Wajinga haoWachana na wazaramo wa mbwinde
Jamani yupo sawa maana nchi ilikuwa imefungwa sasa imefungukaMbona kama vile nchi hii ina Ufa mkubwa sana wa kujali raia wake?
Yaani mwanajeshi mstaafu kapigana vita Uganda na kaponea chupuchupu mara kadhaa vitani, daktari aliyestaafu miaka ya 1990 na Mungu amempa maisha mpaka leo au Mwalimu aliyekuwa anatumika kwa moyo wote miaka hiyo bahati mbaya kwa serikali HAJAFA hadi leo anapokea kutoka HAZINA shs laki moja kama pension kila mwezi lakini eti wake wa viongozi nao wawe wanalipwa mamilioni 25% ya mishahara waliyokuwa wanalipwa waume zao?
Basi nchi hii ni tajiri sana! Lakini kwa nini haiwakumbuki basi hata hawa wazee waliolitumikia taifa kwa moyo mmoja enzi hizo.
Kumbukeni nazungumzia wastaafu walio staafu zamani 1998 kwenda nyuma kabla ya mifuko ya jamii haijaanza na wanalipwa na Hazina.
Kwanza sidhani kama wastaafu hawa wanazidi 5000 nchi nzima maana wengi wametangulia mbele ya haki waliobaki ni mateso tuu.
Mara ya mwisho kiwango hiki kupanda na kuwa laki moja ni miaka 10 iliyopita wakati wa JK. Waoneeni huruma acheni uchoyo.
View attachment 2744590View attachment 2744592
Waislamu wa pwani wengi akili mdogo sanaAsee inasikitisha sana sasa wanapewa mapesa yote hayo ili iweje na wakati mabwana zao walikuwa maraisi ...mfano Salma Kikwete sahizi mbunge baada ya 5 years anakula over 200m ya pension ya ubunge,Mmewe kikwete ana mihela ya kutosha tu bado ana pension ya kustaafu which means their future is guaranteed with luxuries bado na hiyo 25% duh ya nini haswa....hawa watu ni heartless kabisa....watakuja kutuletea na pension ya mtoto wa raisi mwishowe
Nitajie sheria bora tano zilizotungwa enzi wapinzani wakiwa ndani ya bunge,twende sawaTangu lini bunge hili la chama kimoja liliwahi kutunga au kupitisha sheria zenye manufaa kwa watanzania wote?
Ule mmea wa jamaica una nguvu ya ajabu sana 😂The only solution is all of us to collectively commit suicide and leave them to continue ruling by themselves.
Magonjwa Mtambuka
Ushasema lililokuwa na wapinzani..hili siyo jukwaa la historia nduguNitajie sheria bora tano zilizotungwa enzi wapinzani wakiwa ndani ya bunge,twende sawa
1,........
2,........
3,.......
4,........
5,.........
Sio kuipigia kura tu bali wana mapenzi na ccm pamoja na yote yanayoendelea, leo hii tunasema ccm inatumia vyombo vya dola kuendelea kuwa madarakani kwa maana haikubaliki na wananchi ila ajabu bado hiyo ccm ina wana chama wengi tu na hujaa kwenye mikutano yao.Hakuna ukweli kuwa watu wanao ipigia kura ccm wana nguvu kuliko vyombo vya dola na tume.
Hapo hakuna ukweli mjomba.
Huko kuiba kura hakuna maana ya kwamba ccm haina watu wengi wa kuwapigia kura, lazima tukubali ukweli kwamba pamoja na huko kuiba kura ila bado pia ccm ina watu wengi wenye kuipenda na huipigia kura hadi leo. Sasa tusibaki kuimba tu wimbo wa ccm anaiba kura na kujisahaulisha kuwa na watu pia anao maana tunavyokuwa tunaimba wimbo wa kuiba kura tunaifanya hiyo ccm kuwa kama Chauma vile au TLP.Wangekuwa na wananchi wengi wanaowapenda wasingekuwa wananunua na kuiba kura wakati wa uchaguzi!
Atalipwa hayo mamilioni kama mke wa Rais mstaafu. Keshalipwa mipesa mingi tu kama mbunge kwa vipindi alivyokwisha tumikia Bungeni na bado atalipwa tena akimaliza kipindi hiki. Oneni huruma kwa wale ambao hawana nafasi kama zenu. Mpo huko kutetea maslahi yenu tu. Ama kweli aliyenacho huongezwa na yule asiyenacho atanyang'anywa hata kile kidogo alichonacho.Ifike mahali hawa akina kikwete and the like watosheke, huyu mama hana mshipa wa aibu
Especially on this day, 9/11, so as to commemorate the suicide day or whatever they call it.The only solution is all of us to collectively commit suicide and leave them to continue ruling by themselves.
Magonjwa Mtambuka
... na hako kanchi kadogo ni PARADISO KAMILI!Nilishaandika hii nchi inakanchi kadogo ndani yake
Yule siyo Kikwete tena ni mama kudai daiAtalipwa hayo mamilioni kama mke wa Rais mstaafu. Keshalipwa mipesa mingi tu kama mbunge kwa vipindi alivyokwisha tumikia Bungeni na bado atalipwa tena akimaliza kipindi hiki. Oneni huruma kwa wale ambao hawana nafasi kama zenu. Mpo huko kutetea maslahi yenu tu. Ama kweli aliyenacho huongezwa na yule asiyenacho atanyang'anywa hata kile kidogo alichonacho.
Mbona kama vile nchi hii ina Ufa mkubwa sana wa kujali raia wake?