Hili bango limenifanya niwaze sana, una maoni gani?

Hivi mods kwani mtu kula ban mpaka apost upupu mara ngapi??pls naomba uwape ban wale woote wanaoendekeza udini.
Jf si mahala pa kuongelea dini tu mchana kutwa usiku kuchwa.pls pls mod naomba wale ban bila kuchagua mkristo wala mwislam. Ban ban ban
 
Eti wana akili kibao angalia sasa....mmeona eeehhhh mie nilidhani macho yangu iko haioni fisuri

ningefurahi kuona mnasema watu hawa mzigo huku nyinyi pia mkionyesha profile zenu za elimu hapa juu hapo ningewaheshimu sana! Lakini hata ninyi michango yenu mnayotoa hapa jf inaonyesha ni jinsi gani mlivyo na elimu ndogo ambayo haina hata chembe wa ubora kufikia hatua ya kuwanyooshea vidole wenzenu wanapokosea. Yaani elimu sio kuwa na madigree elfu moja wakati hazijakusaidia kuchange attitude yako hiyo itakuwa ni upumbavu tu, nendeni mka-google the dark side of papacy muangalie yanayofanywa na hao mapapa wenu ya uchafu katika dunia hii af bado mnaweza mkawanyooshea vidole waislamu eti wajinga hawajasoma, mjinga ni wewe with your family. Mwanzo sikuwa nawachukia wakristo ila sasa nimegundua dhamira zao na tabia zao ni kutudharau waislamu tayari naanza namimi kujenga chuki na wao,wakimwaga mboga na sie tunamwaga ugali.
 
waislam-tz.jpg
Kazi nzuri ya Malaria Sugu na crew yake
 
Nilibahatika kumuona aliyekua amelibeba bango hilo akitokea ubungo kuelekeka city centre au biafra (if it ended there). Muonekano wake ni kwamba 'AMEDATA' hivyo kilichomo kweye bango hilo ni kielelezo cha muonekano huo na udataji wake...lets stay away from judging people collectively.
 
HIvi MODS KWANI MTU KULA BAN MPAKA APOST UPUPU MARA NGAPI??PLS NAOMBA UWAPE BAN WALE WOOTE WANAOENDEKEZA UDINI.
JF SI MAHALA PA KUONGELEA DINI TU MCHANA KUTWA USIKU KUCHWA.PLS PLS MOD NAOMBA WALE BAN BILA KUCHAGUA MKRISTO WALA MWISLAM. BAN BAN BAN



Soma banko vizuri wewe, limeandika WAISLAM wa Libya hapo sio UDINI? au ni waislam tuu wanaoishi LIBYA?
 
Hapa kuna tatizo: Kwanini ifikiriwe kwamba kwa vile bango limeshikwa na waandamanaji Waislamu basi kiingereza chao kinahusiana na Uislamu wao na siyo elimu wanayoipata kwenye shule za CCM? Mnafikiri yakifanyika maandamano ya watu wengine na wakaambiwa waandike kwa Kiingereza basi wataandika kiingereza kizuri? Ninachokiona mimi ni ushahidi tu wa tatizo letu sote tuliosomea shule zetu hizi za msingi na hata sekondari.

Kiingereza cha hilo bango hakihusiani hata chembe na Uislamu wa watu kama vile tukiona bango la kiingereza kiswahili kibaya tuanze kudai inahusiana na ukristu au kabila. Vinahusiana na elimu yetu inayotolewa katika shule zetu. Think about it. Ila kama mmoja alivyosema, mbona inaeleweka?


Mkuu Soma vizuri bango linasema against MUSLIMS in Libya na sio WALIBYA, hapo straight to the point linaonyesha ni UDINI mtupu, hivi Libya si kuna wakristu lakini?
 
Na ujinga pamoja na umbumbumbu wao mnaousema na kuudharau. Hawa jamaa watapiga kura 2015 na pasipokuwaheshim na kuheshim maoni yao, ni vigumu kuwashawishi kwamba malengo yenu ya kuikomboa nchi hii yanawahusu wao pia. Vinginevyo, endelezeni matusi na hata wale waliomo ndani ya CDM uvumilivu utawashinda. Kwao imani yao inatangulia kabla ya siasa. Km walifanya makosa kuwaunga mkono kwenye majimbo hayo machache and this is the price they are paying, tusubiri tuone.
Wasitutishe na kura zao kwani maisha yao ni mazuri kupita ya wengine agrrrrrrrrrrrr tumechoka kutishiwa nyau kama vipi wakae nazo tuone kama watafaidi.
 
LICHA YA DINI KUWA BHANGI ZAIDI KWA AKILI ZENYE MAPENGO MENGI KICHWANI, UHALISIA WA MADHARA YAKE NCHINI YAKO JIRANI NCHINI HIVI LEO KULIKO HAPO JANA!!!

... dini ni dhana zuri sana kusaidia kumunganisha binadamu na Muumba wake pamoja na uhusiano mzuri na binadamu wenzake hapa duniani na kwa maisha baada ya uhai katika mwili.

Lakini, kwa maoni yangu, nakubaliana kabisa na mawazo ya Prof Wole Soyinka wa Nigeria kwenye 'The Trials of Brother Jero' kwamba dini kwa watu wasiokua na shule kwanza ni zaidi ya bhangi kichwani.

