Hili bango limenifanya niwaze sana, una maoni gani?

Hapa kuna tatizo: Kwanini ifikiriwe kwamba kwa vile bango limeshikwa na waandamanaji Waislamu basi kiingereza chao kinahusiana na Uislamu wao na siyo elimu wanayoipata kwenye shule za CCM? Mnafikiri yakifanyika maandamano ya watu wengine na wakaambiwa waandike kwa Kiingereza basi wataandika kiingereza kizuri? Ninachokiona mimi ni ushahidi tu wa tatizo letu sote tuliosomea shule zetu hizi za msingi na hata sekondari.

Kiingereza cha hilo bango hakihusiani hata chembe na Uislamu wa watu kama vile tukiona bango la kiingereza kiswahili kibaya tuanze kudai inahusiana na ukristu au kabila. Vinahusiana na elimu yetu inayotolewa katika shule zetu. Think about it. Ila kama mmoja alivyosema, mbona inaeleweka?
 
Na ujinga pamoja na umbumbumbu wao mnaousema na kuudharau. Hawa jamaa watapiga kura 2015 na pasipokuwaheshim na kuheshim maoni yao, ni vigumu kuwashawishi kwamba malengo yenu ya kuikomboa nchi hii yanawahusu wao pia. Vinginevyo, endelezeni matusi na hata wale waliomo ndani ya CDM uvumilivu utawashinda. Kwao imani yao inatangulia kabla ya siasa. Km walifanya makosa kuwaunga mkono kwenye majimbo hayo machache and this is the price they are paying, tusubiri tuone.
 
Tukiweka masuala ya udini pembeni, hata mimi napinga mashambulizi ya nchi za kigeni dhidi ya Libya kwa kuwa kwa maono yangu ni uendelezaji wa ukoloni tu dhidi ya afrika. Wale hawaipigi Libya kwa sababu ya kulinda maisha ya walibya, bali nia yao ni kumuangusha gadafi ili wampandikize kiongozi wanaompenda wao atakayewawezesha kunyonya mafuta ya libya kwa urahisi kwa kuwa chini ya gadafi kwa muda mrefu wameshindwa kunyonya mafuta ya libya.Hivi jamani libya ipo afrika au middle east? kwa nini hawakutaka kuiuliza au kupata baraka za umoja wa afrika kabla ya kuivamia libya badala yake wameenda kuwauliza waarabu, hivi hao waarabu wanauchungu na afrika kweli? hii ni dharau dhidi ya umoja wa afrika, na umoja wenyewe wa afrika umelala usingizi wa pono hauna maana yoyote, yaani wapo kimya kama hawapo.
 
waislam-tz.jpg

Duh, kwa mara ya kwanza ndio nimebahatika kuona lugha ya KIINGEREZA ikiandikwa kwa KIARABU...!!!
 

Madhara na matokeo ya Tanzania kuwa nchini maskini tunayaona katika hili bango.

1. Kwanza elimu ya hao ndugu na huyo mwandika bango, wote wameshaharibiwa na ccm na hawafahamu hili. Umaskini mmbaya
2. Sijui kama wamesoma hilo bango kabla hawajaliinua.
3. Kama wengi wao ni waislamu wasiosoma, tumlaumu nani? Ni nani anawasukuma kufanya haya maandamano? Tunaomba wana JF tufanye uchunguzi kuwajua washahuri wa Gadaffi au Mercenaries Tanzania ni Nani? Naona huruma kwani naona wapo tayari kwenda Libya kupigana upande wa Gadaffi.
 
kumbe kujua kingeleza kwa ufasaha ndio usomi..... Wabongo beana, kazi ya ukombozi bado kabisa haijaanza..... Tunataka mapinduzi wakati vichwa vyetu vimekariri mizoga ya imani za kikoloni.....
 
This is pathetic! Yaani siamini kwamba in a paragraph of almost 35 words, six of them are terribly broken.

however, sidhani kama tatizo ni uislam. I remember a few years back niliona bango la kualika waumini kwenda katika kongamano la Mama Lwakatare likisoma "we well come you to Mikocheni B Ass of God ...". I'm confidently sure the writer thought the best way to shorten the word 'Assemblies' is to write Ass in order to make words fit into the space provided. It was shamefully irritating!
 
Mods, ondoa hii kitu naona haina mantiki wala haijengi zaid ya kujenga uhasama jamvini
 
Kila kukicha humu Jf ni topic za kuponda Waislamu tu!
Tumechoka bana.

Ndiba kaka siwapondi ila wanajisema sana hawa jamaa zetu eti wana akili sana, kwa nini wasingeandika kiswahili tu?hapo kweli kama sio ILMU Madrasatul nini Mkuu wangu Ndibalema? Waende shule sio kutaka madaraka sawa hata hawana elimu,
 
yaani we acha tu, yaani hawa watu ni mzigo, afu siku hizi wale kile kiredio chao, huwa kinaongea upepo tu


Eti wana akili kibao angalia sasa....mmeona eeehhhh mie nilidhani macho yangu iko haioni fisuri
 
me i hate you with your low knowledge of understanding issues! This shows hw your thinking capacity is limited smwhere pliz try to open up urmind and see hw world is going on usiishie kukariri then ur concluding madrasa, me pia ni madrasa and am good enough compared with you! ZEZETA.


mkuu taratibu, kawasaidie kuandika bango ndugu zako......
 
Back
Top Bottom