Historia ya maisha yangu. sina raha.

Golden am real sorry bt also hata kama kaka yako angeishi milele bt msinge kuwa na future so muhimu shukuru Mungu amepunguza mlolongo wa matatizo katika maisha yako wewe na kaka yako pia familia yenu. So ni vema uendelee na maisha haya ambayo Mungu amekupa na si yale ya shetani

hujakosea.
 
Hapana kutokana na point yake, walipofika kule walienda nyumba walio kuwa wakipangisha wazungu afu hao wazungu walisha iacha kitambo....pale pia waliendela na music afu imagine ikiwa walitoka kule night club ina mana walisha ondoka saa za alfajiri mana wao kwa kupenda music ili bidi waendelee kule nyumba yao ya pili.


Point ingine pale mpaa mwanaume afikie kuanza kumpiga brush huyo mwanamke jua litakuwa limeisha panda yani saa mbili asubuhi...Haya bada ya hapo wakacheza mchezo nadhani mpaa wamemaliza ilichukua time mana aliona raha sana.....mara wakapitiwa na usingizi hao mpaa waje kuamka itakuwa saa saba au nane mchana...hivi wazee wao hawatakuwa hawana wasi wasi hao walikuwa wapi???


Hata kama wanaishi kizungu lazima wazee watashtuka pale hawa walisema wanaenda disco na vipi wasirejee mpaa mdaa huu.


Yani ukweli mimi naona kuna uwongo sana kwenye hii thread :biggrin:

Pigia msitari
 
mmmmmmmmmmmh kweli wazazi wengine bwana, unatoka unakwenda mziki anakubali, hurudi haulizi? Pole maana kwenye malezi piakuna tatizo. Japo huu siyo muda wa kulaumu malezi ila nashindwa hata nikushauri vipi naogopa ntakukwaza pole sana
 
Nikisoma vituko vya mpoleee najikuta nikimfananisha na marytina wa arusha, pole sana bi dada kwa kumpoteza kaka yako kipenzi
 
Mimi ninadhani inabidi umwone pscychological expert upatae ushauri wa kukutoa kwenye hy stress. Na pia wewe mwenyewe kukubali hy hali, mana kuna kupewa ushauri halafu finali ni wewe umepokea vp ushauri na kuufanyia kazi. nadhani inabidi ukubali kwamba hy mpenzi wako alishatangulia na hawezi kurudi na hutamwona, basi ujaribu kuanza upya, ninahisi pia kitu kinachokusumbua mpk umeshakuwa na 4 boyfriends, ni una compare care wanayokupa na aliyekuwa mpenzi wako, so kama ni hivyo watu hawafanani na ni ngumu/sio rahisi kupata atakayefanana naye. so kila kitu kinabaki upande wako kwamba inabidi ukubali hiyo hali ya kumtoa mawazoni mwako, ili umove forward na utakayempata. Hii lazima itakuwa ni process ngumu sana on ur part but ukidetermine kumaliza hilo tatizo utaweza kupita hy stage
 
Kisuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu Ukarudi tena kuchomwa na kisuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu ila kuna visu vitamuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Unaobekana wakishua sana
Daaah naitafutaga sana hyo chance ya kupata demu wa kishua
 
Back
Top Bottom