Nadhali hili linatokana na ukweli kwamba ndani ya fikra zao kumebakia na mapengo ya mambo mengi sana ambayo kimsingi hawakubahatika kufafanuliwa katika maisha yao.

Lakini baya zaidi ni pale baadhi ya vikundi vikiwemo vile vya kisiasa vinapoanza kuona mapengo yale ya ufahamu pungufu juu ya dini husika kama vile ni fursa ya kujipatia mafanikio, na hata wao kwenda mbele zaidi kudiriki kuwekeza majungu na fitina kwenye mapengo yale, hapo Wa-Tanzania ndipo tunapoanza kuwakosa jumla wenzetu kwa kuchanganyikiwa kwao zaidi.

Na mbaka hapo mtu kama huyu huhama kutoka katika ulimwengu wa kawaida na kuishi ulimwengu wa kufikirika tu huku matendo yao yanapogeuka kuwa mmbwa aliyewehuka ambaye anaweza sana tu hata akamdhuru kabisa mfugaji wake mwenye. Hatari ya aina hii haipo tu kwa ndugu zetu Wakristo bali hat kwa Wislamu pia.

... mwisho, nasema ninavyounganisha vijidoti fulni fulani juu ya udini nchini na kwamba baali ya wanasiasa waliofilisika kichwani na wenye kuhisi kujeruhiwa na hivi sasa kuamua kukodisha rasmi 'jeshi la kidini' (wenye mapengo kchwani kama nilivyoelezea hapo juu) Wa-Tanzania niseme minara yangu yote sasa yapenyeshwa harufu nzito ya vita kama ambvyo Bwana Mufti Simba alivyotutangazia pale Biafra Kinondoni na nisisikie kata tayari yuko lock-up Keko.

Watch this space kwa hatua hizo z mwisho mwisho za wale wanaohisi kuzidiw kete katika saisa za kutetea maslahi ya umma...!!!!
 
Mkuu Soma vizuri bango linasema against MUSLIMS in Libya na sio WALIBYA, hapo straight to the point linaonyesha ni UDINI mtupu, hivi Libya si kuna wakristu lakini?
Mimi niliposoma 'MOVEMENT AGAINST ATTACK OF UNITED STATE' nikadhani Marekani wameshambuliwa.
 
kuna baadhi ya viongozi wakishindwa hoja hukimbilia suala la "udini!" Refer JK and his co. United Arab Emirates wamepeleka ndege kadhaa Libya, lakini Gadaffi & co. hasemi chochote dhidi yao!

Arab League wametoa go ahead kuhusu "No Fly Zone" lakini Gadaffi & Co hawawalalamikii! I hate madrassa!

Kunya anye kuku....
 
Ama kweli waislam wa tanzania ni jamii iliyonyuma sana ktk elimu!jitihada za makusudi zahitajika kuinusuru jamii hii!misamaha ya kodi kwa madhehebu ya dini haiwanufaishi chochote kwani huenda hakuna taasisi ya kiislam iliyojenga shule wala hospitali kwa msamaha wa kodi!TAFAKARI

Pengine hiyo misaada hawaipati na ndio maana mwaka jana ilipoamuliwa kuondoshwa misamaha wao hawakushituka bali watu wenye kutegemea misamaha hiyo walikuja juu.
Ama hili la kukosa elimu hivyo unajuwa leo ? Si si hali inayoelezwa siku zote na mnasema kuwa si kweli? Pengine hilo tangazo lilifanywa makusudi kuonyesha hali ilivyo.
 
punguza post za udini, kuna mambo mengi ya msingi ya kuongelea kwa maendeleo ya taifa letu zaidi ya kukalia udini udini udini! aghhhhrrrrrr

Bango linasema Waislamu wa Libya na sio walibya hivyo moja kwa moja lina udini ndani yake........wewe ndo mdini na hao wanaoandamana si wengi wabongo lkn?na wanaandamana kwa vile ni waislamu na walibya ni waislamu wengine si makafir mnasemaga?
 
Haa haa haa, waisilamu bwana! Kwa nini wasingeandika kiswahili tu?
Waislamu au hao walioandika hilo Bango? Unaposema Waislamu na ukageneralize unakusudia na hata walimu wako waliokusomesha (Iwapo uliwahi kusoma shule nyengine zaidi ya seminari) au hujapata bahati ya kufika vyuo vya Watanzania zaidi ya vya Wakristo?
 
Ninyi ndio mnaotaka kututoa kwenye mada za msingi za Taifa hili...............Udini,Gaddafi,Mufti agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr..................

Kama huoni maana ya hili tangazo usichangie mtu wangu, tunaitwa makafir, halafu wamesema kwenye tangazo soma vizuri ni waislamu wa libya na sio walibya, UDINI tayari
 
alianza JK (chaguo la Mungu?) kudai kuwa eti kuna udini Tanzania baada ya kuporomoka kwa nguvu zaidi, ari zaidi na kasi zaidi wakati wa uchaguzi mkuu 2010, sisi wengine tunajibu tu hoja, right?
Mbona sikuelewi? Kwani chaguo hilo la Mungu lilikuwa la Mungu wa Waislamu? Si Mapadre waliosema hilo?
 
Back
Top Bottom