Kibaraghashia kitambulike kama vazi rasmi Mashuleni

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,214
3,587
Kama hijabu ni vazi rasmi mashuleni (shule za umma na binafsi) basi kumbe pia kibaraghashia kitambulike kama vazi rasmi ili wavulana nao wavae.

Bungeni vibaraghashia na hijabu ni rasmi, serikalini pia ni rasmi, sasa iweje baadhi ya mashule wavulana wasivae vibaraghashia!?

Serikali mnatuchanganya.
 
Bila kusahau kanzu na suruali fupi.
Pia Wasichana wachore inna kwenye mikono
 
1706641158022.png
 
SHule hazina walimu wala madawati then anotokea mtanzania mmoja anaomba serikali iruhusu uvaaji wa vibaragashia shule, huyu ni mtanzania anayetarajiwa naye achangie kwenye dira ya taifa 2050, kama hii sio laana basa laana haina maana, tunawaza vitu virahisi rahisi sana, hii pia ndio aina ya fikira walizonazo viongozi wetu
 
Huyu jamaa tumpuuzeni tu anaanzisha mada nyingi mno ziso na kichwa wala miguu saivi ana thread ya uncle wake kule tusibirie kidogo sijui atashusha thread gani
 
Back
Top Bottom