Acha kutoa lana basi!! We badala ya kutoa ushauri unatoa lana. KOMA
nyumba ndogo anataka vitatu unalalamika haya nyumbakubwa anataka ngapi?
mijanaume mingine kama wewe inashangaza sana,siku yako inakuja utalia na kusaga menoMama hata kabao kamoja tu anarizika.
Unajifanya hutaki laana unayofanya wewe ni sawa?????
Kwanini usiridhike na mkeo tu????
Mpe hizo bao mbili (ambao ni uwezo wako) mkeo, achana na nyumba ndogo kwani kazi huwezi kabisa!!!!
Chezea nyumba ndogo weye!!!! :A S-coffee:
Acha kumchafua tu mwenzio, kazi huiwezi wewe:eyebrows::eyebrows:,
Unajiona kidume kuwa na nyumba ndogo kumhudumia kunako 6x6 huwezi!!! Ovyoooo, hebu tulia na mkeo na watoto.
Ipo siku nyumba ndogo atataka zaidi ya tatu na utajifia huko huko, teh teh teh.
Mama hata kabao kamoja tu anarizika.
Ndo ukome kufata fata usivyoweza
Acha kumchafua tu mwenzio, kazi huiwezi wewe:eyebrows::eyebrows:,
Unajiona kidume kuwa na nyumba ndogo kumhudumia kunako 6x6 huwezi!!! Ovyoooo, hebu tulia na mkeo na watoto.
Ipo siku nyumba ndogo atataka zaidi ya tatu na utajifia huko huko, teh teh teh.
DA u mzima . umeona jamaa ana egine ya V4 ana lazimisha kukimbia kama V8 hahaha atapasua kifua
Ha ha yamemfika ndo akome
maana sijui kwa nini watu hawajijui uwezo wao binafsi hadi ajidhalilishe ndo aanze kuhangaika kutafuta msaada ...
Dunia imekwisha jamani! Leo watu wanathubutu kujisifia madhambi yao hadharani badala ya kwenda kutubu kanisani. Wanathubutu kutaja aibu zao hadharani. Hawa ni wale waliotafunwa na mbwa wakatangaza kidonda.Mimi ni mwanamme mwenye miaka takriban 40 pia nina mke na watoto. Kweli nimepata ka sub house ni kazuri sana na kananipenda pia. Shida yake ni kwenye kutiana yani kanataka bao 3 na kuendelea. Ukipiga hapo bao mbili kananiambia nimekachafua bure kwani hakajarizika. Hpa jumapili kamesha book game na mimi hivyo inabidi hata home nisitoe heshima sababu ya maendeleo.
Kama kuna mwenye ushauri anipatie jamani.