Hapo ni baa,unakojoa sehemu kulingana na kinywaji ulichokunywa,mf.ukinywa valuer lazima ukojoe kwenye jembe kudhihirisha kuwa wewe ni JEMBE!
Muundo wa pikipiki hauruhusu muendeshaji kuegemea kiti wakati wa kuendesha labda iwe kwa abiria wake na si dereva!
Hiyo itapunguza mishikaki
Wanawake hawajui tu,wakitembea "wanavuliwa" nguo kweli kwa hisia.Huo ndo ukweli,mleta uzi wala hujakose, hiyo ni sehemu ya mawazo ya wanaume.
Muundo wa pikipiki hauruhusu muendeshaji kuegemea kiti wakati wa kuendesha labda iwe kwa abiria wake na si dereva!
mfano kama hapa mimi naiona avatar kwanza halafu ndo naendelea na mada.khaaa! hivi Asprin kaiona hii?
sasa utajuaje kama alikuwa akiomba nje ya mchezo.Umenikumbusha rafiki yangu mmoja alikuwa akichez karata na rafiki yake na mara kwa mara huyo rafiki yake akawa anakosea. Jamaa akalalamika sana "Kila nikimuomba mavi anatoa kisu", Kwa kweli siku na mbavu
sasa utajuaje kama alikuwa akiomba nje ya mchezo.
Umenikumbusha rafiki yangu mmoja alikuwa akichez karata na rafiki yake na mara kwa mara huyo rafiki yake akawa anakosea. Jamaa akalalamika sana "Kila nikimuomba mavi anatoa kisu", Kwa kweli siku na mbavu