Hii ni aibu Marine Hassan!

Hell Yes, Ndy maana watu waliobobea kwenye Quran ni wajuvi sana wa elimu Dunia! hahahahaaa, watoto wako wanasoma shule lakini? Au ndy wanakariri Quran?
........... sie hatuikariri, tunaihifadhi (vifuani mwetu) na tunaielewa ! Elimu ya Dunia tumekuachia wewe, wakufundishe wewe na watoto wako kuwa hapo mwanzo mlikuwa masokwe kabla hamjajua kuvaa suruali, sijui masokwe ya sasa hivi kule Gombe National Park na yenyewe yataanza kuvaa suruali lini ?
 
na lugha yetu ya Taifa ni Kiswahili
Kwa nini shirika la habari la taifa la kiswahili linaitwa Tanzania Broadcasting Coorporation? Kwa nini bunge linaandika sheria Kiingereza? Kwa nini alama za barabarani zinaandikwa Kiingereza? Kwa nini mahakama zinaandika hukumu Kiingereza? Kwa nini shule wanafundisha kwa mtaala wa Kiingereza? Kwa nini nyaraka za Baraza la Mawaziri zinaandikwa Kiingereza? Kwa nini Katiba ya taifa la kiswahili inasema inatosha kwa mgombea Ubunge na Urais kujua Kiingereza tu?
 
Kwa nini shirika la habari la taifa la kiswahili linaitwa Tanzania Broadcasting Coorporation? Kwa nini bunge linaandika sheria Kiingereza? Kwa nini alama za barabarani zinaandikwa Kiingereza? Kwa nini mahakama zinaandika hukumu Kiingereza? Kwa nini shule wanafundisha kwa mtaala wa Kiingereza? Kwa nini nyaraka za Baraza la Mawaziri zinaandikwa Kiingereza? Kwa nini Katiba inasema kigezo cha kugombea Ubunge na Urasi ni kujua Kiswahili au Kiingereza?

Kwa sababu Miafrika ni mitumwa!
 
basi tusidanganyane kwamba lugha ya taifa ni kiswahili.

Lugha ya taifa inapaswa iwe Kiswahili peke yake. Mambo ya kushobokea Kiingereza ni utumwa.

Umesema, kwa mfano, kuwa hukumu za mahakama zinaandikwa kwa Kiingereza. Hizo hukumu wanamwandikia nani sasa wakati idadi kubwa ya watu hawaielewi hiyo lugha?

Upumbavu wa hali ya juu huo. Jana nilikuwa naangalia hukumu ya Amanda Knox kule Italia ma haikuwa katika Kifaransa. Ilisomwa Kiitaliano. Sisi na Kiingereza wapi na wapi.

Miafrika Ndivyo Tulivyo. Mijinga, mipumbavu, na mishobokaji tu.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Lugha ya taifa inapaswa iwe Kiswahili peke yake. Mambo ya kushobokea Kiingereza ni utumwa.

Umesema, kwa mfano, kuwa hukumu za mahakama zinaandikwa kwa Kiingereza. Hizo hukumu wanamwandikia nani sasa wakati idadi kubwa ya watu hawaielewi hiyo lugha?

Upumbavu wa hali ya juu huo. Jana nilikuwa naangalia hukumu ya Amanda Knox kule Italia ma haikuwa katika Kifaransa. Ilisomwa Kiitaliano. Sisi na Kiingereza wapi na wapi.

Miafrika Ndivyo Tulivyo. Mijinga, mipumbavu, na mishobokaji tu.

Mkuu umenena vyema.
Tena ni jambo la kipumbavu unapoona viongozi wakuu wa serikali na dola wakitoa risala na hotuba zao kwa kiingereza pale wanapokua na ugeni ndani ya nchi. Yaani kaja mgeni nyumbani kwako halafu wewe ndie unamshobokea kwa kuongea lugha yake! Mbona jambo hili halitokei viongozi hao wakienda China, Urusi, Japan, Korea na hata Uingereza?!

Yaani ni sawa na muhishiwa sana ameenda pale ofisi namba 10, halafu JC anatoa risala au hotuba kwa muhishiwa kwa lugha ya Kiswahili!! ! Au pale jumba jeupe, ambapo BO anaanza kumsomea muhishiwa sana hotuba kwa Kiswahili!!
Natamani siku hiyo itokee!
 
