utantambua
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,367
- 321
Ha! Ha! Ha! Shule za kata at work!
Badungu msaada nimejaribu kutafuta neno" Bule" mpaka kwenye kamusi mwenye kujua maana yake anisaidie
Muulize marine
Ha! Ha! Ha! Shule za kata at work!
Badungu msaada nimejaribu kutafuta neno" Bule" mpaka kwenye kamusi mwenye kujua maana yake anisaidie
Ujumbe si ulifika?by the way english si lugha yake ya taifa.BRAVO MARINE U'VE TRIED YOUR BEST.
Hatuna neno hilo kwenye lugha yetu ya kiswahili ila kwenye lugha ya Kinyakyusa lipo, hata hivyo tuna neno BURE kama ulikuwa na maana ya hilo neno basi sasa tunaweza kuendeleaHa! Ha! Ha! Shule za kata at work!
Badungu msaada nimejaribu kutafuta neno" Bule" mpaka kwenye kamusi mwenye kujua maana yake anisaidie
Nilikuwa naangalia kipindi cha Jambo Tanzania, Marine Hassan alikuwa na wageni ambao mmoja wao katokea S Africa. Marine Hassan alikuwa akimuhoji kwa kiingereza ambacho ni aibu tupu!!! Kwa Mfano " Before you to coming here how many countries you are visited?" Pia wakati wa kumuaga, " Ok! Mr Sami you are welcome again there!". Hili ni jambo la aibu kwa mwandishi kama yeye. Ni bora angegoma kumuhoji bila kuwa na mkarimani, kwanza ndo angekipromoti kiswahili. Nawasilisha
I can't get the photo!

Mtu aliyekosea ndo anaambiwa kakosea. Sasa wewe unataka watu waseme kapatia kwa sababu kafanya makosa yanayofanywa na watu wengi? This is layman solution. Think critically.Kiingereza siyo lugha yetu ya kwanza. kukosea ni jamabo la kawaida. Hebu na nyie mnaojidai kumkosoa jaribuni kuandika kiingereza chenu tukione!
Kumbuka kingereza siyo lugha yetu! Tunafanya makosa mengi sana wakati wa kuongea, kwa Marine kuchapia siyo big ishu mpaka iletwe huku kwa great thinkerz kujadiliwa.Mtu aliyekosea ndo anaambiwa kakosea. Sasa wewe unataka watu waseme kapatia kwa sababu kafanya makosa yanayofanywa na watu wengi? This is layman solution. Think critically.
Usijaribu kuhalalisha kosa eti kwa sababu tu linafanywa na watu wengi.Kumbuka kingereza siyo lugha yetu! Tunafanya makosa mengi sana wakati wa kuongea, kwa Marine kuchapia siyo big ishu mpaka iletwe huku kwa great thinkerz kujadiliwa.
We are wasting muda wetu wa muhimu kujadili mistakes za lugha ambazo kila mtu huwa anazifanya!
Sijaona tatizo,, wengi wetu tunajua kigreza kwa kuandika au kusikiliza, ila kuongea ni tabu tupu. afterall hiyo ni lugha ya wakoloni.
Kwani kujua kigreza ndo ishu? rais wa China hajui kiingereza.
Big up marine, kwani umesubutu,,umeweza na unasonga mbele.
Nilikuwa naangalia kipindi cha Jambo Tanzania, Marine Hassan alikuwa na wageni ambao mmoja wao katokea S Africa. Marine Hassan alikuwa akimuhoji kwa kiingereza ambacho ni aibu tupu!!! Kwa Mfano " Before you to coming here how many countries you are visited?" Pia wakati wa kumuaga, " Ok! Mr Sami you are welcome again there!". Hili ni jambo la aibu kwa mwandishi kama yeye. Ni bora angegoma kumuhoji bila kuwa na mkarimani, kwanza ndo angekipromoti kiswahili. Nawasilisha
Sasa kama si lugha yetu, kwa nini afanye mahojiano kwa kutumia hiyo lugha? Kama aliyekuwa anahojiwa hana ufahamu wa Kiswahili, kwa nini asichaguliwe mtangazaji ambaye walau anajua Kiingereza? Huku ni kuaibishana!Kumbuka kingereza siyo lugha yetu!