vile utakavyo. Hicho ndicho ninachoki-avoid.