Hii imekaeje?

Hapo ni baa,unakojoa sehemu kulingana na kinywaji ulichokunywa,mf.ukinywa valuer lazima ukojoe kwenye jembe kudhihirisha kuwa wewe ni JEMBE!
 
Boda boda.jpg

Hapa hakuna maumivu ya mgogo aisee!
 
Muundo wa pikipiki hauruhusu muendeshaji kuegemea kiti wakati wa kuendesha labda iwe kwa abiria wake na si dereva!

Hebu zicheki zile za harley davidson...mbona wanaenda bila matatizo? Hii haiwezi kukubalika bongo kwasababu hapa mtungo haiwezekani.
 
Dah!
Jf inaniondoleaga stress acha tu jamani.
Hao wabunge waosema ifungwe,shenz zao.
 
Umenikumbusha rafiki yangu mmoja alikuwa akichez karata na rafiki yake na mara kwa mara huyo rafiki yake akawa anakosea. Jamaa akalalamika sana "Kila nikimuomba mavi anatoa kisu", Kwa kweli siku na mbavu
sasa utajuaje kama alikuwa akiomba nje ya mchezo.
 
Umenikumbusha rafiki yangu mmoja alikuwa akichez karata na rafiki yake na mara kwa mara huyo rafiki yake akawa anakosea. Jamaa akalalamika sana "Kila nikimuomba mavi anatoa kisu", Kwa kweli siku na mbavu

dah! hii hatari mkuu..nimecheka mpaka watu wamenishangaaa.......:lol:
 
Hapo Lazima iwe Casino.Akili yako yote ibaki kwenye karata tuu ili uendeleeke kupoteza hela.

Mbinu Kali sana hii.
 
Back
Top Bottom