Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
ushabiki wa vyama utaendelea hata baada ya uchaguzi au?Linafaa kuwa vazi la makada na wapambe wa CCM.
Linafaa kuwa vazi la makada na wapambe wa CCM.
Taib..hili linafaa kuwa kivazi kwa ajili ya wake na vimada wa mafisadi.Linafaa kuwa vazi la makada na wapambe wa CCM.
Halifai kwa kuwa limechukua zaidi (zingine ni ndogo mno) rangi za Lumumba na Jangwani.
Are you really serious? Tanzania hakuna amani kama unavyoamini. Ni watu wangapi wanakufa kwa ajali, kukosa matibabu, ujambazi, n.k.? Kutokosa amani sio lazima iwe vita vya bunduki na mishale.Hapana tukutuku hilo lafaa kuwa vazi la Taifa kwasababu lina rangi za bendera ya Taifa, inaonyesha unachuki binafsi na chama chetu, kilicho fanikiwa kusimamia amani hii tunayojivunia, mambo ya ufisadi achana nayo ni vitu vidogo tuu, ufisadi kitu gani bana