Hii ni aibu Marine Hassan!

Nilikuwa naangalia kipindi cha Jambo Tanzania, Marine Hassan alikuwa na wageni ambao mmoja wao katokea S Africa. Marine Hassan alikuwa akimuhoji kwa kiingereza ambacho ni aibu tupu!!! Kwa Mfano " Before you to coming here how many countries you are visited?" Pia wakati wa kumuaga, " Ok! Mr Sami you are welcome again there!". Hili ni jambo la aibu kwa mwandishi kama yeye. Ni bora angegoma kumuhoji bila kuwa na mkarimani, kwanza ndio angekipromoti kiswahili.

Nawasilisha
Mbn aliehojiwa hajui kiswahili na hujashangaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom