Hii nyumba ndogo inanitesa

Heeee! Nilidhani unamsahuri aache huo mchezo kumbe unamwambia atafute nyumba ndogo iliyozeeka. Lol.

Badilika kaka umri umeenda achana na hivyo vinuka mkojo tafuta watu wazima wenzio tena mshukuru huyo kakwambia ukweli ungekutana na kicheche kingekukamua kimya kimya
 
Mimi ni mwanamme mwenye miaka takriban 40 pia nina mke na watoto. Kweli nimepata ka sub house ni kazuri sana na kananipenda pia. Shida yake ni kwenye kutiana yani kanataka bao 3 na kuendelea. Ukipiga hapo bao mbili kananiambia nimekachafua bure kwani hakajarizika. Hpa jumapili kamesha book game na mimi hivyo inabidi hata home nisitoe heshima sababu ya maendeleo.

Kama kuna mwenye ushauri anipatie jamani.
1. Usimvamie tu inaonekana anakujua vizuri na anajua weekpoints zako vema ndio maana kwenye mechi unatoka umefungwa mabao 3-1, 3-2....na kuendelea,AU UNATOKA UMECHOOOOOKA? uko hoi. Sasa mkuu,hapo umeenda kustarehe au kuumizwa???

2. Elewa/zijue weekpoints zake zote, ukizijua utamfunga mabao(tusiulizane unazielewaje,saa hizi watoto bado wako macho hawajalala) hadi mwenyewe asalimu amri. Vinginevyo nasikitika kukueleza kuwa bado kidogo jamaa WATAKUSAIDIA.

3.Inatakiwa kila mtu baada ya mechi atoke ameridhika na anafuraha kinyume cha hapo kuna mchezaji mmoja anacheza FAULO...
Na usisahau....kwenye mechi hizi mara nyingi sisi wanaume ndio manahodha. Hivyo mchezo wowote usioridhisha ni makosa yetu.
 
Kinachonikera na kunisikitisha ni UZINZI wa usaliti wa ndoa ulivyoshamiri mpaka kinyaa alafu unaomba ushauri? UKIMWI utakuua nakwambia na imani hata kondomu huvai kwani si unataka kitu moto? Ngoja utajutia
 
Mimi ni mwanamme mwenye miaka takriban 40 pia nina mke na watoto. Kweli nimepata ka sub house ni kazuri sana na kananipenda pia. Shida yake ni kwenye kutiana yani kanataka bao 3 na kuendelea. Ukipiga hapo bao mbili kananiambia nimekachafua bure kwani hakajarizika. Hpa jumapili kamesha book game na mimi hivyo inabidi hata home nisitoe heshima sababu ya maendeleo.

Kama kuna mwenye ushauri anipatie jamani.

Kwa uchafu kama huu ndoa yako haitadumu kamwe! Kama mkeo naye atakuwa na tabia chafu kama zako basi jiandae kupata mme mwenzio kwa mkeo kwani kwa 100% hutamtimizia mkeo kimapenzi, halafu tegemea kupata watoto wa kubambikwa na mkeo hapo ndio utajua uzuri wa unayoyafanya.
 
Does it really worth it? Ikitoea mkeo na yeye akawa anafanya haya unayofanya huko nje na marafiki zako utajisiake? Put yourself in her position kwanza. Kama hupati mahitaji yako ongea na mkeo, hiyo ndio njia pekee ya kusahihisha mambo na siyo kutoka nje.
we muache, muosha huoshwa
 
Mimi ni mwanamme mwenye miaka takriban 40 pia nina mke na watoto. Kweli nimepata ka sub house ni kazuri sana na kananipenda pia. Shida yake ni kwenye kutiana yani kanataka bao 3 na kuendelea. Ukipiga hapo bao mbili kananiambia nimekachafua bure kwani hakajarizika. Hpa jumapili kamesha book game na mimi hivyo inabidi hata home nisitoe heshima sababu ya maendeleo.

Kama kuna mwenye ushauri anipatie jamani.
Hiyo ni nyumba ndogo ndio umeshindwa kuitimizia halafu unaomba ushauri, vipi mkeo unamtimizia? je mkeo akifanya kama wewe unavyofanya, will u feel better?
 
king'asti pliz yaani unataka baba wa watu azidi kuharibikiwa? Mpeni mbinu za ku last longer bana ili bibie aridhike maana katika ngono ninachofahamu mimi issue sio wingi wa vingapi issue ni quality hata kama ni kimoja,au nakosea bibie?

nakubaliana na wewe kwa 97% unaweza pewa moja lakini maandalizi yake mpaka mchezo ukifika hutaki kuongeza la pili...jamani mpeni anko matayarisho wanaume mko wapi.
 
hahah!!mkuu nguvu hunaa unataka nyumba ndogo,yawezekana hata kubwaa huiwezii bado umeongezaa mzigo wa kujitakiaa,kilaa mla cha mwezie na chake huliwaaa...juaaa serengeti wanakusaidia nyumba kubwaa na ndogo piaa,wee utabaki ATM
tehteh teh teh muambie huyo!
 
Usiingize mashine yako mapema, chezea kwanza hiyo dogo dogo mpaka itaharuki ikianza kulalama basi hapo weka mashine ndani fanya unavyotaka. Nyumba dogo zina raha zake bwana. Ila cha msingi usisahau watoto na mama yao.
 
Hapa ndipo ninaposhangaa wanaume! Si ajabu mke halali naye anapunjika na akilalamika kuwa hatosheki wala hasikilizwi lakini nyumba ndogo anaundiwa kabisa jopo la washauri!
 
Usiingize mashine yako mapema, chezea kwanza hiyo dogo dogo mpaka itaharuki ikianza kulalama basi hapo weka mashine ndani fanya unavyotaka. Nyumba dogo zina raha zake bwana. Ila cha msingi usisahau watoto na mama yao.
Aisee,kazi ipo,eti zina raha zake,ipo siku utajuuuta
 
Back
Top Bottom