Hii imekaeje?

Kwa wale wanaovutia sigara dirishani watakua hatarini, watatupwa nje ya mjengo ghafla
Kawaida kila anayekuwepo eneo la jengo hili anatakiwa awe amefunga mkanda; awe amesimama au amekaa; vile jengo lote lina AIRBAGS ikitokea dharula kama hiyo wote mlipo mnafunikwa na airbags!
:plane::eyebrows:
 
Umenikumbusha rafiki yangu mmoja alikuwa akichez karata na rafiki yake na mara kwa mara huyo rafiki yake akawa anakosea. Jamaa akalalamika sana "Kila nikimuomba mavi anatoa kisu", Kwa kweli siku na mbavu



Kuna mtu alisharusha ngumi kisa amepewa ushauri tu. Jamaa aliambiwa navyoona hapa rafiki yangu uko karibu kuolewa.Jamaa akahamaki niolewe mimi ..?
 
Elimu popote.jpg

Ngoja nichore kidogo niseje kukosea somo...
 
Hivyovyote unavyo viona ni computer graphics isdhani ni binadamu kapanga mboga ikatokea hivyo funguka mkuu....
 
inaelekea usiku wa jana alipigwa kavu kavu jamaa alisingizia hajui kutumia ili asile kitu na maganda ndo maana bi dada kaamua kuchukua kozi kabisa ili jamaa asijeleta visingizio.leo nakuvalisha mwennnnnyewe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom