Hii nyumba ndogo inanitesa

Acha kutoa lana basi!! We badala ya kutoa ushauri unatoa lana. KOMA

ukome wewe mwanaume ki-bao kimoja tena unakitafta wiki nzima unabaki hoi! Kutafta vibinti kazi huiwezi unaishia kumdhalilisha mkeo, eti 'bao moja tu anaridhika'

achana na vibinti, tulia na mkeo, uwezo wako ushashuka wewe!
 
Mwanaume wa miaka 40 unaona sifa kusema binti wa miaka 20 anakwambia unamchafua. . . . where the hell is your self-respect?
 
Komenti yako imeendana kabisa na avatar yako

hahah!!mkuu nguvu hunaa unataka nyumba ndogo,yawezekana hata kubwaa huiwezii bado umeongezaa mzigo wa kujitakiaa,kilaa mla cha mwezie na chake huliwaaa...juaaa serengeti wanakusaidia nyumba kubwaa na ndogo piaa,wee utabaki ATM
 
Kwa nini usijiunge na kina Dina Mrios na Gea Habibu?
Utashaini sana, unapoteza kipaji bure

Thats why i love you!Naamini hili rungu limemfikia,anataka kupanda mlima Kilimanjaro wakati yeye saizi yake ni Udzungwa,WANAUME wa shoka tupo,akitaka hata bao tano daily!
 
Nani kakuambia mjini watu wanakufa na kamba shingoni? Weeh! Breakdown ndo zinamsaidia kumaintain mjini afu analeta kujua! Wanamsaidia huyu!
si herinyumba ndogo imetoa dukuduku je hiyo kubwa si imeamua kufa na kamba shingoni
 
mmmmmm!!!!!mimi nipite tu umeniudhi sana hii thread yako umefikiri vizuri ni nini unachotaka tukusaidie unatia aibu sana umeacha mkeo ukatafuta nyumba ndogo halafu huyo nyumba ndogo humridhishi na nyumba kubwa inakusubiri sema mwenyewe tukusaidie kivipi????kwani umelazimishwa kuwa na huyo nyumba ndogo.?????
 
wote waliotoa ushauri wako sahihi................... Naamini hata wakati unaweka huu uzi, ulijua majibu yatakuwa ya aina gani.......... Hiyo kule kwetu tunaita, mwana ukome!
 
Nduka Original,
Uzi wako naufuatilia tangu asubuhi. Kwanza nakupongeza kwa kuwa muwazi sana. Hauko peke yako kwani kuna wenzio humu wengi tu kazi hizi zimewashinda lakini wanabadili kila siku. Pongezi kwa kueleza ukweli wako.

Watu wana hasira na wewe kwa sababu unajipa mateso yasiyo na sababu. Acha kwamba si jambo zuri kidini lakini pia kijamii. Hayo nakuachia mwenyewe. Ila wajua wanakasirika nini? Kama Mkuu Mbu na wengine walivyosema hapo juu,uwezo wako haukuruhusu kufanya ufanyayo. Sitaki kurudia kuwa aidha umeshapata usaidizi nyumba kubwa (na anakudanganya anaridhika) na nyumba ndogo utapata karibuni. Usipoangalia, wanao ni yatima watarajiwa!

Siku moja nimeongea na jamaa yangu ana duka la dawa. Alinielezea jinsi amabavyo wanaume wa kuanzia km 40 and above wanavyokuja kununua dawa zinazoweza kuwasaidia "kuwawezesha". Anagalia matangazo magazetini na barabarani yahusuyo nguvu za kiume. Wamasai wanauza dawa,haiyumkini ni unga tu au randa za mbao lakini hewala watu wanajitosa walau ziwasaidie.

Tatizo ni kubwa na ilishasemwa hapa ktk uzi fulani. Tupunguze kula vibaya,mavitambi na mazoezi ni lazima. Si lazima gym hata ruka kamba basi. Mtu biaaa na chips mayai mwanzo mwisho halafu unategemea nini?

Sikupi pole, sikuhurumii. Shauri yako. Umejitega na unaweza kujinasua. Umejitia aibu na trust me,keshawaambia rafiki zake na serengeti boyz hauwezi kitu. Hata mkeo unayemmegea anakusema. Hapa unajificha ila mtaa mzima wanajua hauwezi kitu.
 
Wanasemaga, ukiona mwanaume anajifaragua na nyumba ndogo ujue hata hiyo kubwa haiwezi.Poor performers full stop!
Anajipa moyo kuwa na nyumba ndogo ili kuboost ego na hiyo nyumba ndogo inamtumia tu.Ingekuwa inampenda kweli, isingemtia presha, wala isingempeleka arijojo kisa GAME!

Bwanakaka amka! Waachie wenyewe wanaomudu sub-house kama ulivyoiita mwenyewe.
 
Badilika kaka umri umeenda achana na hivyo vinuka mkojo tafuta watu wazima wenzio tena mshukuru huyo kakwambia ukweli ungekutana na kicheche kingekukamua kimya kimya
 
Back
Top Bottom