Kwa hiyo tulihitaji marine kuchapia kiingereza ili tuanzishe mjadala wa lugha ya kiofisi? Kwa uelewa wangu zote mbili ni lugha za kiofisi: kiswahili na kiingereza. Ila kiswahili ni lugha ya taifa. Utata hapa ni kuwa marine kama anajifahamu si mahiri wa kiingereza kwa nini alishobokea (kama anavosema ngabu) kiingereza? Alilazimishwa kama yule mwalimu wa tangazo la hakielimu asiyejua hesabu kwenda darasani kufundisha hesabu? Kanikumbusha miaka hiyo form one kuna story ilikuwa maarufu ya kuwa "amina alinunua viungo (vya kupikia) sokoni" ikawa "amina bought some joints" na "siwezi kupigana nanyi kwani nyie ni wengi wakati mimi niko peke yangu" ikawa " I can't fight you because you are many and I'm few"
 
Hata wazungu nao huchemka jamani, sio kila ngozi nyeupe inajua ung'eng'e. Hivi umeshawahi kumsikia bank moon anavyojitutumua kuuchapa huo umombo?
 
kwa hiyo tulihitaji marine kuchapia kiingereza ili tuanzishe mjadala wa lugha ya kiofisi? Kwa uelewa wangu zote mbili ni lugha za kiofisi: Kiswahili na kiingereza. Ila kiswahili ni lugha ya taifa. Utata hapa ni kuwa marine kama anajifahamu si mahiri wa kiingereza kwa nini alishobokea (kama anavosema ngabu) kiingereza? Alilazimishwa kama yule mwalimu wa tangazo la hakielimu asiyejua hesabu kwenda darasani kufundisha hesabu? Kanikumbusha miaka hiyo form one kuna story ilikuwa maarufu ya kuwa "amina alinunua viungo (vya kupikia) sokoni" ikawa "amina bought some joints" na "siwezi kupigana nanyi kwani nyie ni wengi wakati mimi niko peke yangu" ikawa "many an i can't fight you because you are many and i'm few"
hapo kwenye rd mkuu umenikumbusha yale ya fom unyoya.
To do u do u to say u say me ( kufanya ufanye wewe kusema useme mimi), asha your milk is not standing (akimaanisha asha matiti yako hayajasimama),you will know u (utajiji), i waited you but where,(nilikusubiri lakini wapi?)
 
hapo kwenye rd mkuu umenikumbusha yale ya fom unyoya.
To do u do u to say u say me ( kufanya ufanye wewe kusema useme mimi), asha your milk is not standing (akimaanisha asha matiti yako hayajasimama),you will know u (utajiji), i waited you but where,(nilikusubiri lakini wapi?)

asha your milk is not standing Hahahaha mama weee mbavu zangu hahahaha
 
[wewe ni mpinga kila k2!cjui inakusaidia nn. Soma cv yake aloombea kaz. Kwenye kipengele cha language spoken. Alijaza swahili& english
Ndo tabu ya kazi kupeana kindugu.
 
Nilikuwa naangalia kipindi cha Jambo Tanzania, Marine Hassan alikuwa na wageni ambao mmoja wao katokea S Africa. Marine Hassan alikuwa akimuhoji kwa kiingereza ambacho ni aibu tupu!!! Kwa Mfano " Before you to coming here how many countries you are visited?" Pia wakati wa kumuaga, " Ok! Mr Sami you are welcome again there!". Hili ni jambo la aibu kwa mwandishi kama yeye. Ni bora angegoma kumuhoji bila kuwa na mkarimani, kwanza ndo angekipromoti kiswahili. Nawasilisha
Nakusalimia tu Rafiki
 
Mkuu sio lazima kukijua kiingereza lakini sasa kwanini tunaendelea kuking'ang'ania na hatuchukui hatua kujifunza tukijue vizuri? Nionavyo mm kuna mambo mawili tunapaswa kuchagua. Moja tuachane nacho na tuanze kutumia wakalimani kama wajerumani, wachina, waarabu na wengineo. Au tuwe serious basi tuwekeze vizuri kwenye hii lugha ili tuondokane na hii aibu ya kila siku. It does not make sense mwandishi mwandamizi kama huyo jamaa kutojua kiingereza basic kabisa, infact imefika mahali hata mawaziri,rais n.k wakikivunja kiingereza inaonekana poa tu which is not ok kabisa.

Kwanini hili kosa LA kiingereza cha kibongo ndio mnakiibua Leo baada ya kifo chake
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom