mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 39,526
- 45,278
na bado waume zao wameshaiba sana.wana migodi,wana majumba.wana mashamba,mabiashara makubwa,benk kuna hela za kutosha,haya sio matusi kweli?
Mkuu sio huyu maza tuu, tatizo ni mfumo wa utawala wa CCM!!Huyu ni very selfish mom
Yaani Nchi iingie kwny zilzala ya vurugu, machafuko na ghasia kwa kuwa tu wake wa Viongozi wanalipwa pensheni ? yaani tuharibu mifumo ya kiuchumi, kijamii, kisiasa na kimahusiano kiwepesi wepesi tu?Nikisema bila machafuko au mapinduzi ya kijeshi huu ujinga hauwezi kuisha huwa sieleweki, lakini bila hayo kutokea utasikia hadi wapenzi wa waliokuwa mawaziri wanalipwa pensheni, na wote wanawekewa kinga ya kutoshtakiwa maisha yao yote.
SemanticsWaume wa Viongozi wastaafu mbona tunabaguliwa?
Mbona kama vile nchi hii ina Ufa mkubwa sana wa kujali raia wake?
Yaani mwanajeshi mstaafu kapigana vita Uganda na kaponea chupuchupu mara kadhaa vitani, daktari aliyestaafu miaka ya 1990 na Mungu amempa maisha mpaka leo au Mwalimu aliyekuwa anatumika kwa moyo wote miaka hiyo bahati mbaya kwa serikali HAJAFA hadi leo anapokea kutoka HAZINA shs laki moja kama pension kila mwezi lakini eti wake wa viongozi nao wawe wanalipwa mamilioni 25% ya mishahara waliyokuwa wanalipwa waume zao?
Basi nchi hii ni tajiri sana! Lakini kwa nini haiwakumbuki basi hata hawa wazee waliolitumikia taifa kwa moyo mmoja enzi hizo.
Kumbukeni nazungumzia wastaafu walio staafu zamani 1998 kwenda nyuma kabla ya mifuko ya jamii haijaanza na wanalipwa na Hazina.
Kwanza sidhani kama wastaafu hawa wanazidi 5000 nchi nzima maana wengi wametangulia mbele ya haki waliobaki ni mateso tuu.
Mara ya mwisho kiwango hiki kupanda na kuwa laki moja ni miaka 10 iliyopita wakati wa JK. Waoneeni huruma acheni uchoyo.
Ccm wabinafsi sana yaan kodi zetu zipo kwa ajili ya kuwalipa watoto wa vigogo waliojazana serikalini na wazazi wao tunahitaji katiba mpya haraka sana tuwez kuleta usawaMbona kama vile nchi hii ina Ufa mkubwa sana wa kujali raia wake?
Yaani mwanajeshi mstaafu kapigana vita Uganda na kaponea chupuchupu mara kadhaa vitani, daktari aliyestaafu miaka ya 1990 na Mungu amempa maisha mpaka leo au Mwalimu aliyekuwa anatumika kwa moyo wote miaka hiyo bahati mbaya kwa serikali HAJAFA hadi leo anapokea kutoka HAZINA shs laki moja kama pension kila mwezi lakini eti wake wa viongozi nao wawe wanalipwa mamilioni 25% ya mishahara waliyokuwa wanalipwa waume zao?
Basi nchi hii ni tajiri sana! Lakini kwa nini haiwakumbuki basi hata hawa wazee waliolitumikia taifa kwa moyo mmoja enzi hizo.
Kumbukeni nazungumzia wastaafu walio staafu zamani 1998 kwenda nyuma kabla ya mifuko ya jamii haijaanza na wanalipwa na Hazina.
Kwanza sidhani kama wastaafu hawa wanazidi 5000 nchi nzima maana wengi wametangulia mbele ya haki waliobaki ni mateso tuu.
Mara ya mwisho kiwango hiki kupanda na kuwa laki moja ni miaka 10 iliyopita wakati wa JK. Waoneeni huruma acheni uchoyo.
View attachment 2744590View attachment 2744592
Kwanini tunawaza suluhisho la kutatua matatizo na serikali ni uchaguzi tu? Hii inafanya ccm nao kujiimarisha zaidi huko na hatuna la kufanya, sio kila tatizo tufikiri kuitoa ccm madarakani ndio suluhu. Ccm washajua hawa wajamaa hakuna wanachoweza kufanya zaidi ya kuwaza uchaguzi tu na huko kwenye uchaguzi wamejipanga vizuri kivyovyote kuhakikisha wanaendelea kubaki madarakani.Mkitaka haya yasitokee ipigeni chini ccm.
Wa tz tuna tatizo moja maovu tunayaona ila zile 10k kipindi cha uchaguzi zinachanganya watu wanasahau hata upewe millioni uchaguzi ukiisha nanhela imeiaha unateeka tena miaka mitano
Huku kujisifia amani na utulivu utafikiri Africa nzima ni sisi tu pekee ndio tuna amani na utulivu kwengine kote kuna vita na machafuko. Maana hiyo amani utafikiri kama mlima wa kilimanjaro kwamba tunao pekee yetu.CCM inatumia utulivu na amani iliyopo nchini KUJIKWAPULIA mali na ukwasi isivyo haki.
Amani na Utulivu ni nyenzo ya maendeleo kwa Umma na siyo kuwasadiia watawala kuwanyonya Watanzania.
Wamelileta hili jambo ili kutututoa kwenye ishu ya bandari
Hii fhambi itawatafuna.
Nyie si mnasubiri hadi muwatoe madarakani na wao wanakula kwa urefu wa kamba zao hadi muda wao ukiisha wasibaki kizembe.na bado waume zao wameshaiba sana.wana migodi,wana majumba.wana mashamba,mabiashara makubwa,benk kuna hela za kutosha,haya sio matusi kweli?
Upo sahihi sana mkuu ila hebu tuambie wanabadilishikaje hawa viongozi wetu maana nia ni kuwa na nchi yenye wananchi wenye ustawiKwanini tunawaza suluhisho la kutatua matatizo na serikali ni uchaguzi tu? Hii inafanya ccm nao kujiimarisha zaidi huko na hatuna la kufanya, sio kila tatizo tufikiri kuitoa ccm madarakani ndio suluhu. Ccm washajua hawa wajamaa hakuna wanachoweza kufanya zaidi ya kuwaza uchaguzi tu na huko kwenye uchaguzi wamejipanga vizuri kivyovyote kuhakikisha wanaendelea kubaki madarakani.
Yaani ukiandika huo ugoko basi ndio unajiona baab kubwa mpaka unadiriki kunitag sio?🤣🤣The only solution is all of us to collectively commit suicide and leave them to continue ruling by themselves.
Magonjwa Mtambuka
Ccm huwa wanajiona kuwa ndiyo wenye nchi hiiKuna wajinga wachache huwa wanajiona wao ndiyo wana haki kuliko wengine